Barua: Zitto akataa posho za vikao

Barua: Zitto akataa posho za vikao

Mimi ningependa Wapinzani wa hii posho wote wagome kusaini, ili wafukuzwe halafu huu mziki uchezwe nje ya bunge... ccm kweli hamnazo!
 
Mpango umeandika hivi nanukuu uk.17 " Consolidation of most of the fringe benefits such as housing ,transport and allowances into salaries and wages will be one of the ways of creating an appropriate incentives structure.Sitting and travelling allowances currently create a perverse incentives structure ,and will need to be rationalised or removed".

sasa wale wabunge wanaosema mpango ni mzuri na upitishwe na hapo hapo wanasema kuwa posho zisiondolewe huwa wanajua wanachokisema bungeni?..
 
hata wakizitoa hizo posho hazitamfikia mwanaichi kumsaidia sana sana zitaishia kwa hao hao mafisadi!
 
Kwenye "hansard" Zitto yuko kikaoni. Anna ACHA ukinda huu. Ni aibu. Unadhalilika na unalidhalilisha bunge. Mwalimu angekuwepo angesema mwacheni aziache na ziende huko atakako; kwisha.

Huu utoto ni wa nini? Unakataa behaviour unazoziita za kariakoo lakini UNAFIKIRI kikariakoo, unabishana kikariakoo. What wrong with you. Si kila wazo la upinzani ni baya, mawazo mengine kama hili lina tija kwa umma. Pita mitaani kule "site" usikie wananchi wanasema nini.

Mbona mbunge wa Musoma vijijini amekuwa akifanya hivyo miaka mingi. Hii tofauti inatokana na kuwa Zitto anatoka chama cha upinzani?
Kama hamjui mmeshikwa pabaya, mmeninginizwa mbele ya umma wa watanzania.

Kundi la wabunge wa ccm mnatakiwa pia kuonyesha kama kweli gamba linavulika.Katika nchi za kifisadi zinaweza kabisa kutungwa sheria za kifisadi . N hii ni moja wapo.Uko kazini unalipwa mshahara, lakini ukiitisha kikao unalipwa posho. Mnawafisadi waajiri wenu ambao ni wananchi.

CDM acheni kuhangaika na magamba huko bungeni. Washitakini kwa waajiri wao. Basi na TOSHA.Message sent.
 
Ni aibu kutuletea mpango ambao huko sambamba na hali halisi ya maisha ya kila siku ya utendaji wa kazi za serikali.Inaingia akilini kweli kutuletea mpango unaosema"serikali itaunganisha maslahi ya mfanyakazi zikiwemo posho za vikao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hapa JK hajakamilisha assignment yake, kwani utawezaji ku-consolidate kitu ambacho kinategemea occurence of an event kwa maana kwamba posho za vikao zinalipwa baada ya kikao kufanyika, ina maana kama hamna kikao hamna posho sasa hapa mnatushangaza mnaposema mtaconsolidate pamoja na posho za vikao.

Hapa ndipo anapoonekana Zitto kuwa kifaa maana uelewa wake ni mpana zaidi ya wengi wanaozungumzia posho ya vikao, ni vema tuwe wachambuzi si wazungumzaji kwani inavyoonekana wengi hawajalielewa SOMO LA SITTING ALLOWANCE.tutumie muda wetu kufikiria broader than we are now.

Kifupi sitting allowance huwezi ku-consolidate ktkt mshahara, unaweza kufanya hivyo kwa Housing allowance, transport allowance, responsibility allowance etc, BUT STRICLTY NOT SITTING ALLOWANCE

Hongera Zitto, you gonna fly guy with your party CDM
 
Nilikusikia BBC ukirumbana na Juma Nkamia,mama wa mdahalo akakuuliza kwa nini umekataa posho moja tu huku zipo nyingi tena kubwa kuliko hiyo ya kupasha kiti.Bila shaka hukuweza kujibu kwa usahihi suala hili.

Naungana na wewe Zitto kuwa ukiacha pombe leo si busara kukuuliza kwa nini hukuacha toka Mwanzo,lakini Zitto kwa mfano huu ni kwamba umetoka kwenye Ze kiki umeamia Serengeti.

Posho kumi na moja ni nyingi sana,tunakushukuru Zitto kuwa mwanzo kuhuwisha suala hili,ila nashauri ungejaribu pia kuondoa ile 5m inayoitwa posho ya ubunge kwa mwezi ambayo inakupa jumla ya mshahara 7.5m na nyingine zisizo za muhimu kama mavazi maake ulikuwa unavaa hata kabla ujawa Mbunge Mhe.
 
chadema imeibuka msindi dhidi ya serikali kuhusu suala la posho baada ya PINDA kutangaza bungeni kuwa serikali imekubali pendekezo la kutafakari na kuziangalia upya posho mbalimbali wanazolipwa wabunge na watumishi wa umma!bravo cdm!naona watawala wa ccm wanafuata sera za cdm maana zina maslahi kwa umma.source gazeti la mwananchi leo
 
Chama cha Demekraisia na Maendeleo (C), hakijaandika barua rasmi kwa Spika wa Bunge kupinga kulipwa posho licha ya kuahidi kufanya hivyo muda mrefu.Kaimu Katibu wa Bunge, John Joel, alisema uongozi wa Chadema haujamwandikia barua ya kupinga kulipwa posho hizo, huku Serikali ikiendelea kuwajibika kuwalipa hadi hapo watapowasilisha rasmi barua yao na jambo hilo kutazamwa upya. Joel alisema ofisi yake hadi jana haijapokea barua ya aina yoyote inayohusiana na suala la posho kutoka kwa wabunge, hivyo akashauri kuulizwa Chadema kwa sababu lipo mikononi mwao.Wabunge wa Chadema kupitia Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani, Tundu Lissu waliahidi wangeandika barua rasmi ya kutaka mfumo wa kusaini fomu za maudhulio ubadilishwe kwa sababu, wao walikuwa wakipinga kulipwa posho za vikao kwa kile walichokiita ni kupunguza matumizi ya serikali. Joel alisema hata hilo la gari nawambia kuwa bado sijalipokea, kuhusu barua hiyo, Lissu alikiri kutopelekwa kwa katibu.SOURCE: MWANANCHI Jul 9 2011
 
kwa hiyo mbowe alitaka zitto aache cdm hili suala ili mbowe yeye aonekane ndiye kichwa safi zito kwa kuwazidi ujanja kumbe ulijua ni usanii tu ungefanyika
kumbe hata gari hajarudisha? mbowe jibu harka hili jambo ninajua ID yako ongea haraka na watu watakushangaa sana upuuzi huu sio wa kuungalia unataka umaarufu wa kijinga tu rudisha gar haraka na uwatume wanaohusika waandike brua fasta.
 
Sakata hilo la posho lilionekana kuwagawa wabunge hao wa Chadema, huku baadhi wakionekana kulipinga na kusema tamko ilo lilikuwa na shinikizo la wabunge wenye fedha nyingi
 
Kumbe Chadema bado wanachukuwa posho bungeni wakati walikataa, na Shangingi la Mbowe bado wanalo, ebu acheni usanii
 
hahahaha....ritz kafanye kazi acha majungu.........huna uhakika na unachokisema....
 
hahahaha....ritz kafanye kazi acha majungu.........huna uhakika na unachokisema....
Mkuu, haya maneno sio yangu kwenye hii thread nimeweka Source gazeti la mwananchi la 9 Jul 2011, au uzipendi sababu zinaigusa CDM?
 
Awali ya yote nadhani msimamo wa kila mtanzania mwenye mapenzi mema anatambua swala la kuondolewa kwa posho zisizo za lazima ni kwa faida ya wananchi wenyewe na wala si swala la ushindani kati ya chadema na ccm. Tunapochambua mada hii mtazamo wetu ni kama wananchi na si vyama vya siasa.

Nadhani watu wengi mnashindwa kuelewa concept ya Chadema kuhusu Posho. Pengine mtu kama Rtz1 unaelewa, ila kwa sababu uko kazini kutimiza yale uliyotumwa na bosi wako basi utajifanya huelewi.

Lakini ngoja nitumie hii nafasi kukumbusha kwa kifupi ili wewe na watu wengine wenye kichwa kama chako pia waelewe concept ya chadema kuhusu posho.

Chadema wanataka mfumo mzima wa ulipaji posho zisizo na tija hasa hizi za vikao wakiwemo wabunge na watumishi wa uma ziondolewe.Hiki ndo chadema wananchotaka kifanyike lakini wabunge wa ccm na serikali hawataki. Kwa hiyo kwa maneno ya katibu wa bunge anaona swala la kuachia posho zile ni la kila mtu binafisi au chama kuamua achukue au waache.

Chadema pia wanataka serikali ipungeze matumizi yake kwa kuondoa matumizi yasiyo lazima ya magari makubwa kama VX na V8. Wabunge wa ccm na serikali pia hawataki isipokuwa pinda amekataa yeye kama yeye kutumia magri haya ili hali yeye ndo mwenye maamuzi ya kufuta matumizi haya ila ameshindwa maana anawoga sijui wa nini. Mtazamo wa katibu wa bunge katika hili ni kwamba ni swala la wanaotumia haya magari kuamua wenyewe kurudisha au kutorudisha.

Wananchi waliokuwa wanafatilia bunge wameunga mkono hoja ya chadema na kinachosubiriwa ni chadema wamalize vikao vya bunge warudi kwa wananchi kuelelzea naman ambavyo serikali isivyokuwa tayari kupunguza matumizi kwa vitendo badala yake swala hili ni la watu binafisi ndani ya taasisi za umma kuamua wenyewe kukataa posho au magari na si nia ya serikali kufanya hivyo.

Kitu cha msingi wananchi wananchoangalia ni mfumo kubadilika na si swala la mtu au watu wachache kukataa zile posho. Chadema pekee wakiacha kuchukua posho na wakakaa kimya bila kupigia kelele kubadilisha mfumo itatusaidia nini sisi wananchi?
Chadema ni watu wachache tu hivyo kiasi kile ni kidogo kitasaidia nini ili hali mabilioni mengine yanaendelea kuteketea?

Mimi naamini mtu mwenye akili atafikiria kubadilisha mfumo mzima na si kwa watu kuamua kwa hiari yao wasichukue posho hizi na huo ndo msimamo wa chadema.

Kumbuka kutofuta mfumo wa posho na kuachia eti chadema pekee ndo wasichukue posho ni kuendelea ku
Kwa kufuta mfumo wa posho hizi ni rahisi kuona ni kiasi gani cha pesa serikali itapata na kinaweza kupelekwa kwenye matumizi mengine kama kuboresha mishahara ya watumishi kama walimu na wauguzi.

Naamini chadema wataitumia vizuri kete hii watakapomaliza bunge.
 
Awali ya yote nadhani msimamo wa kila mtanzania mwenye mapenzi mema anatambua swala la kuondolewa kwa posho zisizo za lazima ni kwa faida ya wananchi wenyewe na wala si swala la ushindani kati ya chadema na ccm. Tunapochambua mada hii mtazamo wetu ni kama wananchi na si vyama vya siasa. Nadhani watu wengi mnashindwa kuelewa concept ya Chadema kuhusu Posho. Pengine mtu kama Rtz1 unaelewa, ila kwa sababu uko kazini kutimiza yale uliyotumwa na bosi wako basi utajifanya huelewi.Lakini ngoja nitumie hii nafasi kukumbusha kwa kifupi ili wewe na watu wengine wenye kichwa kama chako pia waelewe concept ya chadema kuhusu posho.Chadema wanataka mfumo mzima wa ulipaji posho zisizo na tija hasa hizi za vikao wakiwemo wabunge na watumishi wa uma ziondolewe.Hiki ndo chadema wananchotaka kifanyike lakini wabunge wa ccm na serikali hawataki. Kwa hiyo kwa maneno ya katibu wa bunge anaona swala la kuachia posho zile ni la kila mtu binafisi au chama kuamua achukue au waache.Chadema pia wanataka serikali ipungeze matumizi yake kwa kuondoa matumizi yasiyo lazima ya magari makubwa kama VX na V8. Wabunge wa ccm na serikali pia hawataki isipokuwa pinda amekataa yeye kama yeye kutumia magri haya ili hali yeye ndo mwenye maamuzi ya kufuta matumizi haya ila ameshindwa maana anawoga sijui wa nini. Mtazamo wa katibu wa bunge katika hili ni kwamba ni swala la wanaotumia haya magari kuamua wenyewe kurudisha au kutorudisha.Wananchi waliokuwa wanafatilia bunge wameunga mkono hoja ya chadema na kinachosubiriwa ni chadema wamalize vikao vya bunge warudi kwa wananchi kuelelzea naman ambavyo serikali isivyokuwa tayari kupunguza matumizi kwa vitendo badala yake swala hili ni la watu binafisi ndani ya taasisi za umma kuamua wenyewe kukataa posho au magari na si nia ya serikali kufanya hivyo.Kitu cha msingi wananchi wananchoangalia ni mfumo kubadilika na si swala la mtu au watu wachache kukataa zile posho. Chadema pekee wakiacha kuchukua posho na wakakaa kimya bila kupigia kelele kubadilisha mfumo itatusaidia nini sisi wananchi? Chadema ni watu wachache tu hivyo kiasi kile ni kidogo kitasaidia nini ili hali mabilioni mengine yanaendelea kuteketea?Mimi naamini mtu mwenye akili atafikiria kubadilisha mfumo mzima na si kwa watu kuamua kwa hiari yao wasichukue posho hizi na huo ndo msimamo wa chadema.Kumbuka kutofuta mfumo wa posho na kuachia eti chadema pekee ndo wasichukue posho ni kuendelea kuKwa kufuta mfumo wa posho hizi ni rahisi kuona ni kiasi gani cha pesa serikali itapata na kinaweza kupelekwa kwenye matumizi mengine kama kuboresha mishahara ya watumishi kama walimu na wauguzi.Naamini chadema wataitumia vizuri kete hii watakapomaliza bunge.
Mkuu, tatizo ni unafika wa CDM wanachokisema sicho wanachokifanya, kama kweli wana dhamira ya kweli kwa nini mpaka sasa hivi wanaendelea kuchukuwa posho?
 
Awali ya yote nadhani msimamo wa kila mtanzania mwenye mapenzi mema anatambua swala la kuondolewa kwa posho zisizo za lazima ni kwa faida ya wananchi wenyewe na wala si swala la ushindani kati ya chadema na ccm. Tunapochambua mada hii mtazamo wetu ni kama wananchi na si vyama vya siasa.

Nadhani watu wengi mnashindwa kuelewa concept ya Chadema kuhusu Posho. Pengine mtu kama Rtz1 unaelewa, ila kwa sababu uko kazini kutimiza yale uliyotumwa na bosi wako basi utajifanya huelewi.

Lakini ngoja nitumie hii nafasi kukumbusha kwa kifupi ili wewe na watu wengine wenye kichwa kama chako pia waelewe concept ya chadema kuhusu posho.

Chadema wanataka mfumo mzima wa ulipaji posho zisizo na tija hasa hizi za vikao wakiwemo wabunge na watumishi wa uma ziondolewe.Hiki ndo chadema wananchotaka kifanyike lakini wabunge wa ccm na serikali hawataki. Kwa hiyo kwa maneno ya katibu wa bunge anaona swala la kuachia posho zile ni la kila mtu binafisi au chama kuamua achukue au waache.

Chadema pia wanataka serikali ipungeze matumizi yake kwa kuondoa matumizi yasiyo lazima ya magari makubwa kama VX na V8. Wabunge wa ccm na serikali pia hawataki isipokuwa pinda amekataa yeye kama yeye kutumia magri haya ili hali yeye ndo mwenye maamuzi ya kufuta matumizi haya ila ameshindwa maana anawoga sijui wa nini. Mtazamo wa katibu wa bunge katika hili ni kwamba ni swala la wanaotumia haya magari kuamua wenyewe kurudisha au kutorudisha.

Wananchi waliokuwa wanafatilia bunge wameunga mkono hoja ya chadema na kinachosubiriwa ni chadema wamalize vikao vya bunge warudi kwa wananchi kuelelzea naman ambavyo serikali isivyokuwa tayari kupunguza matumizi kwa vitendo badala yake swala hili ni la watu binafisi ndani ya taasisi za umma kuamua wenyewe kukataa posho au magari na si nia ya serikali kufanya hivyo.

Kitu cha msingi wananchi wananchoangalia ni mfumo kubadilika na si swala la mtu au watu wachache kukataa zile posho. Chadema pekee wakiacha kuchukua posho na wakakaa kimya bila kupigia kelele kubadilisha mfumo itatusaidia nini sisi wananchi?
Chadema ni watu wachache tu hivyo kiasi kile ni kidogo kitasaidia nini ili hali mabilioni mengine yanaendelea kuteketea?

Mimi naamini mtu mwenye akili atafikiria kubadilisha mfumo mzima na si kwa watu kuamua kwa hiari yao wasichukue posho hizi na huo ndo msimamo wa chadema.

Kumbuka kutofuta mfumo wa posho na kuachia eti chadema pekee ndo wasichukue posho ni kuendelea ku
Kwa kufuta mfumo wa posho hizi ni rahisi kuona ni kiasi gani cha pesa serikali itapata na kinaweza kupelekwa kwenye matumizi mengine kama kuboresha mishahara ya watumishi kama walimu na wauguzi.

Naamini chadema wataitumia vizuri kete hii watakapomaliza bunge.

You have said it all .Safi sana na hakuna la kuongeza .Usidhani kwamba Ritz anaelewa hapana anayo yaandika ndiyo uwezo wako umefikia hapo .Usishangae .
 
Daaaaaaaaaaaaa!! Kumbe ilikuwa changa la macho? Hata VX/V8 haijarudi?
Watz tunageuzwa watu wa kudanganywa tu na kila mtu.
 
Daaaaaaaaaaaaa!! Kumbe ilikuwa changa la macho? Hata VX/V8 haijarudi?Watz tunageuzwa watu wa kudanganywa tu na kila mtu.
Kaka hakuna kitu, Watanzania tunadanganywa sana sijui kwa nini kelele zote bungeni kumbe usanii mtupu, kila siku bungeni wabunge wa CDM, ndio wa kwanza kusaini kuchukuwa posho wakiongozwa na Mbowe pamoja na Tundu Lissu
 
Kenge pia ana magamba.
Kicheche kina kula kuku, lakini hakili bata coz BATA ANAHARA 24/7.

Ukitumwa unachanganya na zako.
 
Pro-CDM-JF, wengi mapenzi kwa CDM yamewatawala mpaka mmekuwa na upofu, inasikitisha sana kwa kweli. Kama hii habari mnaona sio ya kweli ajitokeze Mbunge yoyote wa CDM kupinga kama kila siku hawapokei posho bungeni na lile Shinginga bado wanalo.Regia na Zitto jitokezeni mkanushe kama sio kweli
 
Back
Top Bottom