Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 84
Vichekesho vingine bwana?
Siku zote kwenye mkusanyiko wa mambulumundu hapakosi vituko
rambirambi ya marehemu mwangosi mkuu tunahitaji.....
Vichekesho vingine bwana?
Siku zote kwenye mkusanyiko wa mambulumundu hapakosi vituko
Kama ana sifa za kuwa mbunge na wananchi wakamchagua tatizo liko wapi? Usiwe na akili kama afande Chris Mwalukosi!Kwamba kafuata ubunge au???!!!
wenye kujitambuwa hupanda basi lililo bora, jipya na nafasi ikiwemo ndani ya kutosha
sasa mtu na akili yake anajitowa chadema na kuenda ccm unategemea wassira akuachie nafasi kweli....?? Niwapumbavu tu...
bashe mjanja anafahamu fika kwamba kupitia chadema ubunge hataukosa maana basi la cdm ni jipya na kunanafasi.
rambirambi ya marehemu mwangosi mkuu tunahitaji.....
kwa taarifa niliyoipata jioni hii ni kwamba Ndugu Mohamed Bashe amevua gamba na kuvaa Gwanda.
karibu aluta continue.
Atakuwa mchagga tena Mkristo.
Vichekesho vingine bwana?
Siku zote kwenye mkusanyiko wa mambulumundu hapakosi vituko
Wewe ni msalani halafu bado unaumwa mavi! Ajaabu kweli kweli!Kweli wewe ni BAVICHA damu,,,huu mjadala umeshafungwa na Majjid, Msigwa keshajisalimisha kwa mjane!
Kwamba kafuata ubunge au???!!!
Atakuwa mchagga tena Mkristo.
Haituhusu twasonga mbele