Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,551
kwanini lakini haya malumbano ndani ya ccm??????????????
Ni laana ya watanzania mkuu!
kwanini lakini haya malumbano ndani ya ccm??????????????
Magamba yanaruka na kukanyagana .........
mke wao caf anamimba ya miezi 8 muda wowote anaweza kujifungua ndio maana awezi kuingilia ugonvi huu
ccm ilizaliwa,ikakuwa,imezeeka,na sasa inakufa....hakuna cha kuinusuru ccm kwa sasa
Kuna haja ya polisi kuadaa pf3 za kutosha.maana yake naona kutakuwepo na ngeo nyingi sana.
Bora Bashe atoe ya moyoni wanamuandama sana akitaka kugombea eti sio raia uchaguzi ukiisha ni raia, Membe na Nyalandu pia wanawatumia KINA Matefu na wenzake kila siku kumtukana na kumbagua Bashe! Hongera Bashe kwa kupiga kwenye kichwa KINA Happi, Makonda, Mwakibinga, Musiba, Riz, Nape na wajingawajinga wengine sio size yako we deal na Hao wanaochonga hivyo vinyago pamoja sana
Nambari wani eeeee ,nambari,nambari wani ni ccm imba mara mbili
Kama vipi watishiane BASTOLA................naamini wote wanazo wasitupotezee muda............ILIISHA TANGAZWA NA CCM KUWA BASHE SIO RAIA SASA NAULIZA KAPATA LINI URAIA WAKE?