Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

Haya "kamanda" tupia picha
Unaniita kamanda kwa sababu sikubaliani na mawazo yako? Na inaonesha ni wazi kabisa huu ni mkakati wenu wana CCM kutaka kuivuruga KKKT. Pole sana waambie waliokutuma hapa mmegonga mwamba huyo malasusa mchukueni mumpe cheo huko CCM msituvuruge hapa.
 
Kunguru wengi mnaojaribu kuwajibu maaskofu hamjui hata chembe ya mifumo ya kkkt au katoliki....!!

Kanisa linapokubaliana jambo na wewe ukapinga hata kwa mtazamo ukiwa sahihi kanisa lina haki ya kukutenga hata kufukuzwa...

Hapa kkkt wametumia busara za hali ya juu...ingekuwa ni waislamu wameamua afu anajitokeza mtu mmoja akapinga ingekuwaje..!!?

Tusikaze vichwa vyetu.
Waislamu wangekuwa washamtimua
 
Unaniita kamanda kwa sababu sikubaliani na mawazo yako? Na inaonesha ni wazi kabisa huu ni mkakati wenu wana CCM kutaka kuivuruga KKKT. Pole sana waambie waliokutuma hapa mmegonga mwamba huyo malasusa mchukueni mumpe cheo huko CCM msituvuruge hapa.
Sawa "kamanda"...kwani wewe umesema ni mpwa wa Askofu Shoo mmachame..wewe si mmachame?
 
Salam katika jina la bwana wetu Yesu Kristo.

Kwa mara ya kwanza kanisa letu linapitia ugumu kutokana na mtindo wako wa mkono wa chuma na ubinafsi wa maoni na fikra.

Baba askofu kanisa ni chombo "laini" (delicate) hivyo kuwa makini kwani waumini wana mitazamo yao na mararajio kutoka katika kanisa lao.

Usiturudishe tuliko toka hasa sisi waumini wa DMP kwani ilituchukua takribani miaka kadhaa ya mgogoro enzi za Jerry Mngwamba hadi kumpata Dr.Malasusa ambaye kwa kiwango kikubwa katuunganisha wana DMP.

Zama hizo za akina Jerry Mngwamba wewe ulikuwa bado upo Uswaaa,Machame.Tunajua huna cha kupoteza zaidi ya kupigania maslahi yako kuwafurasha rafiki zako.

Kuna mambo mengi binafsi unayafanya na kuamua na kisha kujificha kwenye kivuli cha baraza la maaskofu.

Hakika muda unafika na hayo yote unayoyafanya kulibomoa kanisa yatakurudia kwa mtindo wa karma.

Wito wangu kwako ni ujirekebishe kwani muda bado.Siku zote hila mbaya haidumu kwani hudhihirika.Pia jitahidi kuficha hisia zako kisiasa kutokana na nafasi yako kwani utadharaulika na utajuta.

Askofu Shoo lolote ovu dhidi ya Malasusa na DMP halitafanikiwa na mtaumbuka kama wajenzi wa mnara wa babeli.DMP ni kioo cha KKKT hivyo hatutaruhusu wahuni kutaka kuibadilisha DMP kama genge lao kupiga soga.

Mungu ndiye mtetezi wa DMP dhidi ya wote wenye nia ya kutuvuruga na kuibadilisha iwe Chama cha siasa.

Tunamkabidhi MUNGU ole kwao wenye nia ovu.
Tamko la kijinga peleka huko uvccm

Wewe unayefungia wasanii kwa miezi 6 ni mkono wa aluminium?
 
Ukiwa m/kiti na akaibuka shetani miongoni mwenu inabidi ufumbe macho ili DMP isigawanyike? Nadhani Malasusa nae anastahili barua ya kutambua collective responsibility na kama alikuwa na dukuduku lingemalizwa kwenye vikao vyao.

J2 njema mtumishi!!
Hakuwa na dukuduku lolote alitishwa na Bashiri tu
 
Back
Top Bottom