shizukan
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 1,158
- 563
Maombi haya ungeyaelekeza kwa Mungu pengine nafuu ingepatikana. Kifungo ulichonacho ni dhalili ya utu na maisha yako, lakini tumaini la Mungu lisikupotee kiasi ukaahidi kumsujudia binadamu na kumuita mtukufu.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akupe heri na nafuu ya mahangaiko yako, uhuru wa roho yako auweke mbele na wa mwili wako ufuatie.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akupe heri na nafuu ya mahangaiko yako, uhuru wa roho yako auweke mbele na wa mwili wako ufuatie.