Waraka wa maaskofu ni sauti ya kanisa. Kwanini malasusa akae vikao na makonda na ikulu kupinga waraka wa kanisa? Je Malasusa amepewa nini na watu wa Serikali mpaka aamue kulisaliti kanisa? Dhambi aliyoitenda kamwe haitamwacha salama.Hizo fitina zipi?
Hakika mkuu.Askofu Shoo katoa waraka kila mtu kasoma gazetini sasa anataka ndio yawe maubiri ya pasaka si sawa.Nadhani kinachoongelewa hapa ni viongozi kuona ukweli, kuwa sio wote wanaweza kuwa na msimamo uliosawa (Ndio demokrasia tunayoipigania) Kiongozi anatakiwa kutoa ushawishi ili aungwe mkono sio kutoa adhabu zinazoweza kusambaratisha wafuasi. Malasusa ana waumini wanaomuunga mkono tena pengine hata ndani ya shirika lake Shoo, maamuzi yasiyo busara ni kusambaratika kama sio migogoro isioisha ndani Kanisa
Kijana una uhakika?Waraka wa maaskofu ni sauti ya kanisa. Kwanini malasusa akae vikao na makonda na ikulu kupinga waraka wa kanisa? Je Malasusa amepewa nini na watu wa Serikali mpaka aamue kulisaliti kanisa? Dhambi aliyoitenda kamwe haitamwacha salama.
Alichagua kuwa neutralAskofu Malasusa alishawashtukia Chadema kitambo sana.
Nina uhakika asilimia 100%Kijana una uhakika?
Kwa hiyo decision nzuri ni ile ya kujifungia chumbani na mke wako na kesho kuamka na matamko Kama anafofanya mume wenu mwenyekiti wa Lumumba?"popular decision not always right"
Haya "kamanda" tupia pichaNina uhakika asilimia 100%
Naona mnajitekenya na kucheka wenyewe!Hata kama ni chungu.
Malasusa aliteleza kwa kutishwa na watawala sasa kama kiongozi wa Dini hutakiwa kuogopa kifo unatakiwa uwe na msimamo,haiwezekani Askofu mzima ukamuogope BashiteHatuwezi kukubali kanisa likaendeshwa kisiasa. Ni lazima kuwepo na msimamo. Naungana na maaskofu wa KKKT wakiongozwa na Askofu Mkuu Dr. Frederick Shoo kupinga hila zote zinazotaka kuliangusha kanisa katika mikono ya watawala wanaonuka damu katika mikono yao. Katika jina la Yesu tunafunga na kuomba. Ameeeen
"Kamanda" punguza jazba kisha jenga hoja na si hasira na matusiKwa hiyo decision nzuri ni ile ya kujifungia chumbani na mke wako na kesho kuamka na matamko Kama anafofanya mume wenu mwenyekiti wa Lumumba?
Wewe kama ni muumini wa dhehebu fulan nina hakika kuna vitu hampendezwi ktk dhehebu lenu...mliwahi kutoa mapendekezo mkasikilizwa...!!!?Nadhani kinachoongelewa hapa ni viongozi kuona ukweli, kuwa sio wote wanaweza kuwa na msimamo uliosawa (Ndio demokrasia tunayoipigania) Kiongozi anatakiwa kutoa ushawishi ili aungwe mkono sio kutoa adhabu zinazoweza kusambaratisha wafuasi. Malasusa ana waumini wanaomuunga mkono tena pengine hata ndani ya shirika lake Shoo, maamuzi yasiyo busara ni kusambaratika kama sio migogoro isioisha ndani Kanisa
"Kamanda" una uhakika?Malasusa aliteleza kwa kutishwa na watawala sasa kama kiongozi wa Dini hutakiwa kuogopa kifo unatakiwa uwe na msimamo,haiwezekani Askofu mzima ukamuogope Bashite
Uongo haidumuHili swala zima la uzinzi liliasisiwa na kupikwa na wapika majungu wa Chadema tawi la KKKT.
Analalamikiwa sana eneo hili kwa mda mrefuMwandikie na Malasusa barua ya wazi aache kuvunja ndoa za waumini wake.