Barua kwa Mhe. Zitto kutoka Mtwara

zitto mshirikina sana aliondoa mkono wa kulia wa mudhihir mudhihir kisa alimkomalia atimuliwe bungeni...naona na mkono wa dr slaa aliukosa kos sababu slaa ana Mungu. kweli uyu muha kaaga kwao.
 
Mungu hana makosa katika uumbaji wake ndio maana kamfanya huyu mtu sura yake ifanane na roho yake ya ushetani. He is done politically. TUMTEMEKE kwisha
 
Hawatojadili hapo, kwa kuwa kuna watu wana aleji na Mh Zitto, na si uzito wa jambo lenyewe.
 
Invisible unaweza kutuambia ni nini hiki??
Tokea jana naona hayo mambo akiquotiwa tuntemenke anakuja gwakisa au muumin safi???whats wrong ni mtu mmoja au?

Sio mtu mmoja ni PM7 wako watu 6 wanatumia ID moja ýan wako na shift
 
Last edited by a moderator:
Duh!h hapa hakuna ukombozi i see, yaani kukupa wewe ZITTO Urais bora kumpa fisadi LOWASA.
 
Tutashauriana na chama tufanye tena ziara kusini, ziara ya kusikiliza wananchi


Mnafiki mkubwa wewe yani bado Unaendelea kutuhadaa eti utaongea na Chama. Msomi unaamini ndumba? M'bunge mzima unashinda Facebook na jf ukiwa na I'd fake kibao ulidhani siri? Mwisilamu Mnafiki bora ata usiswali unatuharibia wengine dini yetu. Funga virago hatukutaki cdm tena mnatuhadaa unakubalika kumbe I'd kumi mtu mmoja? Wapi tuntemeke hahaha msomi hewa kweli wewe. Kwa hili umenyea mkono lazima ukatwe. Ungekuwa mtu wa ukweli ungekanusha kwanza wewe sio raisi alafu ndio uwaambie utawakilisha kwa Chama Kama Mb'unge na sio raisi go to ccm
 
waraka unasemaje?Hii inakuuma kwa sababu zitto ndio kaitwa Mh:rais.Mm sifanyi propaganda za kipuuzi za kumsifia zitto.Who is zitto kwangu mm?anamaisha yake na mm nayangu.
Ujumbe umemfikia kama ulivyotumwa.Likiondolewa neno Mh.rais hapo najua huwezi sema chochote..unaumia coz ujumbe una neno Mh.rais.
Tuseme kama hii comment atakua nani kaiandika katika wale PM7??
Maana hata kanuni za uandishi kama kutumia koma, nukta, herufi kubwa, n.k. hazikuzingatiwa.

Hivi katika wale PM7, nani kilaza kilaza anaeweza kukosea namna hii??

Najiuliza tu wadau
 
jamani huyo Zitto mnamfahamu vizuri lakini? Uraisi sio kuwa na bezi yaani sauti nzito, URAISI NI KUWA NA HESHIMA NA AKILI YA KIUTU UZIMA!!!

kwa nini mnamchukia Zitto kiasi hicho?kwa nini tusiamini hizo chuki zenu zinatokana na kwamba mnaona jamaa anahatarisha maslahi ya mabwana zenu?au ndio ukanda na udini?Zitto amekuwa akiibua hoja ambazo amekuwa akizipigania na tunashuhudia zinaleta positivu impakti kwa nchi hii may be zaidi ya viongozi wengi tu wa upinzani,so why do u guyz still mnamchukia hivyo?but all in all namkubali sana jamaa coz anafahamu njia bora za kufaiti majungu na fitina zenu na kurudi kwenye gemu akiwa bora zaidi!!!
 
kwa nini mnamchukia Zitto kiasi hicho?kwa nini tusiamini hizo chuki zenu zinatokana na kwamba mnaona jamaa anahatarisha maslahi ya mabwana zenu?au ndio ukanda na udini?Zitto amekuwa akiibua hoja ambazo amekuwa akizipigania na tunashuhudia zinaleta positivu impakti kwa nchi hii may be zaidi ya viongozi wengi tu wa upinzani,so why do u guyz still mnamchukia hivyo?but all in all namkubali sana jamaa coz anafahamu njia bora za kufaiti majungu na fitina zenu na kurudi kwenye gemu akiwa bora zaidi!!!

wewe mkali
 
Sijafanya utafiti ,lakini sikubariani na wewe kusema ZITTO anapendwa sana Mtwara,(Najua unataka kuleta mambo yako ya udini)
Katika eneo ninaloishi mimi NABWADA kwa kiasi cha Vijana wengi ninaowajua wanafurahishwa sana na wanaonekana kuwakubari zaidi Mnyika na Lissu .

Jana kulikuwa na Mkutano Mkubwa pale BIMA wa vyama vilivyoungana vya Siasa na wakatangaza kutakuwa na Maandamano makubwa ya Amani ya kupinga Gas kuondoka ikiwa through Pipe badara ya Nguzo .
Maandamano ya amani yatakuwa tar 27 /12/2012 kuanzia maeneo ya Ziwani kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Mwisho natoa ombi kwa Mnyika (Waziri Kivuli wa Nishati na Madini) njooo Mtwara usikilize kilio hicho cha Gas kwanza vyama baadae ili uieleze Serikali ni nini watu wa Mtwara wanataka,maana sio kwamba hawataki Gas iende Dar ,wanapinga namna inavyotaka kwenda Dar kwanini iwe kwa Pipe badala ya Nguzo?.
 
Back
Top Bottom