hakuna uchawi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 655
- 662
Ahsante kwa kutuletea taarifa hii.
Mi ni moja wasio amini uwepo wa Mungu kwa zaidi ya miaka kumi sasa.
Nilianza kuamini hivi toka nikiwa form two na bado ninadunda tu.
Mungu hakuwahi kuwepo, hayupo, hana sababu ya kuwepo na hata kuwepo milele.
Mwanasayansi anaeheshimiwa kasema Biblia ni ya kitoto ! Ukiangalia kwa makini ni kweli, ni kuogopesha watu ili waamini vitu visivyoonekana .
ninachoshukuru wao wameishia kumkosoa Mungu ila Majibu mhimu ya maswali yetu yanayotusumbua kama haya(1)Tumetoka wapi? (2)kwanini tuko hapa? Lengo ni nini hasa
(3)Tunakwenda wapi baada ya Kufa? (4)Nini kisababishi pakuwepo na Wanyama binadamu wadudu na ndege(ihali vimekuepo katka maumbile tofaut ke/me ili vizaliane??( siku wakiweza kuyajibu haya na kuacha kumkosoa Mungu tu basi nitajiunga nao.
Reverse gravityEbu tuambie scientist wewe umegundua nini?
Reverse gravity
Number factors for lower mundesters
And other two things siwez weka hapa na bado ...vipo on progress
Mkuu usione watu tunaleta masihara sana humu , but we are also smart
Ungejibu yote basi ndugu? Mbona umeishia moja tu? Okay sawa nakubali mawazo yako iliurdhike japo hauko sahihi.....naomba niulize Kwa kuwa umekiri kuwa wanadam WAMEPEWA Utashi wa.........je! Aliewapa huo utashi Ni nani na yuko wapi?Unauliza swali la aibu sana binadamu ni mnyama ka wanyama wengine utofaut alipewa utashi,kuhusu ukifa unaenda wapi je jiulize kuku akifa anaenda wapi na ngurue je na wanyama wote wakifa wanaenda wapi?ukifa habari yako imeisha hakuna maisha baada ya kifo,ok tukubali mnavo taka ni sayari ipi tunaenda kuishi?
Pigia mstari bossHuwezi kujibu au hujui cha kujibu?
Kamtishe mmeo huo ujingaAngalia usije kukufuru na kuishia kuteseka kaburini kwa kutokuamin kwako..
Mungu wenu ipo siku utamuita ata nywele kama Leo hii umemuita upepo pole sanaMungu yupo ila mungu si kitu wala si mwili mungu ni kama upepo uvumao ila nguvu yake ni kubwa mno.lakini pia naamini mungu baada ya kuumba ulimwengu akaachana na mambo ya ulimwengu aliamua aishi mafichoni ndio haonekani kwa macho ndio maana hata walokole wengi wao wanasema yesu ndio mungu yaani hata wao wanavurugwa.
Kama lengo la Mungu kukuumba nakukuleta dunia alafu ufe uende mbinguni tena ama jehanam.. na isitoshe anaujua mwanzo wako na mwisho wako...
Kwanini asinge umba huyu anapelekea jehanam na huyu mbinguni... Ama kuangamiza jehenam kwa neno tuu na kusambaratika..
Maswala ya sini yanafikirisha sanaa haswa ukiacha ubongo ufikirie na sio kuwaza yale tunayo karirishwa
Umemjibu vema sana et watu walikosa majibu akat tayar tunayo kuwa Ni (Mungu kayayafnya!!)/ yey ndio hana majibu ...hoja zao Ni dhaifu et kitu kama hakionekan basi hakipo ...lakn kwakuwa yeye ndiye yeye anayebisha uwepo wa Mungu!, kazi ya kutoa ushahidi inamwangukia yeye mwenyewe.. Hivi vilivyopo vinatoka wapi? Kama vitu vilitokea kwenye big bang hivyo vilivyogongana vimetokea wapi? Kazi ya kurudi nyuma anayo yeye ..sisi tushamaliza kazi: ukirud nyuma na kurudi na kurudi utafika kwenye uwepo wa Mungu ambao sisi tunautafsri kwa hivi tuvionavyo......kwetu sisi hivi vyenye mpangilio wenye akili haviwezi kuanzia kwenye bahati nasibu wala ajali ya bing bang ..bahat nasibu haiwez kuwa na akili na nidhamu kama iliyopo ulimwenguni sembuse ajali!!!!! Mkuu watu kama hawa wasikupe shida ata hawajielewi. Kasome Ayubu 21 yoote. Utajifunza kitu kuhusu hawa jamaaHujajibu swali hata moja hapo,unaleta porojo tu.
Je, unamzungumziaje YESU KRISTO?Je, yeye sio MUNGU?
Ebu tuambie scientist wewe umegundua nini?
Umemjibu vema sana et watu walikosa majibu akat tayar tunayo kuwa Ni (Mungu kayayafnya!!)/ yey ndio hana majibu ...hoja zao Ni dhaifu et kitu kama hakionekan basi hakipo ...lakn kwakuwa yeye ndiye yeye anayebisha uwepo wa Mungu!, kazi ya kutoa ushahidi inamwangukia yeye mwenyewe.. Hivi vilivyopo vinatoka wapi? Kama vitu vilitokea kwenye big bang hivyo vilivyogongana vimetokea wapi? Kazi ya kurudi nyuma anayo yeye ..sisi tushamaliza kazi: ukirud nyuma na kurudi na kurudi utafika kwenye uwepo wa Mungu ambao sisi tunautafsri kwa hivi tuvionavyo......kwetu sisi hivi vyenye mpangilio wenye akili haviwezi kuanzia kwenye bahati nasibu wala ajali ya bing bang ..bahat nasibu haiwez kuwa na akili na nidhamu kama iliyopo ulimwenguni sembuse ajali!!!!! Mkuu watu kama hawa wasikupe shida ata hawajielewi. Kasome Ayubu 21 yoote. Utajifunza kitu kuhusu hawa jamaa
Watu wengi wana tatizo hili. Ukiwa simple wanakudharau na kukubeza pasipo kuelewa CONTENT mtu aliyo nayo exceptionally. "Ni ngumu sana Mjinga kumtambua Mwerevu asipojitambua kwanza kwamba yeye ni Mjinga"
Wapi nimesema siamini mungu yupo kwasababu haonekani kwa macho kama upepo?Umemjibu vema sana et watu walikosa majibu akat tayar tunayo kuwa Ni (Mungu kayayafnya!!)/ yey ndio hana majibu ...hoja zao Ni dhaifu et kitu kama hakionekan basi hakipo ...lakn kwakuwa yeye ndiye yeye anayebisha uwepo wa Mungu!, kazi ya kutoa ushahidi inamwangukia yeye mwenyewe.. Hivi vilivyopo vinatoka wapi? Kama vitu vilitokea kwenye big bang hivyo vilivyogongana vimetokea wapi? Kazi ya kurudi nyuma anayo yeye ..sisi tushamaliza kazi: ukirud nyuma na kurudi na kurudi utafika kwenye uwepo wa Mungu ambao sisi tunautafsri kwa hivi tuvionavyo......kwetu sisi hivi vyenye mpangilio wenye akili haviwezi kuanzia kwenye bahati nasibu wala ajali ya bing bang ..bahat nasibu haiwez kuwa na akili na nidhamu kama iliyopo ulimwenguni sembuse ajali!!!!! Mkuu watu kama hawa wasikupe shida ata hawajielewi. Kasome Ayubu 21 yoote. Utajifunza kitu kuhusu hawa jamaa
Toa sababu yakutokuamini kwako....tuioneWapi nimesema siamini mungu yupo kwasababu haonekani kwa macho kama upepo?
Mungu aliumbwa na nani?
Sitaki kuamini mi nataka kujuaToa sababu yakutokuamini kwako....tuione
Kubashiri ndo kufnyaje? Imani kila MTU anayo usijifche .....maana hapo mwenyew unaamini dunia ilitokea kwa bing bang. Hivyo kusema hutak kuamini Ni ujuaji tu usio na maana.Sitaki kuamini mi nataka kujua
Imani huja kwa kubashiri na ukweli haupati kwa kubashiri