PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwamba wengine hawapaswi kuwa mawaziri?
Uwàziri siyo mali ya furani na furani pekee.
 
BBT na Samia connect..zimemfyekelea mbali.

Tamaa ya madaraka mbaya. Hata huo ubunge ashukuru.
 
Hebu tuelezeni kwa utuo ni kipi hasa kinaendelea hao uliowataja wamekosa vyeo?
Habari za Bashe muulize Basha wako Rostam ambaye huwa unajinanga mitandaoni kuwa ni basha wako mmekuwa na kucheza pamoja kule Mwisi kwa Mamuro..
 
Bashe ni mtu wa OVYO, hata ubunge ashukuru Mungu alikuwa anapigwa chini, pale tabora alimweka ndani jamaa muuza vifunga shio Ili viuzwe vyake jamaa rangi yake haimtumi kuwa mzarendo kamwe
 
Bashe ni Kimeo tu na upigaji wake kwenye Wizara Kwa kujifanya creative, Everything he touches kinaaribika,

He was the useless minister the country has ever had
 
Bashe ni moja ya vijana wazee wajinga sana ni mchumia tumbo. Yaani pamoja na kujiona ni mfalme wa kuleta michongo ya ovyo ila wapi mfumo umemtema
Hana lolote...debe tupu, mikwara mingi. Sijawahi mkubali kwa lolote... mara 100 Kigwangala
 
Bashe ni mtu wa OVYO, hata ubunge ashukuru Mungu alikuwa anapigwa chini, pale tabora alimweka ndani jamaa muuza vifunga shio Ili viuzwe vyake jamaa rangi yake haimtumi kuwa mzarendo kamwe
Huyo bashe ni mtu Katili mno na mpenda fedha sana huyo nilimjua rangi yake halisi msimu wa mwaka Jana wa korosho kwenye maghala makuu ya TANECU aisee isingekuwa mzee mkuchika kuingilia kati ilikuwa tunanyang'anywa usimamizi wa kutunza maghala ambapo tulishinda kihalali kabisa kwasababu alishamleta mtu wake
 
Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Alipost kwenye mtandao wa X akikemea utakaji na kuishauri serikali kama mtu amekosea amepelekwe mahakamani
 
Msonjo nasikilia alikua ndumi la kuwili kwa mama yupo ila usiku yuko upande wa pili anaongea shiti za manyonyo
 
Hana lolote...debe tupu, mikwara mingi. Sijawahi mkubali kwa lolote... mara 100 Kigwangala
Dah bora Bashe, Kigwangala ana matatizo ya akili. Bashe tatizo ni anapenda hela na bonge la fisadi he can even kill ili apate hela. Kigwangala yeye maamuzi yake ni kama mwehu he doesn’t make sense kabisa
 
Subiri report ya CAG akwambie bank ya kilimo iliyoanzishwa juzi ipo chali. Jamaa washakomba mtaji wote na wametokomea kusiko julikana.

Hivi kitu gani Bashe amewahi anzisha kikadumu hata mwaka mmoja zaidi ya kuongeaga ujinga tu, kupewa hela nyingi kwa ideas zake hovyo.

Mnawakuza sana hawa wapuuzi ambao hawana mafanikio ya utendaji. Hali ya kilimo ni worst zaidi ya alivyoikuta na kapewa zaidi ya trillion tatu ndani ya muda wake. Legacy zero, nada; halafu unatuambia mmbunifu jitu jizi.

Style ya Bashe ni Kama makonda tu.
Kelele Nyingi Impacts Hakuna, Japo wao wanajineemesha
 
Back
Top Bottom