Barua yangu kwa Mama Sabrina

Barua yangu kwa Mama Sabrina

Kaa stend bai kabisa,kwan we hujakutana na mdada mzuri humu?
Naona hatujaelewana, sijasema kwamba wewe ni mbaya ila hyo avatar si wewe, yaani inawezekana ukawa mzur zaid ya hyo avatar lakin si wewe.. maana ndugu yangu haszu kadata na avatar sasa vipi adate na avatar wakat si wewe orijinale

Wazur wapo wachache nawe waweza kuwa mmoja wao, sibishi hilo.
 
Mtoa mada salamu zimenifikia,,naomba nawe salamu zangu hizi zikufikie,,kwanza ufute kauli kuhusu single mother,,utuombe radhi na utubu kuwa kumbe mapenzi hayachagui waweza angukia kwa hata bibi ingali u kijana mbichi,,, hatukutaka kutoa mimba wengine tumebahatika katoto kamoja tu ningetoa ingekuwaje?
Kingine una makando kando mara usomeshe mtoto wa watu mpaka form four ,,je na mim nitakua kwenye nafasi ipi
Au ndio kupangwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mengine yanatosha nisiseme sana,,nafurahi kupendwa nakupenda pia ,,nimechelewa kupata huu ujumbe maana sipati notification
Uwe na siku murua kabisa
Mengine usimwage mchele kwenye kuku wengi
Kwa mamlaka niliyopewa na Mungu na kwa Mamlaka niliyopewa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nawatangaza kuanzia sasa kuwa nyinyi ni Mume na mke,Mr. & Mrs. Haszu...Sherehe wapi?
 
Naona hatujaelewana, sijasema kwamba wewe ni mbaya ila hyo avatar si wewe, yaani inawezekana ukawa mzur zaid ya hyo avatar lakin si wewe.. maana ndugu yangu haszu kadata na avatar sasa vipi adate na avatar wakat si wewe orijinale

Wazur wapo wachache nawe waweza kuwa mmoja wao, sibishi hilo.
Wa avatar sio mim jamani
 
Kwa mamlaka niliyopewa na Mungu na kwa Mamlaka niliyopewa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nawatangaza kuanzia sasa kuwa nyinyi ni Mume na mke,Mr. & Mrs. Haszu...Sherehe wapi?
Ahahahah we ni padri au
 
Back
Top Bottom