mpapamwali
Senior Member
- Dec 23, 2016
- 151
- 172
Maamuzi ya kise.....wapooo!!!!
Bashite ww
Bashite ww
Weka wimbo tusikieAliyoimba yana ukweli ama hayana? Kwanini wasibadilike hao walioimbwa? Kumfungia Nay hakubadili ukweli uliosemwa. Isitoshe serikali haifuatilii mambo ya mitandao
Nenda YouTubeWeka wimbo tusikie
Hahaha unajifanya Ndugu yake na YesuBasata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna huu wimbo unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ilioimbwa na msanii Ney wa mitego, unasikika wimbo huo ukiwakejeli viongozi mbalimbali . Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka mwishomwa juma mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna huu wimbo unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ilioimbwa na msanii Ney wa mitego, unasikika wimbo huo ukiwakejeli viongozi mbalimbali . Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka mwishomwa juma mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
You want to use your mind to dictate what is written and sang by artists??? That will be a losing battle because the rhymes and the poems will glow as a flame in people...Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna huu wimbo unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ilioimbwa na msanii Ney wa mitego, unasikika wimbo huo ukiwakejeli viongozi mbalimbali . Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka mwishomwa juma mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna huu wimbo unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ilioimbwa na msanii Ney wa mitego, unasikika wimbo huo ukiwakejeli viongozi mbalimbali . Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka mwishomwa juma mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
Nimeusikiliza na bado naendelea kuusikiliza. Jamaa ametumia akili sana jina pekee alilolitaja ni Jakaya na hakuna sehemu ambayo kuna jina rasmi ambalo amelitaja. Jina lingine alilolitaja ni Bashite, je huyu mtu ni nani, je yupo?Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna huu wimbo unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ilioimbwa na msanii Ney wa mitego, unasikika wimbo huo ukiwakejeli viongozi mbalimbali . Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka mwishomwa juma mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
Kwani wa Mitego kasema uongo hadi achukuliwe hatua?Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna huu wimbo unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ilioimbwa na msanii Ney wa mitego, unasikika wimbo huo ukiwakejeli viongozi mbalimbali . Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka mwishomwa juma mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu