Kichancheda
Senior Member
- Oct 29, 2012
- 142
- 46
Adui muombee njaa
Wadau mtanisamehe kwa kauli yangu ninayotaka kuitoa......dhidi ya CCM, "nikiliona tu hili jina CCM, nachefukwa na roho mara 12"Marko 3 : 24
Na ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, ufalme huo hauwezi kusimama;
Chama la KAMBALE hilo.....baba ana sharubu, mama ana sharubu na watoto wana sharubu.
tatizo hiki sio chama ni genge la walafiWaasisi wake wengi wamekufa. Kifo si ajabu, ajabu ni kuishi kupitiliza. Mpaka sasa kipo na kinadunda na bado ni kijana kabisa kwa umri wa vyama duniani.
Hawa ccm siku zote huwa nawafananisha na wale waliokuwa wanajenga mnara wa babeli.Sasa hivi hawaongei lugha moja wakaelewana.Yaani mwenyezi mungu kawapiga laana kutokana na madhambi yao kwa watanzania kama alivyowashushia laana wale waliokuwa wanajenga mnara wa babeli.Kwa kifupi, wana ccm sasa hawaongei tena lugha moja na kilichobaki ni kwa wao kusambaratika kama ilivyokuwa kwa wale wajenzi wa mnara wa babeli.Wanatumikia laana bila kujijua.LAKINI KWELI UYU DOGO C MTANZANIA, SIAMINI KM KAWAWEKA UHAMIAJi KT MFUKO WAKE ATA HAWA UHAMIAJI? KWELI BASHE NI NOUMA
Sio Apakuliwe huyo mpishi na Basha wake hawana ubavu wa kuita conference iwe jikoni au kwenye magazeti yake, leo asubuhi kaambiwa anasambaza vipeperushi vya kumkataa Mkiti wake karuka kisomali sasa km katumwa na EL kwa kuukimbia Mkut/Mkuu Taifa wanajiwashia moto wenyeweMkuu unapenda kupakuliwa eeh?
Angalia mambo yaliyokuwa yanatokea Kwenye KANU ya Kenya na chama tawala cha ZAmbia hapa karibuni....kisha angaliaYatatimia lini maneno ya unabii huu? na nini dalili za utimilifu wake??
Bashee, ngoja nae Kingwangwaraa aje akumalize!Habari nilizozipata muda huu kwenye chanzo cha kuaminika zinasema kwamba Hussein Bashe yupo anafanya press conference miongoni mwa yaliyojiri ni kwamba kamshukia Membe kwamba ni MNAFIKI na anaishi kwa kubebwa huku akimtumia kibaraka wake bw Lazaro Nyalandu kumchafua,bado anaendelea kuzungumza akimaliza tu uzi wote hapa.Narudi jikoni.
Habari nilizozipata muda huu kwenye chanzo cha kuaminika zinasema kwamba Hussein Bashe yupo anafanya press conference miongoni mwa yaliyojiri ni kwamba kamshukia Membe kwamba ni MNAFIKI na anaishi kwa kubebwa huku akimtumia kibaraka wake bw Lazaro Nyalandu kumchafua,bado anaendelea kuzungumza akimaliza tu uzi wote hapa.Narudi jikoni.

Magamba yote seatdown, magamba seat down!Magamba yanaruka na kukanyagana .........