Sorry who is Mohamed bashe? Ana undugu na bashe wa magazeti ya rostam
Vichekesho vingine bwana?
Siku zote kwenye mkusanyiko wa mambulumundu hapakosi vituko
Wenye kujitambuwa hupanda basi lililo bora, jipya na nafasi ikiwemo ndani ya kutosha
sasa mtu na akili yake anajitowa chadema na kuenda ccm unategemea Wassira akuachie nafasi kweli....?? niwapumbavu tu...
Bashe mjanja anafahamu fika kwamba kupitia chadema ubunge hataukosa maana basi la cdm ni jipya na kunanafasi.
kwa taarifa niliyoipata jioni hii ni kwamba Ndugu Mohamed Bashe amevua gamba na kuvaa Gwanda.
karibu aluta continue.
tunamkaribisha lakini ajue chadema hawacheki na nyani,hakileta za kuleta atazikokabwekwa taarifa niliyoipata jioni hii ni kwamba Ndugu Mohamed Bashe amevua gamba na kuvaa Gwanda.
karibu aluta continue.
Vita ya mabwanyenye kuinunua cdm imeanza baada ya kupigiwa upatu kuweza kuingia madarakani. Wenyenazo wameanza kusogeza mguu mmoja cdm. Enzi ya wavuja jasho kutamba nchini je ni ndoto isiyowezekana tena?kwa taarifa niliyoipata jioni hii ni kwamba Ndugu Mohamed Bashe amevua gamba na kuvaa Gwanda.
karibu aluta continue.
Atakuwa mchagga tena Mkristo.
Atakuwa mchagga tena Mkristo.
Kwamba kafuata ubunge au???!!!
nahisi kama alishajiunga siku nyingi!