PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Dah bora Bashe, Kigwangala ana matatizo ya akili. Bashe tatizo ni anapenda hela na bonge la fisadi he can even kill ili apate hela. Kigwangala yeye maamuzi yake ni kama mwehu he doesn’t make sense kabisa

Mbaya zaidi yeye anajionaga Genius huyo, Anazani kua MD you can nail Everything
 
Style ya Bashe ni Kama makonda tu.
Kelele Nyingi Impacts Hakuna, Japo wao wanajineemesha
Kujineemesha huko CCM ni utamaduni wao.

Shida ya Bashe is being over ambitious on his policies/ideas/project proposal. Which either lead to government large funding of his polices, cause sharp price hikes affecting people with low income or create a scenario which fosters fraudulent activities.

In most cases Bashe himself being oblivious of the outcome, he is just shallow with big ambitions not understanding what it takes.

Hakuna mwanasiasa alieitia hasara kipindi cha Samia kama Bashe, he is just useless, akifatiwa na Ummy; Makamba not far behind.

Makonda yeye deal zake za vi milllioni 500 labda mpaka billion. Hayo majamaa matatu hapo salaleh yamechezea hela za walipa kodi aijawahi tokea.
 
Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Rostam alitumia ifluemce yake kwa Samia ndio Bashe akapata ubunge na baadae uwaziri!! Kama Waziri alitumiwa na Rostam kuiibia nchi kupitia benki ya wakulima [ Tanzania Agricultural Development bank]. Kwa taarifa zaidi ukifanya utafiti kwenye benki hiyo utaona sehemu gani na kwanani mikopo toka kwenye benki hiyo ilikokwenda na watu na makampuni ambayo mpaka sasa hawarejesha mikopo! Huo unaosema ubunifu na kelele nyingi zilikuwa mbinu za kifidsdi tu!! Huyu ni boi wa Rostama miaka nenda rudi!
Ili ujue connection ya hawa wahuni, Managing Director wa Benki ya wakulima alikuwa mfanya kazi wa LAKE OIL na unawajua wamiliki wa hiyo kampuni? Ni hilo hilo genge la wahuni!
 
Mteuaji ndo anajua kwanini hajamteua Bashe. Ila kwa upande wangu Bashe sio mtu mbunifu. Ni mtu mwenye mchango mkubwa kwenye kupoteza fedha za serikali kupitia BBT. Ule mradi ni uhuni mtupu ulifanyika.
 
Bashe alizingua na miradi yake uchwara ya kilimo. Angekuwa enzi za Stalin angeliwa kichwa.
 
Dah bora Bashe, Kigwangala ana matatizo ya akili. Bashe tatizo ni anapenda hela na bonge la fisadi he can even kill ili apate hela. Kigwangala yeye maamuzi yake ni kama mwehu he doesn’t make sense kabisa
Kigwangala ni kasongo /ngiri kwenye maamuzi,
 
Back
Top Bottom