Bash La Mwaka NYC: Wakulu Tukutane Huko

Wilson's Woods Park‎ -
8 Bradford Rd, Mt Vernon, NY‎ - (914) 813-6990‎ -


- Okay wakuu hii ndiyo anwani ya hapo Park na hiyo ni namba ya simu pia hapo hapo Wilson Woods Park. Kwa hiyo ni ku-google au mapquest ili ufike.

Ahsante.

William.
 
Last edited:
Mkulu umesikika loud and clear....hata wajuba wakishusha snow siku hiyo.....kutapikwa tu...au sio...🙂🙂
 
Asante sana Kaka kwa taarifa hii, mimi ni Lazima nitakuja na ninatumaini hapo Park watoto wataruhusiwa kwa sababu ninataka kuja na Familia nzima. Na suala la parking vipi (maana New York hiyoo.)
Asante sana kwa kukamilisha ahadi yako ya kutuletea maelezo zaidi. Nataarifu na ndugu zangu wengine piaa. ASANTE.
 
Baada ya kushauriana sana na Bellinda tumekubaliana kuja kwenye hilo Bash, hatutarajii watu/mtu kutaka kuulizana mamo JF eti wewe Hamis Dilunga kule JF unatumia ID gani michango yako huwa haijaenda shule kwi kwi kwi, tutakuwa tumevaa suti nyeusi na miwani ya kipelelezi. Tusiulizane wala namba za simu baada ya mnuso na kuruka magoma tuachane salama.....kusiwe na wapiga picha wa kutumwa

Masa and BJ
 
Kwikwikwikwikwi, Hahahaha, hii safi sanaa. Nikikuona sitakuuliza mambo ya JF na sitakupiga picha. Hahahah
 

Mkuu Kusajo, ni kwamba:-

1. Parking kwa kawaida zipo pale Park na ni bure, halafu ni kwamba sehemu ni kubwa na kunakuwa na vikundi vingi vikifanya cookout zao, kwa hiyo cha muhimu ni kufika mapema, kwa sababu ukichelewa unaweza uka-struggle kidogo lakini utapata tu parking.

2. Watoto wanaruhusiwa sana, tunategemea kuona watoto wakijirusha sana siku hiyo na kufahamiana na watoto wengine, si unajua tena hawa ndio taifa la kesho, isipokuwa tu hawataruhusiwa kwenye muziki usiku.

3. Habari njema zaidi ni kwamba jana nilikuwa na mazungumzo ya muda mrefu sana na ya ana kwa ana na Balozi wetu UN, na pia Katibu Mkuu Msaidizi wa UN, kwa nyakati mbali mbali,

- Walitaka kujua the whole state ya hii shughuli baada ya kupata e-mails nilizotuma majuzi, in the end wote wametoa baraka zao, na pia wote wameonyesha moyo wao wa upendo kwa kutoa michango maalum ya binafsi kwa ajili ya kutusaidia kufanikisha shughuli hizi, na wameniahidi kwamba iwapo watakuwepo NY hiyo siku, watajumuika nasi bila ya kukosa.

- Again, ninapenda kuwapa shukrani zangu na sisi watayarishaji wenzangu wote kwa moyo wao wa upendo na undugu na Mungu awazidishie, kwa sababu they did not have to get involved, lakini wakamua kushiriki anyways, inatia moyo sana. Na wakuu wengine wote tupo pamoja sana, Kamanda Masanilo, Lusajo, Mkulu Max karibuni wakuu na tupo pamoja sana.

Ahsante.


William.
 
Alamo Restaurant and Sports Bar

166 Gramatan Ave.
Mount Vernon, NY 10550

914-664-1111
 

Wilson's Woods Park
8 Bradford Rd
Mt Vernon, NY 10553
(914) 813-6990

1. Head southwest on Bradford Rd toward Beechwood Ave
203 ft
2. Turn right at Beechwood Ave
0.2 mi
3. Turn right at S Columbus Ave/NY-22
0.5 mi
4. Turn left at E Lincoln Ave
0.6 mi
5. Turn left at Gramatan Ave
0.2 mi

166 Gramatan Ave
Mt Vernon, NY 10550
 
- Wakuu so far so good, we are moving forward na kasi ya ajabu sana, the support from morally mpaka financially is overwhelming,

- Na ni kutoka kwa wananchi wengi walalahoi wenzangu mpaka viongozi wetu na prominent people wa jamii, ninasema kwa niaba ya watayarishaji wote we are humbled.

- Pia heshima zangu nzito sana kwa Mwalimu, yaani Professor kwa msaada mzito sana anaoutoa so far wa kuwa-reach out wananchi ubarikiwe tu Mwalimu.

Naomba kurudia, anwani ya The park ni:-

Wilson Woods
8 Bradford Road
Mt. Vernon 10553 NY


Na ukumbi wa muziki ni:-

Alamo Club
166 Gramatan Avenue
Mt. Vernon 10052 NY


Tutaendelea kuhabarishana zaidi.

William - Community Organizer (CO)
 
Forecasts: 15-Day Forecast

Location: New York, NY

Current Time: 10:05:14 PM EDT 2 Weather Alerts

USA Weather News Headlines

Powered by Powered by Weatherbug

Powerful Storms Are Blasting Plains to Ohio Valley: Severe storms with high winds and hail are erupting in the Upper Midwest and Ohio Valley. Hail and high winds are likely with the storms.

High 90s and triple digits will persist through the weekend, with the heat now spreading northward into more of the Plains.

Weekend Outlook: With the summer solstice occurring Sunday, many reaches of the U.S. will definitely feel the heat of summer.

All Stories.

15-Day Forecast [Updated: Jun 19 2009 / 08:33 PM EDT ]
Day High Temp. Low Temp. Wind Speed/Dir. Humidity Comfort Level UV Index Precip. Probability 24hr. Precip. Total

Sat, Jun 20
Thunderstorms. Haze. Warm. 81°F 68°F 6 mph / S 72% 86°F Low 82% 0.40"

Sun, Jun 21 A few tstorms. Overcast. Mild. 73°F 67°F 11 mph / NE 81% 73°F Low 73% 0.50"

Mon, Jun 22 Sprinkles. Overcast. Mild. 75°F 62°F 16 mph / NNE 68% 77°F Low 69% 0.10"

Tue, Jun 23 Sprinkles. Decreasing cloudiness. Warm. 80°F 62°F 12 mph / NNE 66% 83°F High 43% <0.01"

Wed, Jun 24 Widely scattered tstorms. Scattered clouds. Warm. 82°F 67°F 7 mph / NNE 64% 86°F High 51% 0.05"

Thu, Jun 25 Scattered showers. Scattered clouds. Warm. 87°F 69°F 7 mph / NW 64% 94°F High 41% 0.40"

Fri, Jun 26 Partly cloudy. Warm. 85°F 71°F 8 mph / W 64% 90°F High 34%

Sat, Jun 27 More sun than clouds. Warm. 87°F 72°F 8 mph / S 74% 99°F High 0%


William - Wazee wa Community Organizer (CO).
 
...........Lusajo umenikumbusha mbaaali saana zile enzi zetu na huyo Mkuu kwenye Avatar yako ..........RIP Elly........
 
> DAILY DETAILS for New York, NY

Special Weather Statement
[State warnings for NY]


YesterdayTodayTomorrow
Radar MapHour-by-HourWeekend10-DayMonth

Daily Details for
New York, NY
[ English | Metric ]

Today Sat, Jun 27 Sun, Jun 28 Mon, Jun 29 Tue, Jun 30 Wed, Jul 1 Thu, Jul 2 Fri, Jul 3 Sat, Jul 4 Sun, Jul 5 Hourly Forecast more details
6 am

69°F
Feels Like
69°F 9 am

72°F
Feels Like
72°F 12 pm

76°F
Feels Like
78°F 3 pm

78°F
Feels Like
80°F 6 pm

76°F
Feels Like
78°F 9 pm

72°F
Feels Like
72°F DayNight

Isolated T-StormsHigh
79°F​

Precip
30%
Wind:NW 9 mphMax. Humidity:61%UV Index:9 Very High
Sunrise:5:27 AM ETAvg. High:80°FRecord High:98°F (1966)​


Partly CloudyOvernight Low
65°F​

Precip
20%
Wind:NNW 9 mphMax. Humidity:72% Sunset:8:31 PM ETAvg. Low:65°FRecord Low:50°F (1985)
Last Updated Friday, Jun 26, 3:15 PM Eastern Daylight Time
Details
VideoTextAverages​



.promoLinkA,.promoLinkA:link,.promoLinkA:active,.promoLinkA:visited{font-size:11px;color:#ffffff;text-decoration:none;}
 
Niko Alamo hapa naona mduara umekolea si mchezoo. Park ilikuwa safi mpaka tuliacha vinywaji. My NY ppl hamja-ni let down kabisa kwenye hili, it worth a trip. Thanks to everyone.
 
Last edited:
mmmmmhh!! hivi kaka wewe mwandishi wa vitabu????????? maana si mchezo hayo maneno yako,yaani kama hajajinyonga muhusika basi tena.
 
mmmmmhh!! hivi kaka wewe mwandishi wa vitabu????????? maana si mchezo hayo maneno yako,yaani kama hajajinyonga muhusika basi tena.

maneno gani haya unayosifia ilhali ni utumbo mtupu.Vipi bash liliishaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…