Barua ya Sakina ya kujiuzulu hii hapa

Status
Not open for further replies.
Kuna watu wamefunikwa na blanketi la udini ambalo linacloud kila kitu. Hizi wiki chache za karibuni nimeshangazwa sana. Ni noma tupu.

Mkuu yani we acha tu. Sikuhizi kuna watu kwenye kila post lazima waingize udini. Hata sehemu ambayo udini haikutakiwa kuwa factor basi wao wanaingiza. Mimi nadhani ni kushindwa hoja tu ndiyo maana wana kimbilia kuingiza a sensitive issue ya udini. Na tatizo mtu akishaingiza udini hoja zote zina yeyuka kwa sababu kila mmoja hataki kuonekana yupo for another religion na wale waliopo neutral wanaogopa kuonekana wadini. Ngoja tuone mwisho wake.
 
hii barua ya sakina inaonyesha jinsi gani mengi alivyokuwa na akili
amemdhibiti kibaraka wa mafisadi(sakina) na kuhakikisha hata kama akiondoka, hata ondoka na nyeti zozote za ipp

kwa ajili kwenye hii barua sakina ameandika pumba na amekosa hata kitu kimoja cha kumlipua mengi, akaona achomeke kipande cha palestina (asante JF kuna watu wanakumbukumbu wakaweza kukidhibiti).

eti yeye ndio ameifikisha gurdian hapo ilipo na mengi mwenyewe sijui atasemaje, du????

kila kitu yeye na alafu hivyo vitu vyote kavifanya kwa mwaka mmoja tuu (hivi huyu mwanamke anajua biashara inachukua mda gani kujenga kweli), hivi ilo jina la guardian limejegwa kwa mwaka mmoja kweli???
 
huyu pundamilia ponjoro nini??

Mkuu

Achana na Pundamilia, wewe jadili hoja tu. Kama huna hoja kaa pembeni.

Well done Sakina,
We need ten more people like you who dare to talk openly, magazeti yatarudisha heshima yake mbele ya wananchi.

May God bless you!
 
usipate shida ndugu yangu kuna siku wataondoka tuu kwa "peoples power", toka lini ulishaona ponjoro akampiga chini ponjoro mwenzake???Wana JF plzz tunaomba datas za huyu ponjoro "SAKINA DATTOO" tujue kazaliwa wapi na alisoma wapi??Jee aliukana uponjoro wake??Tunataka kumchambua kama karanga tumkome nyani giladi mchana kweupe.
U can fool some people some times, BUT u cant fool all the people all the time.
TUNAKUJA..........watch this space.
Inavyoonyesha unapenda kuongela watu personalities (simple mind) kuliko issues...hapa tunaongelea issuea unatake personal details kweli akili yako robo kikombe!!!
 
Mkuu yani we acha tu. Sikuhizi kuna watu kwenye kila post lazima waingize udini. Hata sehemu ambayo udini haikutakiwa kuwa factor basi wao wanaingiza. Mimi nadhani ni kushindwa hoja tu ndiyo maana wana kimbilia kuingiza a sensitive issue ya udini. Na tatizo mtu akishaingiza udini hoja zote zina yeyuka kwa sababu kila mmoja hataki kuonekana yupo for another religion na wale waliopo neutral wanaogopa kuonekana wadini. Ngoja tuone mwisho wake.

Hivi suala la kukandamizwa kwa haki za wapalestina, kukaliwa maeneo yao kimabavu na kunyanyaswa na waisrael kama vile utu wao hauna thamani ni UDINI?

Nadhani hapa ndipo kwenye tatizo. Kuna wengi wanaokubali propaganda kuwa suala la WAPALESTINA na ISRAEL ni suala la udini kana kwamba WAPALESTINA ni waislamu pekee na waisraeli ni WAYAHUDI PEKEE. Hii ni athari ya upotoshaji mkubwa kwa manufaa ya WAKANDAMIZAJI wa haki za wapalestina...

Mara nyingi ni UDINI ulio ndani ya mioyo yetu ndio hupelekea kudhani kila afanyalo mwengine litakuwa na mantiki ya udini...

omarilyas
 
Nani kasema mimi naongelea swala la Palestina? Ungesoma post zangu tokea mwanzo ungejua siongelei hilo na naongelea kitu kingine kabisa. Kama ulitaka kujua kwa nini nimesema hivyo bora ungeuliza kuliko kujijibu mwenyewe.
 
Naomba niulize. Hii barua si ni private kati ya Mengi na Sakina au?
 
On 4th July 2009, 09:54 PM
Deepesttthroat, una maoni yoyote mkuu? ;)
Mhhhh... Umesababisha nikaangalia... Ana post moja, kajiunga JF jana...! Natumaini ana maoni zaidi...
Nilidhani atakuwa ni member wa siku nyingi katumia ID mpya ili isiwe rahisi ku-trace chanzo cha hiyo barua.
Nikapata mashaka, maana angekuwa old member bila shaka ange-logout mapema ili kutumia account yake ya siku zote aweze kuchangia mjadala.

Pengine bado anachungulia akiwa kama guest. Malengo yako nini kama unaleta barua kama hiyo ukumbini halafu unakaa pembeni toka saa moja hadi saa nne!

Deepesttthroat
# Last Activity: 4th July 2009 10:18 PM
# Join Date: 3rd July 2009
 
Mengi alimnunua Sakina kwa uwezo wake wa kazi

Hata JK alimchagua Lowasa kuwa waziri mkuu "kwa uwezo wake wa kazi" lakini alipochemsha ilikuwa ni suala la utendaji sio historia. Ukisoma vizuri hiyo barua kuna suala la demotion pia...!Pia kulikuwa na insiders walikuwa hawaivi ndani ya The Guardian Limited, hivyo alipokuwa demoted palikuwa hapatoshi...! Tusipende kumuona mtu anaweza kila kitu na kuwa yeye hakosei.....kwani yeye nani?? Hata Mkapa ambaye tulimwamini kiboko ya mafisadi at the end nae kumbe yumo....
 
hii barua ya sakina inaonyesha jinsi gani mengi alivyokuwa na akili
amemdhibiti kibaraka wa mafisadi(sakina) na kuhakikisha hata kama akiondoka, hata ondoka na nyeti zozote za ipp

kwa ajili kwenye hii barua sakina ameandika pumba na amekosa hata kitu kimoja cha kumlipua mengi, akaona achomeke kipande cha palestina (asante JF kuna watu wanakumbukumbu wakaweza kukidhibiti).

eti yeye ndio ameifikisha gurdian hapo ilipo na mengi mwenyewe sijui atasemaje, du????

kila kitu yeye na alafu hivyo vitu vyote kavifanya kwa mwaka mmoja tuu (hivi huyu mwanamke anajua biashara inachukua mda gani kujenga kweli), hivi ilo jina la guardian limejegwa kwa mwaka mmoja kweli???

Mimi naona WEWE NDIO UMEANDIKA PUMBA, nia ya Sakina haikuwa kwa ajili ya kumlipua MENGI na haikuwa kwa ajili ya PUBLIC consumption mpaka tumepata copy aliyopelekewa Mshana. alichoongea kinaonekana ni facts na zina staitistics kama ni kumpimga mpinge kwa facts.

"Hivi huyu mwanamke anajua biashara inachukua mda gani kujenga kweli",

Kama wewe ni Bongo lala kuna watu ni VICHWA na creative ndio maana unamuona kama alivyo, kweli mapenzi ni KIPOFU.
 
Personally naona da Sakina sio professional kama ambavyo kwenye barua yake anataka mwajiri wake "RM" aamini. Ukisoma hiyo barua utagundua kama Sakina alikuwa haandiki barua ya kuomba kazi bali alikuwa anaandika yale anayoamini ni mafanikio yake ambayo kwa bahati mbaya (kwake) mwajiri wake hayaoni. Pengina alitaka aonewe huruma na kurudishwa kwenye nafasi yake ya awali!! Ni kweli Sakina mafanikio yote hayo umeyaleta mwenyewe?? Naamini sapoti ya bosi wako (RM + MD Masha) na wafanyakazi wengine ilichangia kwa kiasi kikubwa, hata kama hutaki kutambua hilo.Sikuona professionalism yoyote kuhusisha watu wengine kwenye resignation yake, anasema RM alimwambia kuwa Mr. Masha (MD The Guardian) is not performing)! Sasa hili linahusiana nini na resignation yake?? Au anataka kuwagombanisha watu anaowaacha nyuma?? Yeye Sakina anareport kwa nani???? Mbona anawacopy watu wengine ambao si mwajiri au immediate boss wake?? professionalism gani anayodai kuwanayo huyu mama?? Je anajua maana ya Exit conference??? kwa nini asitumie nafasi hiyo kueleza sababu zinazomtoa?? Au alikuwa na nia ya kulikisha hii barua na ndio maana ali include irrelevant information nyingi??? Je wakati unaandika barua yako ulitathmini impact ya barua hii kwa prospective employers
wako??? Sakina tabia ni kama ngozi ya binadamu huwezi kuibadili!

Sakina kwa hili umechemka!!
 
Hongera sana Dada Sakina kwa ushujaa wako...

Umewafungua macho watanzania...We need courageous people to open up and speak up if we are to have a true democracy in the Media..

Wadau Sakina hakujipeleka Ipp Media..RM alikuwa anafuata fuata sana ajiuge kwneye group yake...Tunajua Mengi ni mbagusi and hela zote anayotamba nae ni maki wa wayahudi and alipigiwa simu kutoka Israel amshushe cheo Sakina lasivyo hata senti moja hatapata tena...

Hiyo barua iliyowekwa hapa ni ukweli wala hana haja ya kuomba kazi....She is known for her hard work.. Na wale wanaofikiri anjiunga na Habari Corp kujiunga na RA, hiyo siyo ukweli..ukweli ni she will not be dragged to do what she does not want...Wana JF Sakina is professional

Whatever yakeandikwa kwenye resignation letter ni ukweli, RM anapenda sifa za uwongo tu ili apoteshe jamii...muda umefika kutambua mafisadi wakweli..wamejaa serekalini na siyo magabachori tuu....

mambo ndivyo hivyo....
 
Yeye/wewe Sakina kama hapendi sifa mbona barua yake imejaa majisifu? na kama hakuridhika kuwa IPP si angeandika barua tu ya kuacha kazi badala ya kujikweza kwa aliyo yafanya?

Unajua, mtu kama we ni mbaguzi, ndiye utakuwa wa kwanza kuona wnao bagua, lakini kama hilo wazo halipo kichwani mwako, it is hardly to note!

Sakina we ni Mbaguzi, macho yako ya kibaguzi ndo yalikupofua hadi ukaona eti RM hampendi balozi wa Palestina, ukajisahau kwamba siku hizi mitandano ina umbua, sasa hivi watu wana google data nje nje za mahusiano ya balozi wa palestine na vyombo vya IPP Aibu gani hii umejitia dada?

To be honest wewe tu na Prof. Shivji ndo mlikuwa mkinifanya niamini kwamba kuna watu wa jamii yenu ambao wana roho za utu, nimesikitishwa you are not, nimembakisha SHIVJI TU! Siku naye nikijua upande wake mwingine bac nitakuwa mfuasi wa Mtikila kwamba GABACHORI ni our best enemy! sorry to say it but ndo ukweli! Unawezaje kutunga uongo na kupandikiza chuki namna hii?
 
Uwongo uko wapi...kubali the facts are there....

Au wewe unajifanya RM....with regards to kuwa mfuasi wa Mtikila..unasubiri nini...nenda ukaumbuliwe..umewaka bayana ushahidi kuwa wewe Ndio Mbagusi No 1....
 
Zak, wewe ni muandishi mzuri na nakuheshimu kwa hoja zako... nakubaliana na wewe hata kwenye hili, ila jaribu ku-play neutral kidogo hatujui kama ni sakina aliyelikisha hiyo letter au la!! pia kuna mengi behind the closed doors.. hatujui sakina atajikisiaje kama barua yake confidential imewekwa humu bila ridhaa yake

...fun loving criminal....

Hii barua ama imetoka kwa Mshana ama kwa mtu aliyekaribu na Mshana (angalia mwishoni mwa hiyo barua waliotumiwa copy, hii copy ni ya Mshana), ukizingatia Sakina kaandika kwamba Mshana nae yuko kweny hati hati ya kushushwa cheo
 
Si vibaya kurejea mafanikio yako, ama uliyochangia kazini. Lakini, pamoja na mapungufu kadhaa katika utendaji, naona Sakina amefanya jambo la maana kurejea hayo yote anapoamua kuacha kazi. Pengine hili litamkumbusha Mzee Mengi kuwa hawezi tu kufanya chochote kwa waajiriwa wake kwa sababu tu ana hela.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom