nsimba
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 782
- 55
Mh. Zitto una akili sana!!!
Na nimekuvulia kofia, wewe ni mwanasiasa kweli.
Unajua wazi kabisa Katibu wa Bunge hawezi kulipa hiyo taasisi yako fedha kwa kuwa Bunge halitambui taasisi hiyo! hivyo umetudanganya hela bado unazipenda... ungesema usipewe tu hela tungekuelewa.
Na unajua wazi kwamba CAG ata-query hiyo malipo ya organisation ambayo haitambuliki na bunge pamoja na katiba yetu... tangu lini taratibu za hela zikasema.... nipelekee msharawa wangu kwenye account nyingine ya mtu mwingine? this ridiculous!!!
Wewe ni kweli spinner lakini huwezi kudanganya vichwa vyote! utadanganya watu rahisi rahisi tu!
Huna dhamira ya kweli!!!! kama unayo basi sema isitishwe tu! sio ati umpelekee legal entity nyingine... still shows unalipwa right!!! please please tuambie kweli Rais mtarajiwa acha kutafuta popularity kirahisi!
Ulichoomba hapo ni Bunge li-facilitate transfer of money to another entity sio kukataaa malipo... please be serious.... Hii ni kutukana mhimili wa bunge... you may do it yourself. please... umenikera leo.
Mkuu fikiia upya! Kijana kafanya maamuzi magumu kufanywa na mbunge yeyote katika historia ya tanzania. Anasimamia imani yake kuwa posho zikifutwa za wabunge fedha zake zitaweza kufanya kazi zingine za ujenzi wa Taifa. Na kwa kuwa mfumo wa kisheria haujabadilika maana inahitaji ridhio la wabunge wengine; yeye anaona fehda hizo zisilipwe kwake bali kwa KDI wanaosimamaia maendeleo ya kigoma; wala KDI si kwa ajili ya tumbo lake. Hii anaistahili pongezi-maana ni mbunge wa kwanza kuthubutu!! maneno kwa vitendo-hongera Zitto (Mhe).