maxime
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 2,231
- 1,308
Ila umeme unathibitika mdau wala hauhitaji macho.... au unataka kutuambia Mungu ni umeme... umeme nitakuambia kaushike je kwa Mungu tufanyeje?mbona una quarto bila kuelewa kwanza? Au hujui maana ya kuthibitka!? Je! Unaweza kumthibtishiaje kipofu kuwa kuna kitu kinaitwa umeme? Em niambie Ni mbinu gani unaweza kutumia kumthibtshia MTU wa aina hii uwepo wa umeme?
Sent using Jamii Forums mobile app