King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,672
- 68,644
Ifike mahali kama taifa tuone hii hatari iliyopo mbele yetu, wasanii wa muziki siku hizi wanaimba matusi waziwazi tena bila uoga.
Hakuna aliye msafi kabisa wote wanaimba matusi tu yaani hata kusikiliza mbele ya watoto inakua ni aibu.
Je, ina maana BASATA hawaoni mambo haya? Wengine wameona kuimba haitoshi wameamua kuvua nguo kabisa na kupanda stejini kutumbuiza.
Tunaelekea wapi jamani?
Inakera sana nyimbo nyingi ni matusi tupu.
-Mayai mawili ni MBUPU - Joh Makini
-Unavyoroll unagusa golori - Sanga
-Miguu uweke kwenye mabega - ANON
-Mademu wanapenda mlenda ila hawataki vibamia - Onetime for the mazafaka
-Mbuzi kagoma,Chuma mboga - ANON
-