Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Hahahhahahahhahahah mwenye tabia za KIKATILI hatuna hata uhusiano na for your infromation Mnyrwanda siyo Mbantu
Hauna Akili wewe, nani amekudanganya? Kwanza unaelewa hata Ubantu maana yake? Na kwa hiyo G.Ulimwengu siyo Mbantu? Wilfred Lwakatare siyo Mbantu? Nyerere hakuwa Mbantu?