Bashe amlipua Membe

Bashe amlipua Membe

Mkuu fafanua zaidi.
How yataleta machafuko?
Na kivipi hatuko salama?

Seriously i don't get you.

Mkuu unajua ndani ya ccm yako makundi tofauti na baadhi ya makundi hayo yamejenga wigo mpana wa umafia ambao mwisho wa ciku umekuwa kama salama yao.

Maana yake hapo nje ya system hawatakuwa na maisha wanahofia kuishia magerezani,kwa hiyo watatumia mbinu zote Mkuu.

Hawatakuwa tayari kupokwa madaraka kwanza ndani ya chama chao.Hawa wana mitandao yao ambayo imesambaa (ukitilia maanani ccm wana matawi nchi nzima).

Wanaweza kutumia ujinga na njaa ya walala hoi kwenye matawi ili walindiwe maslahi yao.Sasa fikiria kukiwa na 2 opposing groups zenye nguvu ndani ya ccm.

Zinazotaka kubaki kwenye system moja kwa kujilinda na pili kuendelea kufaidi rasilimali zetu. Unadhani mapambano yao hayataathiri nchi kweli? Maana yatasambaa mpaka kwenye matawi yao.
 
Acha chuki zako za kibaguz zisizo na mcng, kama angekuw haramia kuna sbb gan ya kutokukamatwa na vyombo vya dola? na hilo jina umelipata wapi kama cyo kwa wamarekani?
mbona nyie wote watatu ni "member" tu humu,hii imetokea kwa bahati mbaya au makusudi pengine ni mtu moja aliyesajili id tatu tofauti leo kwa ajili ya shughuli za bashe tu?!!!
 
Acha chuki zako za kibaguz zisizo na mcng, kama angekuw haramia kuna sbb gan ya kutokukamatwa na vyombo vya dola? na hilo jina umelipata wapi kama cyo kwa wamarekani?

ndio mana nikakuuliza wewe unavyofahamu ili mtu awe mmarekani anatakiwa kuwa wa aina gani?kwa kuwa mimi ninavyofahamu marekani ni nchi ya wahamiaji watupu,lakini tanzania hapana,tupo wenyewe,hawezi kuja msomali hapa na usomali wake akajipenyeza kwenye siasa kwa style ya upambe then akawa ndio msemaji mkuu kuliko wenye nchi,hizo siasa zake akazifanyie kwao mogadishu au somali land
 
Hussein Bashe kaona mbali kwamba Membe anaweza kuwini kiti na kwakuwa katumwa na EL kumchimbua undani wake swaiba wa Kikwete mtaona atakakoishia. Uraia wake utaibuliwa kuwa si raia wa TZ bali ni Msomali tena agent wa Alshabab.

Pia yanatimia maandiko ya Biblia aliyoyatoa Yesu Kristo Mwana wa Mungu akisema "The house that stands against itself shall never stand" Ni kweli kama ndani ya familia ambayo ni BABA, MAMA na WATOTO wote mkageukana dhidi yenu wenyewe nyumba hiyo haiwezi kudumu kuwa imara.

C.C.M. imeonyesha njia wengine TAFAKARI KISHA CHUKUA HATUA.
 
Hussein Bashe sasa sijui ameshakwenda maliwatoni mara ngapi baada ya kujilipua na kujiapiza kuukata mbuyu akiwa na wembe wake. Alitakiwa amuache aliyemtuma ndiye aongoze mapambano siyo kujificha kwa kivuli cha suicide bombers kama Bashe halafu wanaishia kuaibika. Alishindwa kujibu iwapo yeye na wenzake waliokuwa wanasambaza vipeperushi vya kumchafua Rais ni wafuasi waliotumwa na Membe. Ushindi wa Membe ni impeachment kwa mbinu chafu za Lowassa na kundi lake wanaoamini fedha inanunua kila kitu.
 
Nilimsikiliza Bashe wiki iliyopita akimsema mh.Membe,hata ile heshima tu ya kumzidi umri haikuwepo kabisa yaani utafikiri alikuwa akimsema kijana mwenzie,nikabaki najiuliza mwenyewe hizi nguvu wanazitoa wapi?.na mwingine ni nape akiwa akimsema DR SLAA yaani utafikiri kwao hakuna wakubwa.Ushauri wangu kwao hata kama wana mamlaka wawe na angalau hekima ya kuwaheshimu waliowazidi umri basi.
 
Back
Top Bottom