Barua ya amri ya kuitwa polisi kwa Mnyika

hii ni kama mchezo wa kuigiza, sijawai kuona barua hapohapo na dispach hapohapo, halafu mtu unataka akupe taarifa za kukusaidia kazi yako badala ya kuweka neno “unaombwa kufika polisi” unasema “unaamriwa” hizo amri hukohuko jeshini.
 
hii ni kama mchezo wa kuigiza, sijawai kuona barua hapohapo na dispach hapohapo, halafu mtu unataka akupe taarifa za kukusaidia kazi yako badala ya kuweka neno "unaombwa kufika polisi" unasema "unaamriwa" hizo amri hukohuko jeshini.

tusipoubadili mfumo huu kwa kweli madhara yake ni mabaya ambayo pengine itakuwa ni historia itakayobaki vichwani mwa wanadamu kwa karne nyingi zijazo.
 
Hii kitu otamfikisha pabaya,ndio madhara ya kuropoka huku ukijua huna ushahidi.limemganda,
 
Back
Top Bottom