Bashe hataki tujenge reli kwa fedha zetu!!

labda nikwambie kitu ndugu mimi nilisha drive kutoka charles hill botswana baada ya kuvuka mpaka wa trans kalahari, na kuelekea gaborone na nikatokea mpaka wa pioneer kati ya botswana na south africa, nikaenda mpaka midrand then johannesburg mpaka durban, huko saint georges kuna wabongo kibao kama wewe walienda na kugongewa entry isiozidi miezi mi3, mkifika huko wengine hua wanajiita mabaharia, wezi, vibaka walala chini ya madaraja huku wakidai wanasubiri meli, na wengine makwerere ndio kama wewe eidha ufanye u pusher wa kuuza unga wa wanaijeria au upige dei waka kwa wasomali, wa ethiopia na hata wahindi wafanya biashara, kazi hizo hazihitaji work permit kwakua unafanya kama kibarua, professional yoyote kabla hajaingia south africa huombewa kibali cha kufanya kazi eidha na serikali kama inamuhitaji au tajiri mmiliki wa taasisi fulani, sasa wewe huko ulikua na kibali cha kufanya kazi gani na ulikipata wapi/ na kwanini uombwe kazi na kaka yake bashe ukubali kufanya huku anakunyanyasa?

wewe ni muongo, mnafiki tena kizabizabina nasisitiza usipoangalia utakufa masikini, majungu tu ndio yamekujaaa.

Nakushauli" mtafute mtanzania atakayekusaidia kutafsiri nilichokiandika....
Huwenda ukaelewa nilichokujibu....hapo awali"

Au ukiona tabu" achana na mimi....Kwa maana kiswahili ni kigumu kidogo....kitakusu
mbua mkuu...!
 
Huu ni mchango wa Bashe mbunge wa nzega.

Hataki serikali itumie fedha za makusanyo kufanyia miradi na mfano alioutoa ni ujenzi wa Reli ya Kati ambayo imekuwa ni kiunganishi kikubwa kati ya mikoa ya mashariki na magharibi .
Badala yake anataka serikali itumie PPP.
Weka alama za fungua semi na fungua semi. Hapo umeandika mchango wako na sio mchango wa Bashe
 
Tatizo letu Watanzania ni ufinyu wa kufikiri. Bashe ni mfanyabiashara aliyejijengea sifa. Kaleta hoja ya kiuchumi ambayo ilitakiwa kujibiwa kwa hoja. Sisi tunaleta dhihaka...
 
Nakushauli" mtafute mtanzania atakayekusaidia kutafsiri nilichokiandika....
Huwenda ukaelewa nilichokujibu....hapo awali"

Au ukiona tabu" achana na mimi....Kwa maana kiswahili ni kigumu kidogo....kitakusu
mbua mkuu...!

we muongo tu, mkwerekwere au baharia tu wewe
 
PPP ndio ilizaa iptl richmond songas na ndio inatukamua sawasawa halafu anataka turudi kulekule, huyu dogo sijui pungu,one
 
Wapo watu tena kwa akili zao,wangeoba,wanasali uchi ili nchi yetu iangamie kabisa,utafikiri ni watu wa kuja,chonde chonde,utaifa kwanza mambo mengine baadae.
Tukiingia msituni hakuna tena FB,wala JF,Ndio labda tutaheshimihana,hata North Korea hakuna mitandao.Kulala saa 12 jioni,usafiri wa mguu,nguo uwazime kwa jirani tena kombati ya jeshi,chakula ni makopa ya muhogo,maji ya mineral ni ndoto,
 
Huu ni mchango wa Bashe mbunge wa nzega.

Hataki serikali itumie fedha za makusanyo kufanyia miradi na mfano alioutoa ni ujenzi wa Reli ya Kati ambayo imekuwa ni kiunganishi kikubwa kati ya mikoa ya mashariki na magharibi .
Badala yake anataka serikali itumie PPP.
yes hii ndio model ya kimataifa ya miradi mikubwa ....unajuwa kwenye developed countries hizi infrastructure zote kubwa kubwa huwa zinajengwa kwa PPP .....na serikali hubaki kutumia pesa zake kutoa huduma na ulinzi !!
 
Usipotoshe. Hakuna mtu anapinga uwekezaji unaofanywa. Wengi wana tatizo na namna unavyofanywa, na wana sababu za msingi na nzito za kusema wanachosema. Don't dramatize things for no reasons
Hoja kama zipi zaidi ya kusema yanunuliwe madawa mara sijui madeni yasioisha ya walimu hakuna sababu nyingine tena ya maana na zote hizo ni consumption tu kama ambavyo wanataka kufanya ujinga wa kugawa milioni 50 kila kijiji
 
Nilimsikia Rais Museveni atachangia SGR.
Uturuki wamesaini mkataba kusaidia ujenzi wa SGR.
JMT watachangia pia hivyo PPP itafanya kazi hapo.
Watunga sheria wetu wanayajua vizuri sana, tatizo wanacheza na maneno kuibua hisia kutoka kwa wananchi.
Rais wako alisema tunajenga kwa fedha zetu 100%... In case u didn't know
 
Tumenunua zile takataka za kupaa angani na tumeona ilivyotugharimu mpaka sasa.

Kwa sasa bei ya vyakula ipo juu, naona ni vyema hizo pesa ziwekezwe kwa wakulima ili kupunguza ukali wa maisha.
Acha dharau we kijana!!utakuwa fisadi we we!!ulitaka hizo pesa za kununulia ndege ubawiwe ukanunue chakula?mvivu mkubwa kabisa
 
Huu ni mchango wa Bashe mbunge wa nzega.

Hataki serikali itumie fedha za makusanyo kufanyia miradi na mfano alioutoa ni ujenzi wa Reli ya Kati ambayo imekuwa ni kiunganishi kikubwa kati ya mikoa ya mashariki na magharibi .
Badala yake anataka serikali itumie PPP.

Bashe awe muwazi, aseme kabisa kuwa boss wake Rostam Azizi anata dili kwenye huu ujenzi wa Reli ya Kati.
 
Wakati mwngine huwa najiuliza hivi wewe ni mtu mzima au mtoto, je una afya njema au una upungufu wa akiri ufanyike utaratibu wa kukuwahisha milembe.
Wafanye hima tuje tuungane nawe huko milembe ulipo.Tatizo uwezo wako wa kufikiri ni mdogo ndio maana unadhani nimekurupuka kuandika hiki kitu.Hizi ni tamathali za semi mjomba.Tulisherehekea kununuliwa kwa bombadier tukasahau kuwa bado tuna mahitaji mengine zikiwemo huduma za afya hususan madawa.Yaani ninamaanisha kuwa ndugu yako alikuwa anatafuta sifa za muda mfupi ambazo hazina matokea mazuri kwa afyavya taifa.Pesa za madawa zimenunua bombadier tena cash bila deni.Kwani hii ni siri?
 
Back
Top Bottom