Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
Watu kama hawa hawajui hata wanataka nini?Kwanini unasema ni takataka? Ushawahi kutumia usafiri wa ndege kabla ya hizo bombadier? Fastjet walikuwa wanafanya wanavyotaka....tuache maneno maneno
Watu kama hawa hawajui hata wanataka nini?Kwanini unasema ni takataka? Ushawahi kutumia usafiri wa ndege kabla ya hizo bombadier? Fastjet walikuwa wanafanya wanavyotaka....tuache maneno maneno
BASHE USIMWAMINI HATA KAMA UMELEWA, UNAWEZA KUKUTA ANATETEA KUNDI LA WAFANYABIASHARA WA MAROLI - HUYU JAMAA NI MBINAFSI BALAA YUKO BUSY KUJITETEA YEYE TU NA KUNDI LAKEHuu ni mchango wa Bashe mbunge wa nzega.
Hataki serikali itumie fedha za makusanyo kufanyia miradi na mfano alioutoa ni ujenzi wa Reli ya Kati ambayo imekuwa ni kiunganishi kikubwa kati ya mikoa ya mashariki na magharibi .
Badala yake anataka serikali itumie PPP.
JPM keshawaambia yeye ni dereva makini. imbeni, lieni, tukaneni, sinzieni fanyeni lolote. ila uhakika ni kwamba atawafikisha, tena atawafikisha salama salimini. kwa hiyo, tulizeni mzuka, hata mkilalamika vipi, mtafika tuu, 2025 sio mbali sana panapo majaaliwa.
hayo mengine mnapoteza muda tu bure, JPM hakwamishwi, mtakwama nyie msioona hata zuri moja la serikali ya CCM.
kama vipi mi nawaomba UKAWA MFE kwanza, siku ikiingia serikali ya UKAWA madarakani (nadhani mwaka 3000) ndio mfufuke pengine serikali yenu itafanya mnavyotaka nyie.
UKAWA wakubwa nyie.
Msomali ambaye hana uraia lakini CCM mmeamua kumpa ubunge!!! Utakuwa mpumbavu sana kusema hivyoToka lini Msomali akawa na uchungu na Tanzania?
*Why are blacks not wealthy*
An interview with a Jewish leader about Blacks.
INTERVIEWER:
Why are blacks so behind Economically?
JEWISH LEADER:
The only thing blacks understand is Consumption.
Blacks don't understand the importance of creating and building wealth.
Ukisoma comment za watu humu utaona jinsi gani haowaoni uwekezaji unaofanywa na serikali kua ni wa muhimu all they talk & suggest is how to consume our tax collections ,mara madawa(which they want for free or the cheapest amount possible) while afya kwa inchi za wenzetu ni very expensive,huna bima itakula kwako & Elimu bure and the likes...and for that tutaendelea tu kua Taifa maskini hakuna namna until we change our mind set...
Kama kinanaToka lini Msomali akawa na uchungu na Tanzania?
Mtu mwenye akili hawezi toa maoni yake kwa uzi uliokaa hivi!Huwezi weka sentesi moja ukaeleweka!Huu ni mchango wa Bashe mbunge wa nzega.
Hataki serikali itumie fedha za makusanyo kufanyia miradi na mfano alioutoa ni ujenzi wa Reli ya Kati ambayo imekuwa ni kiunganishi kikubwa kati ya mikoa ya mashariki na magharibi .
Badala yake anataka serikali itumie PPP.
Hivi ile signature yako...ulimQuote mnyabasi?Toka lini Msomali akawa na uchungu na Tanzania?
Bashe hana uchungu,kweni yeye anaizaa tanzania.Toka lini Msomali akawa na uchungu na Tanzania?
Panadol na condom???zipo
Wewe ni zuzu hasa!Asilimia kubwa ya watanzania wanakaa kijijini hiyo mipanga boi utawafaa nini?
Toka lini Msomali akawa na uchungu na Tanzania?
Toka lini Msomali akawa na uchungu na Tanzania?
Are you aware that bad infrastructure hastens inflation? Haven't you heard farmers complaining that due to poor roads their produce rot in store? In that case, which one should come first? I hope you have the answer.Gharama za vyakula kweli zipo juu..uongozi uliopo madarakani..angalieni miradi ambayo italenga moja kwa moja maendeleo ya MTU mwenye kipato cha chini..wataalamu wa uchumi mtusaidie..maisha ni magumu sana.wananchi ni waoga kusema ukweli.hali ni ngumu.
Enzi zile za utawala wa BWANA SHAMBA YULE.....!?!Kwa nini akawa mtamzania???? Tena chama Tawala!!!