Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,157
- 4,454
kwa hiyo wale watoto hawakufanyiwa hivyo vitendo ama hawakufanyiwa na kina nguza???..napatwa na maswali mengi niamini upande upi
Chezea wakubwa wewe, hivi huwa unamsikia tena Ulimboka?
kwa hiyo wale watoto hawakufanyiwa hivyo vitendo ama hawakufanyiwa na kina nguza???..napatwa na maswali mengi niamini upande upi
kumbukumbu zangu ni kwamba vile vitoto vilihojiwa na mEDIA MBALIMBALI (ITV Ikiwamo) japo havikuoneshwa nyuso zao,na jinsi vilivyokua vinaelezea kama ni maigizo they deserve ''ACADEMY AWARD NOMINATION''Chezea wakubwa wewe, hivi huwa unamsikia tena Ulimboka?
Chezea wakubwa wewe, hivi huwa unamsikia tena Ulimboka?
Ina maana idara ya mawasiliano Ikulu siku hizi wanapokea barua katika mitandao? Hii barua isingehitajika kufika hapa!
hata mi nliskia eti hawakutenda yale makosa ila walikula vya mkubwa,na sijui ukweli ni upi na mkubwa mwenyewe ni nani...haya maisha haya!acha tu
Ukitaka kujua hii nchi imeshikwa na wenyewe, niambie mara ya mwisho kusikia wimbo wao ule wa Salima uliishia wapi? Omba hata redioni kama mtapigiwa!
Mtafute wakili wao Mabere Marando analo File lao mkuu!Mkuu unamaanisha nini hapa mbona sijakuelewa?! Ina maana ule wimbo wa Salma ndio umesababaisha mpaka kizazi chote cha Nguza kinyee debe
Wakati unabaka watoto wa watu uliona sawa eeeee, tena mimi ningekuwa JK baada ya kupokea hii barua ningeamuru aongezewe adhabu ya viboko vi5 kila asubuhi. Pumbavuuuuuuuuuuuu
Jela sio kaburi hemu jikaze mtoto wa kiume,
Kulialia sio vizuri unakufuru mswalia mtume.
Huyu na babake si nilisikia walifungwa kwa kusingiziwa na aliyetaka wafungwe ndie huyo huyo wanamuomba msamaha! hapo chacha mi sidhani kama itawezekana hii kitu kwani jamaa alijiapiza lazima waozee jela sidhani kilipizo chake mwenyewe anaweza kukivunja manake kinaweza kikamrudia yeye akimaliza utawla wake anaweza zamishwa....!
Tatizo letu tunachukulia maneno ya mitaani lakini mwenye akili zake anaweza kujiuliza, huyo mwanamke waliyekuwa wanamgombania ana cha nini mno cha kumfanya mtu anunue system mzima na kukomoa familia yote!! Angalau kuna wengine wanajiuliza kwamba haileti sense baba na wana wafanye jambo kama hilo; afadhali ingekuwa baba peke yake....lakini jaribu kumuuliza mtu anayehoji hivyo, kwamba je, unakubali kuna watu wanalala na mama zao wazazi kwa sababu za ushirikina....kwamba mganga kamuambia "if you want thisi, itabidi u- do na mama yako mzazi..."....wengi ukiwauliza hivi, wanakiri hayo mambo yapo sana; kisha mtu huyo huyo muulize, kama ndio wewe, umepewa option ama ya kulala na mama yako mzazi au ya kuvilawiti vitoto ukishirikiana na wanao; utakubali nini....wengi wanasema kulala na mana ngumu, heri upige mtungo vitoto.....lakini hapo hapo unakuta wanasema haiwezekani wakati wanakubali kabisa kwamba wapo watu wanaolala na mama zao!!!!! And by the way, ikiwa watu wanaweza kubaka mama zao wazazi, watashindwa nini kufanya walichofanya Nguza na wanae!!!
In short, pale hakuna lingine....ni ushirikina tu.....tusisahau wale ni wanamuziki ambao mara kwa mara walikuwa wanafanya kazi pamoja. So, kitu ambacho kinawezekana pale ni kwamba walipigiwa changa la macho na waganga wa kienyeji kwamba "if you wanna be at the top for long, do this, do that...!" Na waafrika kwa kuendekeza upuuzi, hatujambo!!
We bado hadi leo unaamini kwamba jamii fulani ndiyo hodari kwa kitu au jambo fulani?Hiyo familia ni kutoka congo na style ya uchawi wa namna hiyo hakuna sema lingine.
Hiyo familia ni kutoka congo na style ya uchawi wa namna hiyo hakuna sema lingine.