MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Kuna watu wamefunikwa na blanketi la udini ambalo linacloud kila kitu. Hizi wiki chache za karibuni nimeshangazwa sana. Ni noma tupu.
Mkuu yani we acha tu. Sikuhizi kuna watu kwenye kila post lazima waingize udini. Hata sehemu ambayo udini haikutakiwa kuwa factor basi wao wanaingiza. Mimi nadhani ni kushindwa hoja tu ndiyo maana wana kimbilia kuingiza a sensitive issue ya udini. Na tatizo mtu akishaingiza udini hoja zote zina yeyuka kwa sababu kila mmoja hataki kuonekana yupo for another religion na wale waliopo neutral wanaogopa kuonekana wadini. Ngoja tuone mwisho wake.