New ID l
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 248
- 480
Hata mimi nililiona hilo before......MWANA WA MIRUNGI YULE.....Bashe anatafta kiki2 ata jinsi alivyo
Hata mimi nililiona hilo before......MWANA WA MIRUNGI YULE.....Bashe anatafta kiki2 ata jinsi alivyo
I did not quote everyone's comment. I quoted only your comment. Use what we call common sense...Soma coment za watu ktk hii thread ili ujue msingi wa hoja yangu sio kukurupa ukasoma maoni yangu then uka make conclusion....
Bashe ni msomali hawezi kujua umuhimu wa kutumia pesa za ndani
Huyo Alshababi anakaribia kuwa kumbikumbi.
Bashe is right. Ndiyo maana tunasema ni muhimu kuchagua vipaumbele kwa umakini mkubwa. Ili tujenge hiyo reli kwa fedha za kodi zetu wenyewe, ni lazima vijana wetu wakose mikopo ya vyuo, dawa hospitali zikosekane, miradi ya maji isiendelee, n.k. Would you do that? Mtu anayefikiria kuwa na alternative means za kujenga hiyo reli, is very intelligent. Na mtu huyo hawezi kuwa kwenye kile chama...kama yuko huko, basi atakuwa ni very unpopular sana huko.
Alafu huyo Bashe" ana ndugu yake kule nchini South Africa" ni msomali mwenzie
ndo kalikuwa Kabosi kangu.....Aisee
SIKAPENDI.....!!! Aipiti siku bila kuikashifu
Tanzania....utamsikia.....hahahahahh....
njoo uwone nchi yenu inavyouzwa huku...
hahahah.....watanzani hamuna akili na musipoangalia WASOMALI tunaweza ichukua nchi......hahahha!
Alikuwa anamalizia kwa kusema......
Bola wewe ulivyoikimbia Tanzania....
We komaa tu hapahapa South...kikinuka tuunawaita ndugu zako au vp.....?!?
acha unafiki wewe, pia inaonyesha hauna shukrani kama ulizamia huko south na msomali akakuajiri ulivyokua na roho ya kwanini unamsema vibaya na kumzushia uongo....... utakufa masikini bwege wewe
Pole sana mkuu" kwa dhana yako uliyonayo
Sikwenda kule kimazabe......Alafu South sio nchi yangu ya kwanza kwenda.....
Pia 95% ya nchi zilizoendelea ni ngumu kuajiliwa iwapo hauna Passport" au vibali halali vya kuishi nchini hapo....!
Huyo msomali alinifuata yeye" na sio mimi
niliyemfuta......Alafu wana UBINAFSI sana
PUMBAVU.....
Hata MNYARWANDA hawezi kuwa na UCHUNGU na Tanzania.
Deni likiongezeka mnapiga kelele. My motherland Tanzania. My fellow Tanzanians tunataka nini?Bashe is right. Ndiyo maana tunasema ni muhimu kuchagua vipaumbele kwa umakini mkubwa. Ili tujenge hiyo reli kwa fedha za kodi zetu wenyewe, ni lazima vijana wetu wakose mikopo ya vyuo, dawa hospitali zikosekane, miradi ya maji isiendelee, n.k. Would you do that? Mtu anayefikiria kuwa na alternative means za kujenga hiyo reli, is very intelligent. Na mtu huyo hawezi kuwa kwenye kile chama...kama yuko huko, basi atakuwa ni very unpopular sana huko.
Halafu wastaafu wanacheleweshea mafao.Hivi Watz mbona mnakuwa wavivu kufikiri? Kwani zikija hata kampunni 20 zikijiunga kujenga hiyo reli kuna shida gani? Hizo hela ambazo serikali ingetoa kujengea reli si ndio zingenunua dawa, kukopesha wanafunzi na kuboresha kilimo? Hamuoni mfano wa daraja la Kigamboni?
70% atoe nani? Je ni kiasi cha shs ngapi hiyo 70%?Why are you so negative kwamba lazima wafanyabiashara wa malori wahujumu huo mradi? And why are you so certain kwamba watafanikiwa kwenye hiyo hujuma? Kama mtu binafsi anaweza kumiliki mabasi sita bei ya milioni 400 kila moja hawezi kuwa shareholder kwenye hiyo kampuni ya reli? Na sio lazima hizo kampuni zimiliki kiasi kikubwa cha hizo shares. Hata wangechukua tu 30% ya hizo shares bado serikali ingeacha kutumia hizo pesa kwenye reli izitumie kwenye miradi mingine
Deni likiongezeka mnapiga kelele. My motherland Tanzania. My fellow Tanzanians tunataka nini?[/QUOTE
No, don't get it wrong... hakuna hasara kukopa deni na kulitumia kufanya miradi mikubwa yenye manufaa ya wananchi wengi. Ndio maana Bashe amesema PPP, don't spin....
Angalau Mnyarwanda ni Mbantu na tuna uhusiano wa karibu hata Utamaduni unafanana na wetu na tushawahi kuwa nchi moja, Msomali ana uhusiano gani na sisi?
Eti anajidai ni msukuma