PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyo na Nchimbi si walikuwa timu Lowasa?

Yeye na Nchimbi si ni damudamu?

Basi uwepo wake kwenye baraza huenda kungeimarisha timu Nchimbi.
Commonsense ni kuwa wapinzani wa Nchimbi hawawezi kumuimarisha kwa kumuwekea watu wake ndani ya baraza
 
Subiri report ya CAG akwambie bank ya kilimo iliyoanzishwa juzi ipo chali. Jamaa washakomba mtaji wote na wametokomea kusiko julikana.

Hivi kitu gani Bashe amewahi anzisha kikadumu hata mwaka mmoja zaidi ya kuongeaga ujinga tu, kupewa hela nyingi kwa ideas zake hovyo.

Mnawakuza sana hawa wapuuzi ambao hawana mafanikio ya utendaji. Hali ya kilimo ni worst zaidi ya alivyoikuta na kapewa zaidi ya trillion tatu ndani ya muda wake. Legacy zero, nada; halafu unatuambia mmbunifu jitu jizi.
 
Bashe ni moja ya vijana wazee wajinga sana ni mchumia tumbo. Yaani pamoja na kujiona ni mfalme wa kuleta michongo ya ovyo ila wapi mfumo umemtema
 
Kama alichofanya ndio kupatia basi nionyesha aliyekosea...
  • Sakata la sukari
  • Issue za kuchangonisha wakulima na walaji kwamba walaji ndio wanapanga wauze wapi na yeye hawapangii na kuja kupiga reverse kwamba wasiuze sijui mpaka vibali
  • Issue ya kukusanya wale watu sijui na miradi gani waende kulima ; badala ya hio pesa na usaidizi kama kweli alikuwa na nia angepelekea kwa wakulima
In short hadi kuna kipindi nilijikuta nikiuliza
 
Ukipata nafasi ya kupiga yaani ni unapiga haswa na hii formula ndio Bashe kapita nayo
Hata asipochaguliwa yuko poa tu
 
Bwawa analochimba HUYO MSOMALI hapo Wilayani Uyui ni la Mabilioni ya pesa.

Kayapata wapi HAYO MABILIONI kama siyo WIZI
 
Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Alikuwa CHEAP.

Machawa wako wengi, hawatafutwi.

Mkenda aligoma kutoa Kibali cha sukari kwa ITEL.

BASHE akatoa kipa kitu.

Mkenda yupo.

Bashe kawa Tapeli.

Hata akianza kuropoka kama.zamani hakuna mtu atamchukulia serious, maana itaonekana ni TAPELI tu
 
Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Mkuu sakata la sukari, tayari ushalisahau?

Japo sababu ya msingi kufurushwa kwake siielewi.

Ubunifu unaomsifia, uje uwaulize vijana aliowakusanya BBT 'kuwawezesha' na kilimo usikie walivyonyanyasika.

Ubunifu wake ulikuwa ni kwa ajili ya tumbo lake na si kwa taifa.
 
Huyo na Nchimbi si walikuwa timu Lowasa?

Yeye na Nchimbi si ni damudamu?

Basi uwepo wake kwenye baraza huenda kungeimarisha timu Nchimbi.
Commonsense ni kuwa wapinzani wa Nchimbi hawawezi kumuimarisha kwa kumuwekea watu wake ndani ya baraza
Wewe umeona mbali sana.
 
Back
Top Bottom