Barua ya amri ya kuitwa polisi kwa Mnyika

Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
barua imetolewa jana jioni wakimtaka leo afike polisi leo asubuhi katika ofisi ya makosa ya jinai, wakati wanajua huyu mtu yupo bungeni dodoma.
 

Attachments

  • polisi.jpg
    polisi.jpg
    235.7 KB · Views: 2,798
Ningelisa jeshi la polisi lakini kila sentensi nazoandika naona zinaipeleka kwenye BAN ngoja nikae kimywa waje wenyewe
 
Yale yale, navyojua utaratibu ni kuomba kwa Spika kuwa wanahitaji kumhoji Mhe Mnyika, then spika anamruhusu kuja Dar.
 
Mmmmmh_nasikia nchi zilizo endelea ziko makini sana kwenye kuajiri hawa walinda usalama wa nchi i.e JW,polisi etc,..na ndio maana majanga yanayosababishwa na uzembe na upuuzi kama huu haupo huko,...huku kwetu majeshi yetu yamejaa watu waliofoji ama kuwa na vyeti vya hovyo ndio maana mambo yao pia ni ya hovyo hovyo

Mtu yuko bungeni halafu mnamwambia afike saa nne asubuhi
 
No headed paper, inatakiwa iandikwe kwa spika!mmmh....i don't think so!!!!!
 
Mbona haina emblem ya police?

Kuitwa police kufanya nini? Haijaelezea hiyo barua kuwa wanamwita afanye nini?

Kingine why imeelekezwa kwa Mnyika wakati wanajua kuwa anashughuli za bunge?

Why wasianze na kina Dr Slaa na Lema kwani hawana kazi za kibunge?

Nadhani hii ineandikwa na police wa JF.

Alie andika akafanye editting aweke hata emblem ya kubumba.
 
Naona jeshi letu la polisi linageuka kuwa chama rasmi cha siasa, tena chama chenye silaha na kilicho juu ya sheria. Kwa nini hii barua haijawa CC kwa spika? Mbunge anaendelea na vikao vya bunge, kwanini polisi hawakutoa taarifa kwa bunge kabla ya kumhoji ambaye anahudhuria vikao vya bunge?
 
HAINA NEMBO ya Polisi..imekaa tu kama barua ya ualiko wa harusi hata za huko maharusini kuna vipicha kidogo vya matarumbeta na vyoda...ukosefu wa weledi...Mnyika sio kama sisi raia , ni Mbunge utaratibu wa kumpata ni tofauti..ingewezekana hivyo kama angeyasema hayo nje ya vikao vya Bunge ..lakini kwakua ameyasema hayo ndani ya vikao vya Bunge..hakuna budi ya kuomba ruhusa kwa spika kwa uhudhuriaji wake polisi...ingawa hakuna aliye juu ya sheria..lakini kuan taratibu katika utimizwaji wa hayo
 
Ww mtu amehudhuria mafunzo kwa miezi sita unategemea ayafamya miujiza?
Hawezi kutenda km mtu alitepitia mafunzo ya miaka kadhaa.
 
lazma zoka atakuwepo na plaiz, msangi atamalizia kazi, akirudi mzima huyo cjui, hakuna polisi, kuna mashetani tu.
 
Upuuzi mtupu! Barua ya Wito yenyewe kwanza haina anuani sasa tukitaka kuijibu sijui ipelekwe wapi? Vituo vya polisiccm vipo vingi na hatujui ni wapi pa kwenda...... Sijui ni Msimbazi, Sarender, Magomeni, Chang'mbe, Buguruni, Tazara, Kawe, Tabora Central Police, Kigamboni au ...........!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mbona haina emblem ya police?
Kuitwa police kufanya nini? Haijaelezea hiyo barua kuwa wanamwita afanye nini?
Kingine why imeelekezwa kwa Mnyika wakati wanajua kuwa anashughuli za bunge?
Why wasianze na kina Dr Slaa na Lema kwani hawana kazi za kibunge?
Nadhani hii ineandikwa na police wa jf.
Alie andika akafanye editting aweke hata emblem ya kubumba.

Kama wanataka kurudisha Heshima yao wamwite Mengi kumhoji kuhusiana na tuhuma alizozitoa tena kwa kuwataja viongozi waandamizi wa polisi kwa kupokea hongo ili wambambikize mwanae madawa ya kulevya, Bado naendelea kuwadharau Jeshi la polisi kwa kufanya kazi kwa double standard ambazo hata sisi akina Kabwela tunazistukia
 
Mnyika soo hili la kupambana na "madhaifu" ndo linaanza, ngoja tutafute popcorn na soda baridi kungojea second episode.
Lakini usiwe na wasi wasi steringi hauwawi!
 
Sio lazima afike Dsm nadhani anaweza ku report huko huko Dodoma. Otherwise inabidi awe na grounds za kutofika Polisi kwa mfano kama amechelewa kupokea taarifa hii.
 
Back
Top Bottom