Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,073
Hivi kuwa mshabiki wa magamba,ni lazima kidogo uwe fyatu?Atakuwa mchagga tena Mkristo.
Hivi kuwa mshabiki wa magamba,ni lazima kidogo uwe fyatu?Atakuwa mchagga tena Mkristo.
Leo hautasikia neno Al shabaab humu kisa amejiunga na Chama chetu pendwa.
Lete orodha original ya michango ya watu wa UK uliyopiga!...Vichekesho vingine bwana?
Siku zote kwenye mkusanyiko wa mambulumundu hapakosi vituko
Huyo ni msaliti in future.
Huyo ni msaliti in future.
Kweli Mbowe na Slaa mbona watawaachia hizo nafasi ha ha ha chagadema
Hongera... umetumia uhuru wako
Wenye kujitambuwa hupanda basi lililo bora, jipya na nafasi ikiwemo ndani ya kutosha
sasa mtu na akili yake anajitowa chadema na kuenda ccm unategemea Wassira akuachie nafasi kweli....?? niwapumbavu tu...
Bashe mjanja anafahamu fika kwamba kupitia chadema ubunge hataukosa maana basi la cdm ni jipya na kunanafasi.
Kama magazeti ya Udaku: BASHE AVUA GAMBA nikadhani hussein Bashe kumbe siyo!
Kama ndivyo ni haki yake hakuna anaemkataza.
Hivi mchakato wa katiba nzee umefikia wapi?
Msituchanganye na mambo yenu ya kijinga kijinga,
Bashe Bashe basha... so what?
Huyo ni msaliti in future.
kwa taarifa niliyoipata jioni hii ni kwamba Ndugu Mohamed Bashe amevua gamba na kuvaa Gwanda.
karibu aluta continue.
kinachohojiwa hapa huyu naye ni mgalatia? propaganda za kijinga hapa jukwaani kila siku.
wanaangalia sura tuu hao, mbona kuna mbunge mmoja wa shinyanga alikuwa ccm baada ya kupigwa chini kwenye kura za maoni akahamia cdm ila anahudhuria majukwaa ya ccm na hawamfanyi kitu?tunamkaribisha lakini ajue chadema hawacheki na nyani,hakileta za kuleta atazikokabwe