Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,412
- 26,893
TULIPOTOKA NI MBALI inanibariki sanaAta Ambwene Mwasongwe mkuu? Huyu ndo binafsi yangu nyimbo zake nazikubali sanaaaaaa, anaanzaga kama kastori fuln mwisho anafanya connection na masuala ya Sir God. Hakika namwelewa na nyimbo zake zina mafundisho mengi sana. But hao wengineeeeeee, sijui labda Joel Lwanga nae anafuata uimbaji wa Ambwene ila yy anaingizia biashara sanaaaa