Barua yangu kwa Mama Sabrina

Barua yangu kwa Mama Sabrina

Aisee! Kweli jf ni zaidi ya nilivyoidhania,
Kumbe kuna mitongozano,mikopo,dini,kijiwe cha story za kikubwa na kadha wa kadha.

Nikidindokewa itabidi, nikutafute unipe ushauri maana na huu ugeni wangu nisije kutana na libazazi.

He! umebadili ID tena?
 
Mbona mwenzio kaweza,nawe jitahidi tu uniandikie
Mimi ili nikamilishe mistari kama alioandikiwa Mama Sabrina, hakika itanichukua hata miezi mbili wallah, maana sio kwa vina vile....[emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom