Barua ya Sakina ya kujiuzulu hii hapa

Status
Not open for further replies.
Wna Jamii nimesoma barua ya resignation ya Sakina Datoo kwend kwa boss wake amabayo ina mambo mengi sana, jamabo ambalo naomba kuuliza je alichokifanya Sakina kwa kuandika ile barua ambayo inamhusu yeye na mwajiri wake na kuipost Huku Jamii ni sawa!! Na je IPP hawana zile document za confidentiality, kwa sababu naona mengi aliyo yaandika mle ni internal information amabazo zilipaswa kuwa siri kai yake na mwajiri wake,

Does it add value sie tukiresign tupost zile barua humu

Naomba msaada

Nani kakwambia Sakina ndo kaipost barua hapa?
 
Kimambo ndugu yangu, lazima uwe na uwezo wakufikiri katika 3Dimension box, so siku nyingine ingekuwa vizuri ujiulize zaidi maswali kabla ya wewe nawe kutuma. Je ni sakina Datoo ndio kapost ile barua? je document zote humu ndani zikiwem tuhuma za Rostam ndio katuma yeye mwenyewe? je si rahisi mtu yeyote akatuma kitu chochote humu ndani, na je una hakika ndio barua kutoka kwa sakina kwenda kwa Mengi,

ndio maan kuna hoja na tamati ni wewe mwenyewe muhusika,

kamwe usi-conclude namna hiyo

hata hivyo hongera kwa kupost natumaini post nyingine utakuwa mwangalifu

karibu
 
Sakina has acted professionally, thanks that we now know what is in the Guardian Ltd's House.
 
Madikizela, Raimundo na wengineo waliojiunga ktk JF baada tu ya thread hii ya mama huyu mdosi kuwekwa. Bila shaka mmetumwa kujiunga kumtetea huyu Mama na inaonekana hamkusoma kabisa post za nyuma jinsi wana JF walivyotoa data na uthibitisho kuhusu unafiki wa Sakina.

Ni dhahiri kuhusu issue ya Wapalestina Sakina alidanganya kwani imeshakuwa proved kwamba magazeti ya Mengi yalishampa coverage balozi wa Palestina (yule wa zamani) kuhusu mlemavu mmoja wa Kibiti.

Na Sakina alitumia issue hii ya yeye kuwakumbatia Wapalestina kuonyesha kuwa ndiyo sababu ya uhamisho wake wa ile "demotion" ya kwenda This Day on Sunday, gazeti ambalo halipo. sasa iwapo alidanganya katika suala hili aliloliona muhimu ktk kutetea hoja yake, sembuse hayo mengine aliyoyaandika ktk barua yake ya kujiuzulu? Ni unafiki tu wa hali ya juu kabisa!!!

jamani, acheni kukurupuka tu kumtetea huyu mdosi, someni hoja zilizotolewa nyuma, msitetee mtu kijuu-juu tu bila ya hoja kuhusu issue at hand ambayo ni yale aliyoyaandika Sakina ktk barua yake. Msilete mengine yasiyokuwamo.
 
Wna Jamii nimesoma barua ya resignation ya Sakina Datoo kwend kwa boss wake amabayo ina mambo mengi sana, jamabo ambalo naomba kuuliza je alichokifanya Sakina kwa kuandika ile barua ambayo inamhusu yeye na mwajiri wake na kuipost Huku Jamii ni sawa!! Na je IPP hawana zile document za confidentiality, kwa sababu naona mengi aliyo yaandika mle ni internal information amabazo zilipaswa kuwa siri kai yake na mwajiri wake,

Does it add value sie tukiresign tupost zile barua humu

Ni wapi inaonyesha SAKINA kapost? wewe hata ukileta inaweza isipate respond yoyote toka kwa watu..... teheeee

Naomba msaada

Privacy and confidentiality has an Act/ in other countries is being adopted to private agreement. Mwajiri na mwajiriwa lazima waingie mkataba wa kufichiana siri. Labda bongo sijui na kama ipo basi Datoo anaweza chukuliwa hatua za kinidhamu za kufujisha siri za mikataba.

Pili resignation ina kopi kweli? Mimi huku ughaibuni nilistaafu kazi nikasaini fomu pia nikaziacha sikuondoka na kopi yoyote. Labda huyo Datoo kaitunga yake.

Wakuu nawasilisha tu! haka kahoja.

Tofautisha kustaafu na KURESIGN........... EBO!!!!!
 
ZAK: Madikizela, Raimundo na wengineo waliojiunga ktk JF baada tu ya thread hii ya mama huyu mdosi kuwekwa. Bila shaka mmetumwa kujiunga kumtetea huyu Mama na inaonekana hamkusoma kabisa post za nyuma jinsi wana JF walivyotoa data na uthibitisho kuhusu unafiki wa Sakina.

Ni dhahiri kuhusu issue ya Wapalestina Sakina alidanganya kwani imeshakuwa proved kwamba magazeti ya Mengi yalishampa coverage balozi wa Palestina (yule wa zamani) kuhusu mlemavu mmoja wa Kibiti.

Na Sakina alitumia issue hii ya yeye kuwakumbatia Wapalestina kuonyesha kuwa ndiyo sababu ya uhamisho wake wa ile "demotion" ya kwenda This Day on Sunday, gazeti ambalo halipo. sasa iwapo alidanganya katika suala hili aliloliona muhimu ktk kutetea hoja yake, sembuse hayo mengine aliyoyaandika ktk barua yake ya kujiuzulu? Ni unafiki tu wa hali ya juu kabisa!!!

jamani, acheni kukurupuka tu kumtetea huyu mdosi, someni hoja zilizotolewa nyuma, msitetee mtu kijuu-juu tu bila ya hoja kuhusu issue at hand ambayo ni yale aliyoyaandika Sakina ktk barua yake. Msilete mengine yasiyokuwamo.

Nakubaliana nawe kabisa. Hawa wametumwa kumtetea, na wanaboa kwelikweli!!
 
Madikizela, Raimundo na wengineo waliojiunga ktk JF baada tu ya thread hii ya mama huyu mdosi kuwekwa. Bila shaka mmetumwa kujiunga kumtetea huyu Mama na inaonekana hamkusoma kabisa post za nyuma jinsi wana JF walivyotoa data na uthibitisho kuhusu unafiki wa Sakina.

Ni dhahiri kuhusu issue ya Wapalestina Sakina alidanganya kwani imeshakuwa proved kwamba magazeti ya Mengi yalishampa coverage balozi wa Palestina (yule wa zamani) kuhusu mlemavu mmoja wa Kibiti.

Na Sakina alitumia issue hii ya yeye kuwakumbatia Wapalestina kuonyesha kuwa ndiyo sababu ya uhamisho wake wa ile "demotion" ya kwenda This Day on Sunday, gazeti ambalo halipo. sasa iwapo alidanganya katika suala hili aliloliona muhimu ktk kutetea hoja yake, sembuse hayo mengine aliyoyaandika ktk barua yake ya kujiuzulu? Ni unafiki tu wa hali ya juu kabisa!!!

jamani, acheni kukurupuka tu kumtetea huyu mdosi, someni hoja zilizotolewa nyuma, msitetee mtu kijuu-juu tu bila ya hoja kuhusu issue at hand ambayo ni yale aliyoyaandika Sakina ktk barua yake. Msilete mengine yasiyokuwamo.

BIASED.......
usifikiri mtu anapojiunga anakuwa haelewi mambo, that was another side of the story, katika ulimwengu huu wa propaganda si vyema uamini taarifa za upande mmoja, MAY BE na wewe unakurupuka WHO KNOWS, wacha watu wamwage utetezi hapa na usitegemee hata siku moja kuwa watu wote watakuwa upande unaouamini wewe kuwa ndio RIGHT........
 
Madikizela, Raimundo na wengineo waliojiunga ktk JF baada tu ya thread hii ya mama huyu mdosi kuwekwa. Bila shaka mmetumwa kujiunga kumtetea huyu Mama na inaonekana hamkusoma kabisa post za nyuma jinsi wana JF walivyotoa data na uthibitisho kuhusu unafiki wa Sakina.

Ni dhahiri kuhusu issue ya Wapalestina Sakina alidanganya kwani imeshakuwa proved kwamba magazeti ya Mengi yalishampa coverage balozi wa Palestina (yule wa zamani) kuhusu mlemavu mmoja wa Kibiti.

Na Sakina alitumia issue hii ya yeye kuwakumbatia Wapalestina kuonyesha kuwa ndiyo sababu ya uhamisho wake wa ile "demotion" ya kwenda This Day on Sunday, gazeti ambalo halipo. sasa iwapo alidanganya katika suala hili aliloliona muhimu ktk kutetea hoja yake, sembuse hayo mengine aliyoyaandika ktk barua yake ya kujiuzulu? Ni unafiki tu wa hali ya juu kabisa!!!

jamani, acheni kukurupuka tu kumtetea huyu mdosi, someni hoja zilizotolewa nyuma, msitetee mtu kijuu-juu tu bila ya hoja kuhusu issue at hand ambayo ni yale aliyoyaandika Sakina ktk barua yake. Msilete mengine yasiyokuwamo.

Mazee,
Mbona unamtazamo wa ajabu, si kila mtu ambaye amekuwa nje ya usajili rasmi wa JF hajui au hawezi kuchangia hoja kwa uelewa wake. Kuwa ndani ya JF hata kwa miaka kadhaa hakukupi degree ya juu kabisa ya ufahamu wa mambo.
Aidha, huna authority ya kuwakataza wachangiaji kutoa maoni yao kinyume na vile wewe unavyoamini. Suala hili la Sakina na Mengi liko wazi mno na kila mtu anaweza kuwa na mtazamo wake tofauti, na hili ndiyo jambo la msingi.
 
Privacy and confidentiality has an Act/ in other countries is being adopted to private agreement. Mwajiri na mwajiriwa lazima waingie mkataba wa kufichiana siri. Labda bongo sijui na kama ipo basi Datoo anaweza chukuliwa hatua za kinidhamu za kufujisha siri za mikataba.

Pili resignation ina kopi kweli? Mimi huku ughaibuni nilistaafu kazi nikasaini fomu pia nikaziacha sikuondoka na kopi yoyote. Labda huyo Datoo kaitunga yake.

Wakuu nawasilisha tu! haka kahoja.

Madikizela, Raimundo na wengineo waliojiunga ktk JF baada tu ya thread hii ya mama huyu mdosi kuwekwa. Bila shaka mmetumwa kujiunga kumtetea huyu Mama na inaonekana hamkusoma kabisa post za nyuma jinsi wana JF walivyotoa data na uthibitisho kuhusu unafiki wa Sakina.
Good observation guys
 
sasa RM mbona anagongana sanaa na editors wakati aliwahi kukiri haingilii news room decsions!!!

vipi anazeeka vibayaa au wapambeeee?????
 
Nimekuwa nikimwona Mzee Mengi kuwa ni mzalendo halisi lakini sasa naanza kuhofu kuwa kuna maslahi anayafukuzia katika biashara zake. Iweje mtu anayeonyesha uchungu kama tunavyomwona kwenye vyombo vya habari aanze kudictate kitu gani kiripotiwe wakati media kazi yake ni kuelimisha kupitia habari?

Huku ni kuingilia uhuru wa vyombo vya habari hata kama anavimiliki mwenyewe. Uzaledo wako ni upi Mzee? Datoo umeonyesha mfano na ni bora umeweka wazi kuliko raia tungeanza kukulink na issues ambazo sizo kwa kuondoka The Guardian..

UMEWAJIBIKA, acha wasio na maadili waendelee kuwepo hapo ili watumikie njaa yao huku wakiburuzwa. Na katika kuitumikia njaa yao wanaweza kuja na mpya kulikanusha hili lililokuondoa wewe ili waonekane wema kwa Mzee Mkurugenzi!!

Big up and stay alerted, unaweza kuzushiwa kuwa ulikuwa una interest na wale jamaa wenye bifu na Mkurugenzi ktk harakati za Mkurugenzi kujiosha kwenye soo hii ya ukiukwakaji wa maadili ya demokrasia na utawala bora kupitia vyombo vya habari! Ukizingatia mnashea jamii moja..LAKINI WAtanzania tumeliona, LABDA WADANGANYIKA tu hawataelewa kwa kuwa huwa hawaelewi!
 
Mhhhhh.. kaaaazi kweli kweli, njaa hizi zitatumaliza! na hii ndo silaha ya mafisadi, anakugea miatano unabwabwaja weeeeeee mwenzio anaondoka na mabilioni!
 
Sakina Datoo gabachori tumeshakushtukia! Unatumwa na wahindi wenzako kina Manji wanaomaliza mali za watanzania. Sisi watanzania tumeshawashtukia nyinyi mapochoro wezi. Mnatubagua hamtaki kuchanganyika na kisha mna wifu mkuu mnapoona mtu mweusi anapata. Wahindi wezi wooooooote kaeni chonjo... Tanzania ya leo imejaa vijana shupavu na hakuna kulala mpaka kieleweke!
 
Mie nimemwelewa Saklina kuwa yeye kuandika hii barua ni alikuwa hataki kuacha kazi, ameipenda sana kazi yake hii na ndio inamuuma kuachia ngazi.

bora aondoke kuliko kuchafua CV yake kuwa alifukuzwa.

pole sana dada

umejitahidi kuijenga Guardian Ltd. hope wataendeleza ulichowajengea ktk mwaka, Nahisi Mengi atakukumbuka sana tuuuuuuuuuuuuu

endelea kutotaka kujichafulia jina utapata kazi na kupanda ngazi
 
Kuna siku tutaambiwa Issa Shivji ni fisadi, gabachori, hafai na maneno mengine yasiyofaa. Ole wake atofautiane na Mengi!
 
waa!! sakina is a trong woman, we need to learn something from her, newspapers are for the national interests not individuals.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom