Bashe hataki tujenge reli kwa fedha zetu!!

Bashe hataki tujenge reli kwa fedha zetu!!

hiyo PPP anayoitaka Bashe ni PPP ipi......maana sekta binafsi Tanzania bado changa sana.
 
Alafu huyo Bashe" ana ndugu yake kule nchini South Africa" ni msomali mwenzie
ndo kalikuwa Kabosi kangu.....Aisee
SIKAPENDI.....!!! Aipiti siku bila kuikashifu
Tanzania....utamsikia.....hahahahahh....
njoo uwone nchi yenu inavyouzwa huku...
hahahah.....watanzani hamuna akili na musipoangalia WASOMALI tunaweza ichukua nchi......hahahha!

Alikuwa anamalizia kwa kusema......
Bola wewe ulivyoikimbia Tanzania....
We komaa tu hapahapa South...kikinuka tuunawaita ndugu zako au vp.....?!?
 
Toka lini Msomali akawa na uchungu na Tanzania?
Hisia za ubaguzi kamwe hazijawahi kuwa msaada mahalu popote. Tujifunze kutumia akili zetu kujibu au kupinga hoja. Jipange Lizaboni toka huko uliko
 
Alafu huyo Bashe" ana ndugu yake kule nchini South Africa" ni msomali mwenzie
ndo kalikuwa Kabosi kangu.....Aisee
SIKAPENDI.....!!! Aipiti siku bila kuikashifu
Tanzania....utamsikia.....hahahahahh....
njoo uwone nchi yenu inavyouzwa huku...
hahahah.....watanzani hamuna akili na musipoangalia WASOMALI tunaweza ichukua nchi......hahahha!

Alikuwa anamalizia kwa kusema......
Bola wewe ulivyoikimbia Tanzania....
We komaa tu hapahapa South...kikinuka tuunawaita ndugu zako au vp.....?!?
Kwani uongo?

Leo resources zote wanamiliki wageni

Migodi yote wanawaibieni kwa mikataba mibovu

3% zenu 97% zao

Iptl ,dowans ,Richmond,stanbic nk

Nchi mmeiuza kwa mikataba ya kipumbavu
 
Hivi Watz mbona mnakuwa wavivu kufikiri? Kwani zikija hata kampunni 20 zikijiunga kujenga hiyo reli kuna shida gani? Hizo hela ambazo serikali ingetoa kujengea reli si ndio zingenunua dawa, kukopesha wanafunzi na kuboresha kilimo? Hamuoni mfano wa daraja la Kigamboni?
Hizo kampuni 20 kutoka wapi? embu tuwe realistic....hakuna kampuni binafsi ambayo inaweza kuja kuwekeza kwenye massive public construction kama SGR. Alafu lazima ujue political economy behind the sence......wafanyabiashara wengi lazima watatafuta kila mbinu kuhakikisha kuwa huo mradi wa SGR hauanzi kwa sababu zifuatazo
1. Ukijenga SGR inamaanisha unapunguza gharama za usafirishaji wa mazao kutoka rural kuja mijini....maana trip moja inaweza ikabeba mpaka mabehewa 70.
2. ukijenga SGR inamaanisha unapunguza gharama za input/raw materials kwa ajili ya uzalishaji kwenye kilimo na viwanda kwenye mikoa ambayo hiyo reli itapita...kwa sababu treni itakuwa na uwezo wa kubeba mzigo mkubwa kwa mara moja kutoka bandarini na kupeleka upcountry kwa bei nafuu
3. Chain nzima ya wafanyabiashara wa malori lazima watatafuta mbinu yoyote ile kuhujumu huo mradi (Wenye malori, Wauza vipuli, Madereva, na hata viwanda vya spea na malori yenyewe)
hivyo nashauri huyo Bashe kama anasapoti ujenzi wa SGR kwa PPP aeleze ni PPP zipi, wana Pesa kiasi gani na tujue je wana interest zipi???
 
Kwani uongo?

Leo resources zote wanamiliki wageni

Migodi yote wanawaibieni kwa mikataba mibovu

3% zenu 97% zao

Iptl ,dowans ,Richmond,stanbic nk

Nchi mmeiuza kwa mikataba ya kipumbavu
Na Mh: Magufuli...anapolishughulikia hilo..
Mna mbeza...!
 
Hizo kampuni 20 kutoka wapi? embu tuwe realistic....hakuna kampuni binafsi ambayo inaweza kuja kuwekeza kwenye massive public construction kama SGR. Alafu lazima ujue political economy behind the sence......wafanyabiashara wengi lazima watatafuta kila mbinu kuhakikisha kuwa huo mradi wa SGR hauanzi kwa sababu zifuatazo
1. Ukijenga SGR inamaanisha unapunguza gharama za usafirishaji wa mazao kutoka rural kuja mijini....maana trip moja inaweza ikabeba mpaka mabehewa 70.
2. ukijenga SGR inamaanisha unapunguza gharama za input/raw materials kwa ajili ya uzalishaji kwenye kilimo na viwanda kwenye mikoa ambayo hiyo reli itapita...kwa sababu treni itakuwa na uwezo wa kubeba mzigo mkubwa kwa mara moja kutoka bandarini na kupeleka upcountry kwa bei nafuu
3. Chain nzima ya wafanyabiashara wa malori lazima watatafuta mbinu yoyote ile kuhujumu huo mradi (Wenye malori, Wauza vipuli, Madereva, na hata viwanda vya spea na malori yenyewe)
hivyo nashauri huyo Bashe kama anasapoti ujenzi wa SGR kwa PPP aeleze ni PPP zipi, wana Pesa kiasi gani na tujue je wana interest zipi???

That's TRUE.... Yule jamaa kama sio
AL SHABAB.....sijui
 
Why are you so negative kwamba lazima wafanyabiashara wa malori wahujumu huo mradi? And why are you so certain kwamba watafanikiwa kwenye hiyo hujuma? Kama mtu binafsi anaweza kumiliki mabasi sita bei ya milioni 400 kila moja hawezi kuwa shareholder kwenye hiyo kampuni ya reli? Na sio lazima hizo kampuni zimiliki kiasi kikubwa cha hizo shares. Hata wangechukua tu 30% ya hizo shares bado serikali ingeacha kutumia hizo pesa kwenye reli izitumie kwenye miradi mingine
 
Usipotoshe. Hakuna mtu anapinga uwekezaji unaofanywa. Wengi wana tatizo na namna unavyofanywa, na wana sababu za msingi na nzito za kusema wanachosema. Don't dramatize things for no reasons
Soma coment za watu ktk hii thread ili ujue msingi wa hoja yangu sio kukurupa ukasoma maoni yangu then uka make conclusion....
 
Mna fedha gani nyie, wahisani wamejitoa ndio maana budget inayomalza muda wake imetekelezeka kwa 34% tu, Wahisani wamegoma kutoa mipunga yao kwenye nchi ambayo Wananchi wanashinda na njaa ila Faru Fausta anakula msosi wa Milioni 64 kwa Mwezi.
Baada ya kukosa hela za wahisani ndio wamepandisha makodi kila mahala ili angalau wapate pate hela za madafu matokeo yake kila kitu sokoni kimepanda bei, Aliingia Sembe ilikuwa inauzwa 1200/- leo hii imepanda kwa 100% Sembe inauzwa 2400.
Hahahaaa...Mwafaaa

Wewe SHUNTER hautokufa coz' c MTANZANIA...!
 
Mumegubdua lini kuwa msomali wakati mumempa ubunge,na wengine nyadhifa kubwa zaidi.

Na ndo maana tunataka kuharibu ule mfumo.....UNATAKA KULA TU...BILA
KULIWA........?!?

Tutawafyeka wote" Hapa Kazi Tu....
 
PPP iko wapi mpaka sasa.

Sekta binafsi kwa taifa letu baado sana. Watu wanafikiri Ulaya na Marekani walianza na PPP!! Walianza kama sisi na mwisho sekta binafsi wakaona inawalipa ndo wakaanza kuendesha.
Acha mbwembwe wwe daraja la kigambon vp ?
 
Tumenunua zile takataka za kupaa angani na tumeona ilivyotugharimu mpaka sasa.

Kwa sasa bei ya vyakula ipo juu, naona ni vyema hizo pesa ziwekezwe kwa wakulima ili kupunguza ukali wa maisha.

Na unapoambiwa ludi kijijini ukalime"....
Eti serikali inanikomoa......Tanzanian mh!
 
Hayo nimaoni yake
Siyo lazima Tuyafuate
Ilisha amliwa kutumia mapato yetu yandani
Hakuna lingine
mkuu, hata kujisaidia haja kubwa dining room nayo ni maamuzi pia.
ingawa yanaweza kuwa si maamuzi sahihi!
 
Na ndo maana tunataka kuharibu ule mfumo.....UNATAKA KULA TU...BILA
KULIWA........?!?

Tutawafyeka wote" Hapa Kazi Tu....
Lianzisheni tu target sio wasomali target ni" kanzu"anzieni ndani ya chama hiyo game plan imeshafeli.na kwa taarifa yakosio mchwa wote watakuwa kumbikumbi
 
Tumenunua zile takataka za kupaa angani na tumeona ilivyotugharimu mpaka sasa.

Kwa sasa bei ya vyakula ipo juu, naona ni vyema hizo pesa ziwekezwe kwa wakulima ili kupunguza ukali wa maisha.
Watanzania wenye mawazo taka bado wengi sana, hata wangepewa na pesa kila mwezi bado kuziondoa taka kichwani ni ngumu sana!
 
Back
Top Bottom