Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

Nimeandika kwa Shoo sababu yeye ndiye Mwenyekiti wa Maaskofu KKKT hivyo kwa dhamana hiyo abadilike
Kwa hiyo siku hizi ushakuwa na akili kuliko hao maaskofu 27? Imeandikwa ziheshimuni mamlaka zilizopo!

Kwa mfano wewe Mumeo akikuambia mke wangu nifulie nguo hii kesho Nina Safari then ukakaidi ni Nini huwa anakufanya? Si huwa anakuletea action? Kama kichapo nk nk?

Sasa wewe mtoto utaanzaje kulalamika kuwa baba anatumika na majirani kuichafua familia wakati wajibu wake katika familia unajulikana?

Mtoto huyo(wewe mleta mada) kumfundisha babako jinsi ya kuishi na mkewe, Kama hatokuwa mvuta bange, Basi utakuwa na mtindio wa ubongo!

Hata Waziri mkuu Pinda aliwahi kusema "Akiambiwa ufanye hiki ukakaidi utapigwa tu maana hakuna namna nyingine" na nakumbuka ulimuunga mkono kwa kuandika mengi Sana humu JF kwa kusema zitiini mamlaka zilizopo.

Na Mimi nasema mwacheni Malasusa apigwe tu maana hapana namna Sasa.
 
"popular decision not always right"
 
Makonda na Ikulu wanamtumia Askofu malasusa kulivuruga kanisa. Hili halitakubalika kamwe tena msahau kabisa.
 
Watanzania ni wavivu na tunaubinafsi uliopitiliza. Huwa hatujali maumivu ya Jirani na tunapenda sana kuabudu watu, hatuna uchaji kwa Mungu Wa kweli , Tupo tayari kuukana ukweli ili tupate mkate. Tuanddikapo tujitafakari mahusiano yetu ya sirini na Mungu .
 
Kamanda nimemuonya asiingilie DMP ili kufurahisha rafiki zake.Soma tena utaelewa
Nimeisoma tena na tena sijaona content. Amefanya kitu gani ambacho kimekufanya ufikie jumuisho kuwa ameingilia DMP.

Katika ujenzi wa hoja ulistahili kueleza aliyoyafanya au anayoyafanya ambayo yanathibitisha kuwa anaingilia majukumu yasiyo yake. Na wachangiaji wangeyajadili na kuyatafakari hayo unayoyasema ameingilia na kuona kama ameingilia au hapana.

Namna nyingine ninkama unataka kutulazimisha tukubaliane nawe katika hukumu uliyoitoa bila ya uthibitisho.
 
Hiyo waraka wako upeleke pale Lumumba ambapo upo kwenye payroll yao......

Hivi hawa watumishi wa Mungu kuueleza ukweli kuwa nchi yetu haiendi sawa ndiyo kunakofanya muwaandame kiasi hicho??
Nadhani kinachoongelewa hapa ni viongozi kuona ukweli, kuwa sio wote wanaweza kuwa na msimamo uliosawa (Ndio demokrasia tunayoipigania) Kiongozi anatakiwa kutoa ushawishi ili aungwe mkono sio kutoa adhabu zinazoweza kusambaratisha wafuasi. Malasusa ana waumini wanaomuunga mkono tena pengine hata ndani ya shirika lake Shoo, maamuzi yasiyo busara ni kusambaratika kama sio migogoro isioisha ndani Kanisa kisa mnashikia bango mambo ya Kaisari wala si kiimani.
 
Hujui uliandikalo
Inawezekana sijui ninaloandika...mimi ni mkatoliki wakati Pengo akisema hajui walaka ulioandikwa na balaza la TEC mimi nikiwa katika jimbo lake nikisali ktk parokia tofauti walaka ulikuwa ukisomwa na kupatikana maduka ya parokia na kila juma pili mapadre wakisisitiza walaka huo usome na waumini hapa hapa dar ndani ya jimbo lililo chini ya Pengo..!!

Kama tec ingekuwa na uwezo wa kumfukuza askofu yeyote nina hakika leo pengo asikuwa askofu hata kardinal na nina kuhakikishia habari hizi zilimfikia papa ambaye ni mteuzi wake na majibu mtayapata..!!

Kanisa haliwezi kuamua kitu kwa pamoja akajitikeza muumini akapinga na likamuacha. Inamaana wewe si miongoni mwao...

Naendelea kusema tusikaze vichwa vyetu..tuwe dynamic
 
Back
Top Bottom