Bashe avua gamba

Bashe avua gamba

Status
Not open for further replies.
Nyie mbona mnapenda kushabikia mambo..hawa wasomali hawana uchungu wowote na nchi hii kwa nini mna sensationalise mambo?

Mie sishabikii Kabisa. Lakini hao Wasomali hawana uchungu na nchi hii kuliko mzawa gani tumjuaye? Karamagi? Chenge? Lowassa?
 
Who is Hussein Bashe?

Hussein Bashe ni mjumbe wa mkutano mkuu wa ccm alishinda kura za maoni ubunge wa Nzega jk akamkata jina kutokana na sababu binafsi ambayo kwa leo sitaweza kuisema sio sehemu ya madaa hii.kura za maoni ccm ubunge Nzega alipata kura 14,698 akifuatiwa na aliyekuwa mbunge wa Nzega luka seleli aliayepata kura 2894 na hamis kigwangwala akapata kura 628. In short huyo ndie Husein Bashe tunayemfaham.unfortunately mleta mada amechanganya matango kuwa hussen bashe ni Ibrahim Mohamed ni upotoshaji wenye nia anayojua mleta mada for his how benefit bila kufaham anamchafua mwenzake
 
Unaonekana hazikutoshi, nani anayeendekeza upumb.avu wa uchaga, udini na ukanda hapa jukwaani kila siku?

Mjinga wewe nenda kwanza kamvalishe nguo malaya wako nyumbani ambaye hana maadili wala hiyo dini hujamfunza.

unamjuwa mungu wewe? na unanguvugani zaidi ya ujinga na elim duni? unadhani mtu humjuwa mungu kwa kuswali

na kusali pekeyake?
au kunaziada..... ukilijuwa hili utafaham kwamba huna lolote na nimpumbavu kati ya wapumbavu.

Bahati mbaya sana imenipitia bila kujua kama naongea na mtoto wa njiani aliyekulia stand na kusomea milembe, dini utaifahamu wewe,

Kafunzwe malezi ya nyumbani kisha ndo utapata akili ya heshma japo ya dharura,

Usitegemee wale wa Milembe wenzio,

Kama hapa duniani pana sehemu ya wajinga na wapuuzi wasiofaa hata kujaribu kuelimishwa basi wewe ni wa kwanza wao.
 
Kabla hajavaa gwanda achunguzwe maana atakuwa ametumwa na Mwigulu na Msaliti ZZK. Kama msaliti piga chini tupa kule. Hatutaki mamluki wanaopandikizwa na masisiem.
 
Wakati mnapata Majembe huku watu wanachukua Mipini ambayo Mashalah inapenya ktk Tundu ya Jembe si haba tunalitiat Jembe nguvu ya kufanya mambo au vp Makamanda Majembe Mipini tunayo!
 
Vichekesho vingine bwana?

Siku zote kwenye mkusanyiko wa mambulumundu hapakosi vituko
Kuna kituko kinachozidi kuchangisha rambi rambi kisha upige panga? Mla rambi rambi za mwangosi huoni aibu??? Rudisha kwanza rambi rambi ulizoiba then tutakuelewa...wewe ni mbulumundu number 1.
 
kwa taarifa niliyoipata jioni hii ni kwamba Ndugu Mohamed Bashe amevua gamba na kuvaa Gwanda.
karibu aluta continue.

Source please,isije ukawa umeona skipper alilolivaa ukajua ndio kahamia cdm?
 
kwa taarifa niliyoipata jioni hii ni kwamba Ndugu Mohamed Bashe amevua gamba na kuvaa Gwanda.
karibu aluta continue.


Pamoja sana Kamanda wangu! Maamuzi kama haya ni Wazalendo wa Nchi hii ndiyo wanaweza fanya.
Ila hakika nina Imani ya kwamba tuna makamanda kibao ndani ya Nchi.
 
Hussein Bashe hajajiunga chadema.
Mjadala wa uongo ufungwe.
 
Kwa makala zake,alshejtenga na wahafidhina siku nyiniiiii

hongera zake,kwa kupanda gari la M4C
 
Karibu nyumbani Bashe kule ulipotea.Acha na hawa kina Lukosi wanaolewa ulanzi wa Tanangozi na Kipaduka waendelee na maccm yao ambayo mwisho umefika.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom