Bashe amlipua Membe

Bashe amlipua Membe

EL yupo jamani au bado yuko ujerumani..sidhani kama anaweza kupitiwa na uhondo wa wkend hii
 
kwanini lakini haya malumbano ndani ya ccm??????????????

Kwasababu kale ka mkate wameshindwa kukala kwa pamoja, wengine wanakula zaidi maana muda wao unakwisha wakati wengine wanataka nao wale zaidi kwa sasa ili waweze kuwa na nguvu ya kusimama baadae kugombe nafasi mbalimbali. Sasa kinachotokea ni fitina tu . Unajua vita ya ndani ya nyumba ni nzuri maana wanauana wao kwa wao hata jirani hapati tabu. Hongereni CCM maana mnafungua milango ili wengine nao waingie.
 
nchi ya press conf,matamko,waraka,mkaripio,
 
Mkiona tetesi za vita kila mahali fahamuni ule mwisho umekaribia..
 
Usisahau kuweka picha ya bastola yake najua ata kwenda nayo kwenye press conference!
Sijui sasahivi ni raia!
 
EL yupo jamani au bado yuko ujerumani..sidhani kama anaweza kupitiwa na uhondo wa wkend hii
Madaktari wameshathibitisha kwamba afya ya Lowassa ni njema kabisa. Muda huu yupo anapanga mikakati tu ya magogoni 2015.
 
Tz ni kubwa haiwezekani kila siku chinga ndo atuongoze. Malaigwanani nanyi ni zamu yenu kukaa juu sio kila siku uPM tu. kwi! kwi! kwi!
We ngojea hao "malaigwanani" na wa "chinga" wakurupushane weeee halafu utasikia anaibuliwa mpemba mmoja yupo yupo from nowhere atuongoze.
 
Tz ni kubwa haiwezekani kila siku chinga ndo atuongoze. Malaigwanani nanyi ni zamu yenu kukaa juu sio kila siku uPM tu. kwi! kwi! kwi!

Hili ndio neno la straight mzee nilishawahi kulisema watu waliniambia thubutu ngoja utaona lazima mtawala atoke mwambaoni ni nyerere tuhakuna mwingine atakaa ashike nchi ahah a hha...nikamwambia safarii hii na wengine wameapa haiwezekani ndio legue hiui inaendelea bado mwandosya na Magufuli nao watakuja subiri
 
Bb

kama tunataka kutawala kwa utaratibu huu......malengo hayafikiw
 
Huyu msomali bashe atuachie nchi yetu baba yake ametumalizia tembo wetu kibaraka mkubwa wa rostam na lowassa kundi lao ni genge la wezi.
 
Ccm ilizaliwa,ikakuwa,imezeeka,na sasa inakufa....Hakuna cha kuinusuru ccm kwa sasa

Waasisi wake wengi wamekufa. Kifo si ajabu, ajabu ni kuishi kupitiliza. Mpaka sasa kipo na kinadunda na bado ni kijana kabisa kwa umri wa vyama duniani.
 
Bashe naye ni mnafiki, mafisadi wanamtumia huyu Al Shabab.
 
Saa iliyokubalika ni sasa.Mwl. Nyerere tunakukumbuka kweli.Mungu fukuza ccm madarakani.Utusikie kwa jina la YESU KRISTO.
 
Saa iliyokubalika ni sasa.Mwl. Nyerere tunakukumbuka kweli.Mungu fukuza ccm madarakani.Utusikie kwa jina la YESU KRISTO.
 
Huyu msomali bashe atuachie nchi yetu baba yake ametumalizia tembo wetu kibaraka mkubwa wa rostam na lowassa kundi lao ni genge la wezi.

Ukweli mechi yao ni kali kuliko tunavyofikiria, hebu fikiria wanafikia hatua ya kutaka kumg'oa JK uenyekiti wa CCM hata kabla ya muda wake kuisha kama tulivyozoea kuona miaka ya nyuma? Ole Sendeka juzi alitoa mwangalizo kuwa wabunge wote wawe kitu kimoja katika kuunga mkono hoja ya zito ama sivyo pesa iliyofichwa Uswizi zitawaumiza wao wenyewe wabunge ifikapo 2015, na ndivyo itakavyokuwa kwani kuna kila dalili ya makundi haya kuzidi kukomaaa kila kundi likilenga 2015, angalia chaguzi zao zilivyokuwa zinanuka rushwa kama samaki waliooza pale feri na hakuna aliyekemea kikweli kweli zaidi zaidi ya danganya toto walizotoa kwenye hizo press meeting uchwara,

Wasiwasi wangu ni kwamba sasa hivi wanalipuana kwa maneno lakini kadri siku zinavyokaribia sitastaajabu hapo mbeleni tukapata vifo vya ajabu ajabu vitakavyokuwa vinaratibiwa na akina Ramadhani Ighondu wa kila upande,

Kuhusu Bashe huyo njaa inamsumbua sana kwani katoka ukoo wa kimaskini na kamwe hawezi acha kucheza miguuni mwa hao bwana zake kama paka wa nyumbani ili apate mkate wake wa kila siku
 
Back
Top Bottom