Barua ya wazi kwa Mtume Mohammad (S A W)

Hali ya kutoonekana,kusikika wala kuhisika
Kwa hiyo mungu ni ghaibu 😁😁 ibada ya vionekanavyo sindiyo ibada za kipagani wao wana abudu mungu mti mungu jua mungu bahari
 
Manabii wengi tu wapo hai sijajua uspecial wa Yesu unatoka wapi kwenye masuala ya kufa na kua hai.
Eliya na Enock nao ni Mungu?
Na waliokufa wote kabla ya Yesu nao sio chochote si lolote?
Ameuliza Mohamed yuko wapi? Wewe unamjibu kuhusu Eliya na Enock
 
Kwa hiyo mungu ni ghaibu 😁😁 9bada ya vionekanavyo sindiyo ibada za kipagani wao wana abudu mungu mti mungu jua mungu bahari
Hapo sijamzungumzia Mungu nimewazungumzia viumbe tena sio kuwaomba wao moja kwa moja ila kuwaomba wa kuombee kwa Allah
Usitoke nje ya mada
 
Hapo sasa kama muhammad ni ghaibu vipi mkiombee kwa mungu kitu ghaibu ila hicho kitu ghaibu iwe ni haramu kuwaombeeni nyinyi kwa mungu ?
 
As-salatu na salam, ewe Rasul wa Rahma,
Nuru yako bado inang’aa, hata karne zikipita,
Tumekuletea kilio cha Umma, kutoka Tanganyika hadi Gaza,
Kwamba hatuwezi tena kuishi bila mwongozo wako.

Baada yako, Bakr al-Siddiq aliweka msingi,
ʿUmar akaleta adili, ʿUthmān mnyenyekevu, ʿAlī jasiri,
Baada yao, Umawi wakapanua nchi,

Abbasiyyu wakaleta hekma, vitabu, na elimu,
Uthmani wakashika haramain kwa karne nyingi,
Salahuddin al-Ayyubi akalinda Baytul-Maqdis kwa upendo na rehema.

Lakini leo, ewe Mtume, tuangalie,

Umma wako umetawanyika, viongozi wamesahaulika,
Umoja umepotea, maovu yametanda kila kona,
Tunalia kwa machozi, tukikosa kiongozi wa kweli.

Enzi zako kijana akioa, leo tusubiri degree Mlimani,

Kwanza mali, kazi, kisha ndoa,
Miaka ya kusubiri, tukishindwa, zina inatanda,
Zina rahisi kuliko chakula, kila kona ni hatari.

Mbagala, ngoma za jadi zinasindikwa kwa uchi,

Wazee wetu hawakuviona hivi.
Je kuna Mtume mwingine atakuja,
Au tumeachwa pekee, tukipapasa giza?

Bakwata wanashindana na Ansarī,

Salafi wakilaumu masufi, kila mmoja akidai Sunna.

Mama Samia anaongoza, kiongozi wa taifa letu,

Lakini Salafi wakihoji, “Hii si Sunna yetu",
Wakimkataa, ewe Mtume, nani atasimamia Umma?
Je hawaoni fursa katikati ya manyanyaso ya kisiasa?

Lakini hatuwezi kusimama, nafasi hii ni mwanga,

Hata kama wanapinga, Umma unahitaji mwongozo wa kweli,
Tukiacha fursa, hatutaona njia,
Tukizizika tofauti, tunaweza kuungana na kumlinda.

Mazinge amesalimisha wengi, akiongoza pamoja na Dr Sulle,

Lakini watu wanamuita mganga mshirikina, je, Mtume,
Sulle ataenda peponi kwa kuwasilimisha waliokuwa wamekufuru,
Au ataangukia motoni kwa ilimu yake ya kisufi?

Othman Maalim, Salafi wanamzonga kwa kuponda nyoyo za kina mama,

Ewe Mtume, je Othman ataenda motoni kwa daawa yake laini
Au ataenda peponi kwa kumpa moyo rastamani, aendelee na sala akiwa amesuka?

Bidaa imeenea, Kassim Mafuta anaona ni upotevu,

Lakini Mtume, kwa mtazamo wako, bid‘a ni nini?
Katika kumtaja Allah, kusoma Qur’ān na kukuswalia?,
Je, hiii ni dhambi, au ni nuru kwa Umma wa sasa?

Pia, ewe Mtume, balaa la ushoga limeenea,

Wazungu waletea Afrika, wakifadhili shule na walimu.
Watoto wakidhihirishwa usagaji, kemikali zikaharibu fitra,
Ewe Mtume, ikiwa mtu apewa hii, je hii ni adhabu au umma ndo wamchokoza Allah?

Ulisema kila ugonjwa una tiba,

Lakini leo HIV unaua kimya kimya,
Familia zikivunjika, kizazi kikipotea,
Ewe Habib, tiba yake iko wapi?

Gaza inavuja damu kila siku, watoto wakiwa chini ya vifusi,

Mama wakiomba mbinguni, huku Makkah na Madinah kimya,
Je watu wa Kisemvule waililie Gaza?
Wakati Walinzi wa Haramain wako tulivu na kimya?

Ewe Habib, umma wako umechoka,

Sunna yako twaihubiri bila kuishi, Qur’ān twasoma bila kuelewa.
Tunasali kwako, tutumie shufaa yako mbele ya Arshi,
Allah atusamehe, aturudishe njia ya Madinah,
Atutakase, atuunganishe, atuinue kutoka fedheha.

Salam kwako, ewe Mtume,

Salam juu ya Ahli Beyti na Sahaba zako,
Twasubiri shufaa yako, na tumaini letu liwe kwa Allah,
Rehema isiyo na kikomo.

YUSUFU R H SABURA
0750883466

NANI ATAMSOMEA MTUME? HILI SWALI ULIJIULIZA KABLA HUJAANZA MWANDIKIA HUU UTUMBO WAKO NA KUMSUMBUA ZAIDI?
 
Hii haifai inatakiwa umuombe Allah moja kwa moja na sio kumuomba mtu aliyefariki akuombee kwa Allah
Hoja ilianzia hapa ....swala la uombezi kuwa anatakiwa kumuomba mungu moja kwa moja kwanini muhammad asimwombe mungu mwenyewe huko ghaibu au kuwa ghaibu ni machoni mwa mungu pia kwanini awatakeni waislamu mumuombee yeye ...usipindue hoja swali hapa ni muombezi siyo kumuomba mungu
 
Kwani sisi tupo kwenye ghaibu
 
Kwani sisi tupo kwenye ghaibu
Wewe umesema inatakiwa kumwomba mungu moja kwa moja siyo kwa kupitia kiumbe👈 mbona unanipotezea muda kwa kurukaruka ....Muhammad anawaomba viumbe vimuombee kwa mungu.....
 
Umeandika mambo mazuri sana hadi kuweka namba yako ni una maanisha hayana madhara hata kwa watawala.

Umegusia Gaza wanauliwa ila ukasahau utekaji na watu kunyang'anywa roho zao na CCM inayoongoza serikali ipo kimya au hata mtume wa Allah.

Hilo eneo umeogopa kuliandika na ndiyo maana ulaweza kuweka namba zako kwa herfi kubwa aaaiii!. - sheikh Yusufu R H Sabura
 
Wewe umesema inatakiwa kumwomba mungu moja kwa moja siyo kwa kupitia kiumbe👈 mbona unanipotezea muda kwa kurukaruka ....Muhammad anawaomba viumbe vimuombee kwa mungu.....
Nimekwambia kiumbe aliyepo kwenye ghaibu
 
Sawa nikakuuliza yesu amekufa au anaishi ? Kabla ya neno ghaibu kuingia kwenye mjadala wetu ulisema "kosa kumwomba kiumbe aliye kufa" ndiyo nikakuuliza yesu ni mfu au yupo hai ?
 
As-salatu na salam, ewe Rasul wa Rahma,
Nuru yako bado inang’aa, hata karne zikipita,
Tumekuletea kilio cha Umma, kutoka Tanganyika hadi Gaza,
Kwamba hatuwezi tena kuishi bila mwongozo wako.

Baada yako, Bakr al-Siddiq aliweka msingi,
ʿUmar akaleta adili, ʿUthmān mnyenyekevu, ʿAlī jasiri,
Baada yao, Umawi wakapanua nchi,

Abbasiyyu wakaleta hekma, vitabu, na elimu,
Uthmani wakashika haramain kwa karne nyingi,
Salahuddin al-Ayyubi akalinda Baytul-Maqdis kwa upendo na rehema.

Lakini leo, ewe Mtume, tuangalie,

Umma wako umetawanyika, viongozi wamesahaulika,
Umoja umepotea, maovu yametanda kila kona,
Tunalia kwa machozi, tukikosa kiongozi wa kweli.

Enzi zako kijana akioa, leo tusubiri degree Mlimani,

Kwanza mali, kazi, kisha ndoa,
Miaka ya kusubiri, tukishindwa, zina inatanda,
Zina rahisi kuliko chakula, kila kona ni hatari.

Mbagala, ngoma za jadi zinasindikwa kwa uchi,

Wazee wetu hawakuviona hivi.
Je kuna Mtume mwingine atakuja,
Au tumeachwa pekee, tukipapasa giza?

Bakwata wanashindana na Ansarī,

Salafi wakilaumu masufi, kila mmoja akidai Sunna.

Mama Samia anaongoza, kiongozi wa taifa letu,

Lakini Salafi wakihoji, “Hii si Sunna yetu",
Wakimkataa, ewe Mtume, nani atasimamia Umma?
Je hawaoni fursa katikati ya manyanyaso ya kisiasa?

Lakini hatuwezi kusimama, nafasi hii ni mwanga,

Hata kama wanapinga, Umma unahitaji mwongozo wa kweli,
Tukiacha fursa, hatutaona njia,
Tukizizika tofauti, tunaweza kuungana na kumlinda.

Mazinge amesalimisha wengi, akiongoza pamoja na Dr Sulle,

Lakini watu wanamuita mganga mshirikina, je, Mtume,
Sulle ataenda peponi kwa kuwasilimisha waliokuwa wamekufuru,
Au ataangukia motoni kwa ilimu yake ya kisufi?

Othman Maalim, Salafi wanamzonga kwa kuponda nyoyo za kina mama,

Ewe Mtume, je Othman ataenda motoni kwa daawa yake laini
Au ataenda peponi kwa kumpa moyo rastamani, aendelee na sala akiwa amesuka?

Bidaa imeenea, Kassim Mafuta anaona ni upotevu,

Lakini Mtume, kwa mtazamo wako, bid‘a ni nini?
Katika kumtaja Allah, kusoma Qur’ān na kukuswalia?,
Je, hiii ni dhambi, au ni nuru kwa Umma wa sasa?

Pia, ewe Mtume, balaa la ushoga limeenea,

Wazungu waletea Afrika, wakifadhili shule na walimu.
Watoto wakidhihirishwa usagaji, kemikali zikaharibu fitra,
Ewe Mtume, ikiwa mtu apewa hii, je hii ni adhabu au umma ndo wamchokoza Allah?

Ulisema kila ugonjwa una tiba,

Lakini leo HIV unaua kimya kimya,
Familia zikivunjika, kizazi kikipotea,
Ewe Habib, tiba yake iko wapi?

Gaza inavuja damu kila siku, watoto wakiwa chini ya vifusi,

Mama wakiomba mbinguni, huku Makkah na Madinah kimya,
Je watu wa Kisemvule waililie Gaza?
Wakati Walinzi wa Haramain wako tulivu na kimya?

Ewe Habib, umma wako umechoka,

Sunna yako twaihubiri bila kuishi, Qur’ān twasoma bila kuelewa.
Tunasali kwako, tutumie shufaa yako mbele ya Arshi,
Allah atusamehe, aturudishe njia ya Madinah,
Atutakase, atuunganishe, atuinue kutoka fedheha.

Salam kwako, ewe Mtume,

Salam juu ya Ahli Beyti na Sahaba zako,
Twasubiri shufaa yako, na tumaini letu liwe kwa Allah,
Rehema isiyo na kikomo.

YUSUFU R H SABURA
0750883466
Nasikia nguruwe wali fukua kaburi ndio mana mwa mchukia,

Anyway dini ya waarabu ni janga kwa dunia ya sasa.
 
Sawa nikakuuliza yesu amekufa au anaishi ? Kabla ya neno ghaibu kuingia kwenye mjadala wetu ulisema "kosa kumwomba kiumbe aliye kufa" ndiyo nikakuuliza yesu ni mfu au yupo hai ?
Nimetaja neno ghaibu kabla ya wewe kuingiza habari za yesu
Sasa nakujibu rasmi ni kosa kumuomba uombezi kiumbe aliyopo kwenye ghaibu ikiwa ni malaika,jini au binadamu
 
Yupo motoni anapewa staiki yake ya kudanganya umma,ule muda wa mapumziko wakati malaika mtesa akienda pumzika ndo atasoma hii barua ya wazi,tatizo hatojibu sababu kuandika ni tatizo.
Sasa atajibu nn hata kusoma alikua hajui,ukiacha kiarabu sembuse kiswahili.
 
Back
Top Bottom