Tetesi: Barua ya Nchimbi ilifichwa

Uliiona?.
 
Wewe ni MJINGA kabisa! Yaani unajua barua imefichwa, halafu badala ya kuileta hapa hiyo barua original unaleta blah blah! tu! Pumbavu!!!
 
Tunaomba wadukuzi watusaidie kuvujisha
 

Waivujishe hiyo barua kama ule Mkataba wa BANDARI.
 
Barua Iko wapi!!?kama ishavuja!!?
 
Muhimu awe hai na salama huko alipo
Hawawezi kumuacha salama kama mambo yapo hivyo!!nashangaa kwanini aliachia ngazi akiwa nchini!angefanya hivyo akiwa USA!!

Bad move!Wala asingeanza kutembelea wastaafu!!!alivujisha plan zake akawa tagert!!!

Hakuna taasisi inayoweza kumlinda sasa!hata jw hawataweza coz watakua wamesha fanya compromise na regime ya sasa!!

Labda very deep deep deep state sidhani kama wataweza coz kwa sasa hata wao wamezidiwa ujanja kabisa!!coz operation zao hazionekani kuzaa matunda!!
 
Wasipomwacha salama ndio inakuwa mbaya zaidi
 
Hiyo Barua alimuandikia nani?
 
Wasipomwacha salama ndio inakuwa mbaya zaidi
Dr.omari Alli juma unamkumbuka!!?what if team kizimkazi wakaamuz ku balance equation!!

Kuna kitu watanzania bara hawajui!

Hii team inalipa kisasi cha uchungu wa miaka mingi kwa katiba ile ile iliyotumika kwa miaka mingi kuwaumiza watu wao kama kina Abood jumbe,omari Ali juma,maalim seif n.k!!

Watanganyika wengi ni mbumbu Hadi viongozi washauri hawaelewi!!

Watanganyika tumefika huku wa upumbavu wetu coz hatukutarajia hata siku Moja mzanzibari anaweza kuwa Rais kwa katiba hii ,tiliamini tutapanga mambo dodoma na hawana ujanja sasa ule mwanya wameupata nakwambia tuweni wapole Tena Kwa makelele na kupanic kwetu kianza kudai katiba mpya ndio tunaharibu!!

Tutulie tuwe wapole Hadi wao wenyewe waone wapo safe kama wao walivyokaa kwa miaka mingi Hadi Mungu alipowakumbuka ndio turekebishe katiba!!

Kwa Sasa kwatiba Ina wa favor wao hawawezi UNGA mkono juhudi za kuibadili na kama wakitaka wataifanya kwa mfumo unaowa favor wao!!

Nimefurahishwa sana na SIMBACHAWENE ile ndio njia pekee ya kuishi nao kwa sasa hakuna nyingine mkileta hizo suuu mtahatarisha maisha ya hata hai wachache waliopo kwenye system hasa watanzania bara!!

Akili kumkichwa!!
 
Weka hiyo barua basi au unatupanga? Ujue tuko serious mzee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…