Wewe mgonjwa unataka tusijadili hadi katibu wa bunge atakapoitambua je asipoitambua.Mh. Zitto angeweza kupeleka mwenyewe kule kwenye NGO yake lakini naona alitaka kufikisha ujumbe kwa viongozi wa Bunge. Swali langu hapa; nani ameleta hii nakala JF wakati KAtibu wa Bunge anadai kutoijua barua hii?
Mh. Zitto una akili sana!!!
Na nimekuvulia kofia, wewe ni mwanasiasa kweli.
Unajua wazi kabisa Katibu wa Bunge hawezi kulipa hiyo taasisi yako fedha kwa kuwa Bunge halitambui taasisi hiyo! hivyo umetudanganya hela bado unazipenda... ungesema usipewe tu hela tungekuelewa.
Na unajua wazi kwamba CAG ana-query hiyo payment ya organisation ambayo haitambuliki na bunge pamoja na katiba yetu...
Wewe ni kweli spinner lakini huwezi kudanganya vichwa vyote! utadanganya watu rahisi rahisi tu!
utamaduni wetu ni kuongea kwa kutoa source, if you don't show us the source of you info. please don't speak it againZitto aache janja yake! Anatupiga tu wananchi changa la macho. Hii Kigoma Development Initiative(KDI) ni NGO yake mwenyewe! So hizo allowance zinamrudia yeye mwenyewe!
ume2mwa na watu wewe maana c jambo zuri kumkashfu m2 kwa k2 kzr alichofanyaYaani mh. Zitto umefika mahali pa kugeuza bunge letu liwe agency wa money transfer kutoka account yako kwenye kwenda organisation zingine? Kama una dhamira ya kweli si-u-transfe hizo hela mwenyewe?Hili sitalisahau kwenye maisha yangu! Kweli watanzania tunaonekana mabwege sana! Kwa taratibu zipi jambo aliloomba Zitto linawezekana?Katibu wa Bunge! ole wako ufanye upuuzi huu utafungwa mara moja! By the way Mh. Zitto kwa hiyo serikali utakayounda utaruhusu mfanyakazi amwambie mwajiri wake transfer my money to nyumba ndogo!!!Lahaula la kuwata.... kweli umetudharau sana.
Yaani mh. Zitto umefika mahali pa kugeuza bunge letu liwe agency wa transfer hela kutoka account yako kwenye kwenda organisation zingine? Kama una dhamira ya kweli si-u-transfe hizo hela mwenyewe?
Hili sitalisahau kwenye maisha yangu! Kweli watanzania tunaonekana mabwege sana! Kwa taratibu zipi jambo aliloomba Zitto linawezekana?
Katibu wa Bunge! ole wako ufanye upuuzi huu utafungwa mara moja! By the way Mh. Zitto kwa hiyo serikali utakayounda utaruhusu mfanyakazi amwambie mwajiri wake transfer my money to nyumba ndogo!!!
Lahaula la kuwata.... kweli umetudharau sana.
Je hili likifanyika Zitto atakuwa amelipwa na bunge au hajalipwa?
Sasa wewe unashangaa zitto kuagiza malipo yake mwenyewe kupelekwa KDI yaani Kigomaaa.