Bashe avua gamba

Status
Not open for further replies.
Bashe yure walie rudisha fomu kwa na bunduki na kigwangala.hapo hofisi ya maccm nzega.ambae sio laia tena aliambiwa 2010
 
bashe hawezi kukihama chama ambacho kimemlea toka akiwa na miaka 16 hata kidogo.
 
Dhambi na laana ya kula rambi rambi itakutafuna sana aisee

Kamanda huyu Chris lukosi dhambi na laana ya kula rambi rambi inamtafuna tayari...ukisema itamtafuna ukakosea aisee...huoni amekuwa mwehu...kila siku anawehuka wehuka.
 
Hivi Mbumbumbu ni nani kati ya Lukosi na adolay ambaye anamjua Hussein Bashe na Mohamedi Bashe?
Ni kwa mwenye akili za KICHAA ndiye anayejiunga CHADEMA leo
ni KIPOFU ndio anaiona inanyemelea Madaraka 2020 na hasa kwa Jimbo la Nzega
Kwa Ikulu ni bado sana, malizeni matatizo ya ndani na mkishindwa muulizeni Mrema alivyokoswa koswa kumalizwa na kina Marando kule Tanga, km sio kuvuliwa kibaraghashee na kufichwa chini ya meza, aliyekuwa na kibandiko alirushwa ghorofani na MUNGU mkubwa yupo hai lakini kiuno. ....
Bado safisheni MASHUSHU na wenye tamaa ya MADARAKA km Biashara kwao

Kwa akili hii, inabidi tu niamini kuwa CCM wametuloga Watanzania.
 
Last edited by a moderator:
Chadema kweli mmechanganyikiwa ibrahim mohamed bashe msomali huyu ndiye amejiunga Chadema sio Hussein bashe, a cheni ujinga
 
Ha ha ha !!huyu si ndiye mtumishi wa Rostam na rafiki yake sana ZZK??!!.Hebu tusishabikie upuuzi huu,wallah CDM msipokuwa makini mmekwisha??!!
 
Anakariibishwa as long as ni mtanzania, aje afuate taratibu za chama tusimamie na kujenga taifa letu
 
Uzushi mtupu,Mohamed Bashe ni CDM siku nyingi na uanachama wake upo kata ya Kiijitonyama mtaa wa mpakani A!hii ni kuweka mambo sawa maana kashiliki mikutano mingi tu na operation za Chama maarufu M4c.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom