tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,317
We bado hadi leo unaamini kwamba jamii fulani ndiyo hodari kwa kitu au jambo fulani?
style ya uchawi wa Congo ikoje?
Sawa, lakini ikishatokea inabidi ujikaze kiume!!Kiongozi, jela hakufai wewe kusikie tu kwa mbali usiombe ukaingizwa huko.
Na mimi hoja yangu ni kwamba, wengi wanaona haiingii akilini kwa kitu kama hicho kufanywa na mzazi akishirikiana na watoto wake!! Yaani, kama zile tuhuma ingekuwa ni za mzee peke yake, au Papii peke yake; kuna wengine labda wangeamini lakini wanapata taabu kuamini kusikia ulikuwa ni "mtungo" wa baba na wanae! Kutokana na hilo, ndio maana nikasema ikiwa watu kwenye imani zao za kishirikina wanafikia kulala na mama zao wazazi, sasa kuna lipi la ajabu mtu kushiriki mtungo na wanae? Lipi gumu? Kupiga mother au kupiga mtungo kwa kushirikiana na watoto wako? So, binafsi naamini kwamba katika hali ya kawaida, haiingii akilini mtu mzima kushiriki mtungo na wanae lakini linapokuja suala la ushirikika, yawezekana!Hujaniellewa,,,, siamini kama kuna huo uchawi na sijawahi kisikia watu wakifanya hivo. ni comment yako ndo imeelezea hayo.
Ukiingia jela ndo utajua kama kule ni kaburi au sio. Usisimuliwe tu ukhwa nje huku....
Mangi na penda kukupa pongezi sana kwa maelezo yako mafupi lakini yenye maana sana, ukweli kuwa wengi humu ndani wanakurupuka tuu kuhukumu watu bila sababu za msingi.
Lakini Tanzania kila jambo lina wezekana kwani siku mbili tumesikia Lema alivyo shinda kesi hivyo sina imani sana na watoa hukumu kwani hoja iliyo mfanya lema ashinde ilikuwa ndogo sana hata mimi ningeweza kuona kuwa hakupaswa kuvuliwa ubunge wake.
Ila ndio ilivyo tokea, turudi kwenye kesi ya Nguza na vijana wake, kuna wale wawili waliwekwa ndani pia kwa hukumu hiyo hiyo ila ilipo kwenda huku na kule ikaonekana hawakuhusika ni mahakama hizi hizi za tanzania zilifanya jambo hili. ukweli ni kwamba ningekuwa ni wale watoto ningeweza kufunga mashitaka kwa walio nizushia na kwa serekali pia kunifunga bila kosa.
Hivyo na imani kuwa hawa jamaa wameonewa sana hivyo kijana kama ameandika barua hiyo hakuna haja ya kumshambulia amesha sema mara nyingi hakuhusika sifahamu hao wanaotaka kwanza akiri kama alifanya au hakufanya wanataka kujua nini?
Walisingiziwa? Ushahidi wa picha mpaka za video ulitolewa mahakamani, walikuwa wanawala na kuwalawiti watoto wadogo wa shule za msingi. Hao ilikuwa wauliwe tu. Si wakuhurumiwa hata kidogo, fikiria wale watoto sasa hivi wanaojiita hizi nyuzi na waneshakuwa watu wazima. Roho zao zinawauma vipi wakikumbuka unyama waliofanyiwa kwa kudanganywa kwa chipsi na biskuti!
Na mimi hoja yangu ni kwamba, wengi wanaona haiingii akilini kwa kitu kama hicho kufanywa na mzazi akishirikiana na watoto wake!! Yaani, kama zile tuhuma ingekuwa ni za mzee peke yake, au Papii peke yake; kuna wengine labda wangeamini lakini wanapata taabu kuamini kusikia ulikuwa ni "mtungo" wa baba na wanae! Kutokana na hilo, ndio maana nikasema ikiwa watu kwenye imani zao za kishirikina wanafikia kulala na mama zao wazazi, sasa kuna lipi la ajabu mtu kushiriki mtungo na wanae? Lipi gumu? Kupiga mother au kupiga mtungo kwa kushirikiana na watoto wako? So, binafsi naamini kwamba katika hali ya kawaida, haiingii akilini mtu mzima kushiriki mtungo na wanae lakini linapokuja suala la ushirikika, yawezekana!
kumbukumbu zangu ni kwamba vile vitoto vilihojiwa na mEDIA MBALIMBALI (ITV Ikiwamo) japo havikuoneshwa nyuso zao,na jinsi vilivyokua vinaelezea kama ni maigizo they deserve ''ACADEMY AWARD NOMINATION''
Wairejee vipi wakati rufani walikata na ikasikilizwa lakini bado ikaonekana wana hatia kasoro dogo mmoja ambae ilikuja kuthibitika kwamba wakati yale yanatokea yeye alikuwa yupo mkoa....huyu aliachia lakini wengine wote wakaonekana wana hatia....!! Tena hata Mabere Marando ambae alikuwa ni Wakili wao aliwahi kuhojiwa kama yule dogo anaweza kudai fidia; nae akajibu "ili mradi yupo huru, hayo mengine aachane nayo" na wala hakuonesha kutoridhishwa na hukumu!
usikurupuke kabla ya kuandika,soma kwa makini........nimetumia neno ''kama''Angefanyiwa mtu anaekuhusu Kwa karibu Ndio ungempa hyo tuzo maana ungeelewa vema Kua anaugiza