Sioni mantiki yoyote kwa hili. Posho ni haki yake. Jimbo kwake kuna matatizo kibao ya huduma za wananchi. Angeweza kutangaza kuwa anaelekeza posho hizo kwenye huduma za jamii jimboni kwake. Hivi kumgekuwa na ubaya gani kama angeeleza posho hizo hospitali ya jimbo lake? Asilewe sifa ingawa ana ubora.
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ameiandikia barua Ofisi ya Bunge kuiomba isimamishe kumlipa posho zake zinazotokana na vikao vya Bunge kuanzia juzi.
Zitto ametoa ombi hilo kwa barua rasmi aliyoiwakilisha kwa Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah Juni 7 mwaka huu.
Sioni mantiki yoyote kwa hili. Posho ni haki yake. Jimbo kwake kuna matatizo kibao ya huduma za wananchi. Angeweza kutangaza kuwa anaelekeza posho hizo kwenye huduma za jamii jimboni kwake. Hivi kumgekuwa na ubaya gani kama angeeleza posho hizo hospitali ya jimbo lake? Asilewe sifa ingawa ana ubora.
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania

Wewe una matatizo ya ufahamu,huoni kasema posho hizo ziende Kigoma Devlpment Initiatives (KDI)? Bravo Mh. Zitto, u've shown the way forward.Sioni mantiki yoyote kwa hili. Posho ni haki yake. Jimbo kwake kuna matatizo kibao ya huduma za wananchi. Angeweza kutangaza kuwa anaelekeza posho hizo kwenye huduma za jamii jimboni kwake. Hivi kumgekuwa na ubaya gani kama angeeleza posho hizo hospitali ya jimbo lake? Asilewe sifa ingawa ana ubora.
Target group yako watakuelewa, the rest wanakuona kama ni kibarua.
mbona unatumia hasira kuliko hoja, kwani serikali ikitumia posho za wabunge kupeleka maji au huduma za afya kigoma uoni ni jambo jema kuliko kuwapa pesa hizo mkononi kama unavyotaka wewe.tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapihuko jimboni mwako maskini wa kutupwakwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisaili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zaonarudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania
tena unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machoni pa watanzania,,leo kuna familia ngapi
huko jimboni mwako maskini wa kutupwa
kwa nini usingepeleka hizo posho moja kwa moja kwenye familia maskini kabisa
ili ziweze kuwasaidia kwa sababu ni pesa zao
narudia huo ni unafiki wa kutaka kuoneka mzuri machani pa watanzania
Acha ujuha wewe Chiligati!!! umegeuza betri nini!!! ubinafsi umekuzidi....posho ya zitto mwenyewe itasaidia nini kama wengine maelfu wanaweka mfukoni nakutokomea. Hoja ya zitto ni nzuri sana tena mno ila wainafsi ndio wanaipinga.
naomba nieleweke,kususia posho inamsaidia nini???maaana yangu hizo posho ange bypass ziwaendee familia zilizo maskini kabisa kwenye jimbo lake,nafikiri ni usahuri wa maana
tatizo lenu mnapenda kukurupuka na kuunga mkono kila jambo hata kama ni upumbavu!