BARUA YA WAZI KWA Mr. Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer

Status
Not open for further replies.
Karibuni hapa ghetto tutizame mechi ya Urusi dhidi ya Ubelgiji. Sasa natizama build up.

Halafu ile mechi ya Denmark dhidi ya Finland nayo inaendelea baada ya kusimamishwa kutokana na kuanguka ghafla uwanjani kwa Christian Eriksen.
 
GENTA?
 
Ahhahaha jenta kashikwa leo
Na Wewe unawaamini hawa Wapumbavu kuwa ID iliyoanzisha Uzi huu ni Mimi hivyo hapa najipigia tu Promo? Usichokijua tu ni kwamba JF nina Maadui wengi tena wenye Upumbavu wa Kutovumilika ambao wanaumia na kukwaza mno na Fame yangu Kubwa hapa pamoja na aina ya Uwasilishaji wangu wa Hoja hivyo njia pekee Kwao ni Kunichokoza na Kunichafua kama hivi wakiamini kuwa watanimaliza na kunididimiza ila wanasahau tu ya kwamba kadri wanavyozidi Kunijadili hapa JamiiForums ndiyo wanazidi tu kuniongezea Umaarufu na Followers kila Uchao.

Kwa Kukusaidia tu ni kwamba aliyeanzisha huu Uzi si kwamba labda hayupo nasi hapa hivi sasa ila ameanzisha huu Uzi kwa ID yake ambayo huwa haitumii mara kwa mara illi atimize lengo lake ila hivi sasa nae anachangia kwa ID yake Kongwe ( Zoeleka ) huku akiwa na Kikundi cha Wenzake ( Members ) ambao wameshajipanga kuwa Yeye akianzisha tu Mada ( Uzi ) huu wao waanze Kunishambulia. Huu ni mwaka wa nane ( 8 ) sasa nipo hapa Jamvini ( JamiiForums ) hivyo nimeshajifunzxa mengi na najua mbinu za Wapumbavu kama Mleta Mada kwa alichofanya Kwangu.

Namalizia kwa kutoa Ombi kwa Uongozi mzima wa JamiiForums wachungune hii ID iliyoanzisha Mada ( Uzi ) huu na kama kwa Uwezo wao pamoja na Uzoefu wao wakiigundua hiyo ID ya Fohadi ni yangu Mimi GENTAMYCINE naomba wanipe Adhabu ya PERMANENT BAN hapa JamiiForums kwani nimeshachoka sasa kila Siku kusingiziwa ID's mbalimbali ( za Watu ) hapa JamiiForums na nasikitika mno Uongozi wa JamiiForums mnaacha huu Uzushi kuendelea dhidi yangu na kuruhusu pia Watu waje na Agenda zao za Kunichokoza na Kunizushia kama hivi na Kuwachekea halafu nami nikiwajibu hovyo mnakimbilia kunipa BAN. Inakera sana tu.

Cc: Invisible, Moderator, Paw na JamiiForums
 
Hivi amewahi pata ban??
Nyingine ni kama hii inayoenda kunitokea kwani Moderators wanaona kabisa huu Uzi umeanzishwa kwa AGENDA ya Kunichokoza ili nikasirike na niwajivu Watu hapa vibaya ili wanipige BAN zao za miezi Mitatu Mitatu. Wala huhitaji Akili kubwa sana kujua ya kwamba huu Uzi umeanzishwa Kimkakati ili kunitafutia BAN ya lazima kwakuwa wanajua huwa sivumilii Upumbavu na huenda ndiyo maana sasa umeachwa hadi upo Ukurasa wa Nne ( 4 ) na huenda wanauacha Kwanza ili GENTAMYCINE niendelee Kuchafuliwa na Kudhihakiwa ili lengo lao litimie ndipo ukifika Ukurasa wa 45 ndipo waufute ( wauondoe ) rasmi.
 
Mimi sijawahi kukuona na ban..au kwasababu situmii app ya jf
 

Pole sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ