zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,935
tatizo hiki sio chama ni genge la walafi
Kuna walafi kuliko wanaochota fedha za chama wakajengea mahawara zao majumba?
tatizo hiki sio chama ni genge la walafi
ni kweli zile ni fedha za CHAMA lakini hayo magamba sio chama ni MAFIASO......Kuna walafi kuliko wanaochota fedha za chama wakajengea mahawara zao majumba?
Na bila Shaka hatazaa kitoto chotara la lakipemba na mtumbatunaomba niizalishe,
Membe ni Kachero sasa Bashe alitaka Membe akabidhi nchi Kwa Lowasa badala ya Chadema???Ameshema hayo alipoongea na wandishi wa habari leo kuwa membe ni mtu hatari wa kuogopwa kama ukoma kwani ndiye anayegawa Chama, anawatumia vijajna vibaya ndiye aliyewatuma kuvuruga uchaguzi wa U CCM Akimtuma Mhe Nyarandu pia ndiye aliyewahidi chadema nchi 2015 Yamo katika tarifa yake kwa vyombo vya habari haya yakiwa yamesikika kwenye taarifa ya habari STAR TV
Wanajamvi kazi kwenu CD nyingine hiyo baada ya ile yakutosomewa majina tuliyoahidiwa.
CCM Zaidi tuijuavyo.
Wanabodi,
Amesema hayo alipoongea na wandishi wa habari leo. Akimtuhumu Mhe Membe kuwa ni mtu hatari wa kuogopwa kama ukoma kwani ndiye anayegawa wana chama, huku akiwatumia vijana kama wakina Matefu kwa vipeperushi. Ndiye pia aliyewatuma kuvuruga uchaguzi wa UV CCM Akimtuma Mhe Nyarandu kuleta vurugu wakati wa uchaguzi wa vijana. Na aliyewakabidhi chadema nchi mwaka 2015 ndiyo maana ni mtu hatari wakuogopwa kama ukoma, mnafiki. Haya yamo katika taarifa yake tamko lake kwa tuhuma za kuhusishwa na vipeperushi vya kumkataa Mhe Rais kuwania Uenyekiti wa Chama iliyosambazwa kwenye vyombo vya habari.
Haya yakiwa ni kati yaliyosikika kwenye taarifa ya habari STAR TV.