Bashe avua gamba

Bashe avua gamba

Status
Not open for further replies.
acheni maigizo Mwaka wa 3 huu yuko Cdm labda awe anavua gwanda
 
Ameondolewa Vyeo Zitto = Tumepta Mhadhiri wa Chuo Kikuu Bungando, Rodrikc Kabangila
Ameondolewa Vyeo Kitila = Tumepata Ibrahimu Bashe (banker)
Amejiuzulu Mwenyekiti wa Singida = Tumepata Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madakrati nchini MAT
Amejiuzulu Chitanda wa Lindi = Amejiunga WAkili wa Mahakama Kuu, Elinkunda George.
Mungu akiwa yupo upande wetu nani atashindana na sisi?

kwa taarifa niliyoipata jioni hii ni kwamba Ndugu Mohamed Bashe amevua gamba na kuvaa Gwanda.
karibu aluta continue.
 
kwa taarifa niliyoipata jioni hii ni kwamba Ndugu Mohamed Bashe amevua gamba na kuvaa Gwanda.
karibu aluta continue.
Nyie mbona mnapenda kushabikia mambo..hawa wasomali hawana uchungu wowote na nchi hii kwa nini mna sensationalise mambo?
 
kwa taarifa niliyoipata jioni hii ni kwamba Ndugu Mohamed Bashe amevua gamba na kuvaa Gwanda.
karibu aluta continue.
Huyu ni nani hata ahitaji attention yetu kiasi hiki? CHADEMA inapokea wanachama wapya kila siku. Tembelea matawi ya CHADEMA upate takwimu kamili. Tawi dogo kabisa la Gongo la Mboto pale linaingiza wanachama kati ya saba hadi 15 kwa siku. Wanaodhani migogoro itaimaliza CHADEMA wanapoteza muda wao tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hehehehe Ajuza mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu siyo!?
BAK wewe jinsia gani maana hicho kicheko chako nlitegemea kitoke kwa faiza,lara1 na wengineo wa dizaini hiyo?
 
Naona yale maujinga na maugonjwa yako bado unaendelea kuyatibua,
Shauri yako na mkopo wako wa akili,

Naomba hicho kimbembe chako twende kwenye Jukwaa la Dini kama sijakuvua nguo na kukubatiza kwa jina la ........mmoja,

Kwanini kuchanganya mambo wakati watu wanajadili mambo ya maana?

Unaonekana hazikutoshi, nani anayeendekeza upumb.avu wa uchaga, udini na ukanda hapa jukwaani kila siku?

Mjinga wewe nenda kwanza kamvalishe nguo malaya wako nyumbani ambaye hana maadili wala hiyo dini hujamfunza.

unamjuwa mungu wewe? na unanguvugani zaidi ya ujinga na elim duni? unadhani mtu humjuwa mungu kwa kuswali

na kusali pekeyake?
au kunaziada..... ukilijuwa hili utafaham kwamba huna lolote na nimpumbavu kati ya wapumbavu.
 
Ameondolewa Vyeo Zitto = Tumepta Mhadhiri wa Chuo Kikuu Bungando, Rodrikc Kabangila
Ameondolewa Vyeo Kitila = Tumepata Ibrahimu Bashe (banker)
Amejiuzulu Mwenyekiti wa Singida = Tumepata Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madakrati nchini MAT
Amejiuzulu Chitanda wa Lindi = Amejiunga WAkili wa Mahakama Kuu, Elinkunda George.
Mungu akiwa yupo upande wetu nani atashindana na sisi?

Nimeipenda hii mkuu,safi sana kula LIKE go go go CDM.
 
Tahadhari Wakuu Kama ni kweli basi ni Bomu baada ya Bomu Zito kulipuka kabla ya wakati!
 
Ameondolewa Vyeo Zitto = Tumepta Mhadhiri wa Chuo Kikuu Bungando, Rodrikc Kabangila
Ameondolewa Vyeo Kitila = Tumepata Ibrahimu Bashe (banker)
Amejiuzulu Mwenyekiti wa Singida = Tumepata Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madakrati nchini MAT
Amejiuzulu Chitanda wa Lindi = Amejiunga WAkili wa Mahakama Kuu, Elinkunda George.
Mungu akiwa yupo upande wetu nani atashindana na sisi?

This is very impressive, kwakweli wajinga nawaondoke chama kiimarike zaidi na mwisho watatahayari.
 
Mkishashindwa hoja mnaleta viroja, kicheko hicho hakina jinsia maalum hapa jamvini kinatumika na wote, ila wewe Buku 7 mkosa hoja unataka kuleta za kuleta.

BAK wewe jinsia gani maana hicho kicheko chako nlitegemea kitoke kwa faiza,lara1 na wengineo wa dizaini hiyo?
 
Kama kaja na akili ya ukomboz wa watanzania basi nzega ni-yake.
karb ila................
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom