Barua kwa Mhe. Zitto kutoka Mtwara

Ndugu Zitto , umeusoma waraka huu wote ?
Unapojaribu kutoa jibu sahihi kwa swali lilikosewa , unajiweka katika kundi gani ?
Unakubaliana na cheap politics anazokufanyia Muumin Safi ?

waraka unasemaje?Hii inakuuma kwa sababu zitto ndio kaitwa Mh:rais.Mm sifanyi propaganda za kipuuzi za kumsifia zitto.Who is zitto kwangu mm?anamaisha yake na mm nayangu.
Ujumbe umemfikia kama ulivyotumwa.Likiondolewa neno Mh.rais hapo najua huwezi sema chochote..unaumia coz ujumbe una neno Mh.rais.
 
kama nilivyandika kwenye bandiko langu hapo juu, we ndugu una malengo yako na wala husukumwi na matatizo ya wana kusini.
Lengo la mwandishi wa waraka huo ni kufikisha kilio cha ndugu zetu wa huko kwa mh jk na wala sio kama ambavyo unafanya wewe kumfanyia kampeni ndugu zzk!

Kitendo hiki ndugu yangu ni dhambi kubwa, lakini wala hutaki kulitambua hilo.

Ni kweli kuwa zzk ni kiongozi kijana shupavu na anakubalika kila kona ya nchi hii lakini sidhani kama amekutuma uutumie waraka wa ndugu komba kwa kuongeza neno chadema ili umfanyie kampeni.

Ebu ona aibu ndugu!

wangekuwa wanalalamika kuuza kura????hivi huchakachui akili wewe?kama mwandishi kashindwa kuunganisha kimantiki na kimofolojia sentesi zake ni yeye.
Lakini ujumbe umeletwa kama ulivyo(fresh milk)
jaribu kuwa na akili kidogo za kujitambua
 
hongereni wana mtwara kwa kutambua haki zenu,ila muache kuwapa ccm kura za bwerere.

wanamtwara wanaapa kutouza tena kura zao,vyama vya siasa vinaungana kupinga gesi kutokuwa na manaufaa kwa wana mtwara
ccm wamekaa kimya,zitto nenda kawaokoe.
 
There are currently 98 users browsing this thread. (31 members and 67 guests)

unajikomba hadi unatia kichefuchefu,kama unampamba mpambe kwa hoja. sio kitoto kama hivi.!!
 
wewe Unachohangaika chote hapa nikwasababu ameandikiwa zitto lete email yako nikutumie copy yenye picha n.kNifanye eding ili iweje?
Nimeipataje mm hii taarifa?Ningekuwa na uwezo wa kufanya eding wala msingeona hata hao aikana hawa ghasia wala nini.Mm nimeipokea nimeisoma na kuileta kama ilivyo.
Hivi unadhani ningeamua kufanya editing si ningefanya?sasa nimewaletea fresh milk.Mnaona kisirani kwasababu inakwenda kwa zitto
Ndugu yangu Muumin Safi , mbona katika huo waraka hakuna sehemu waliomtaja Zitto kama rais ?
Kinana siku hizi ni kijana wa Zitto ?
Mkurugenzi wa TPDC siku hizi anajibu kwa Zitto ?
Zitto ndo alitamka haya maneno " wao wakisema tusipo jibu hata kama ni uongo utakuwa ni ukweli "
Endelea kufanya hizi siasa uchwara ukidhani unamsaidia Zitto kumbe unamweka katika watu wasioweza kujenga hoja na kukimbilia sifa za kijinga kama hizi

SIWEZI KUBISHANA NA WEWE KATU,KAMA UMESHINDWA KUNIELEWA KWAMBA HII BARUA NIMEKABIDHIWA KWA EMAIL IKIWA IMEANDIKWA MPATIE ZITTO MATATIZO YETU HAYA.
SASA NIKAPELEKE KWA JK ILI HALI NIMEAMBIWA NI MZIGO WA ZITTO?KUNA AKILI KWELI HUKO KICHWANI AU LA?
PILI UNAONA HOJA ZA KUJADILI HAPO CHINI?
ARDHI NA GESI NDIO HOJA..HOJA ULIOIZALISHA YA EDITING ZA HII CHAPA NI JUU YAKO.
MM ZITTO MWENYEWE WALLAH SIFAHAMIANI NAYE,HANIJUI SIMJUI.SILIPWI CHOCHOTE NA KUANDIKA JEMA AU BAYA LOLOTE JUU YAKE.
ZITTO KWANGU MM NI PICHA TU,HANA MSAADA WOOTE.LAKINI SINA UGOMVI NAYE NA SIMCHUKII ZAIDI YA KUMKUBALI SANA TENA SANA KUTOKANA NA SIASA ZAKE NA NAMNA ANAVYOJUA KUPAMBANUA JAMBO.
NASHUKURU MZIGO UMEFIKA SALAMA NDIO HUU HAPA TENA,KAZI KWAKO WEWE CCM INAKUUMA KWELI KUONA CHADEMA KUNAMTU ANAITWA RAIS,2015 SIO MBALI MMEKWISHA.
NANUKUU HAPA CHINI MAANDISHI YAKE
"No.. No..Situmi ujumbe huu kwa mtu yeyote kwa kuwa huu ni ujinga wetu wa kuuza kura kama chapati na sasa tunakumbuka shuka asubuhi, hivi kweli gesi hii ingekuwa katika jimbo la Mchungaji Msigwa, Mnyika"
 
o.. No..Situmi ujumbe huu kwa mtu yeyote kwa kuwa huu ni ujinga wetu wa kuuza kura kama chapati na sasa tunakumbuka shuka asubuhi, hivi kweli gesi hii ingekuwa katika jimbo la Mchungaji Msigwa, Mnyika, au January makamba, mwiguru nchemba, zitto kabwe ingesafirishwa bila wananchi kujua au bila kuzingatiwa maslahi ya jimbo husika au mkoa husika No situmi NO,huu ni uzembe wetu Sambaza ujumbe huu kadri uwezavyo.
Haya ndiyo majibu yangu kwa jumbe nilizotumiwa na rafiki zangu hao hapo juu kutoka Mtwara.
Ahsante muheshimiwa rais wewe pekee ndio tumaini letu okoa Mtwara okoa Tanzania.
Mkuu Muumini safi,mwandishi angekuwa amemlenga ZZK kama raisi wake asingesema maneno hayo hapo juu,kwani kwa mujibu wake ZZK ni rais na si mbunge mwenye jimbo,hata kama umetumiwa hivyo wewe kwa akili yako hujaona kosa lolote katika ujumbe huo hadi kujidhalilisha namna hii?ZZK siku hizi ana "vijana"kama kinana na mawaziri waliozomewa?
 
o.. No..situmi ujumbe huu kwa mtu yeyote kwa kuwa huu ni ujinga wetu wa kuuza kura kama chapati na sasa tunakumbuka shuka asubuhi, hivi kweli gesi hii ingekuwa katika jimbo la mchungaji msigwa, mnyika, au january makamba, mwiguru nchemba, zitto kabwe ingesafirishwa bila wananchi kujua au bila kuzingatiwa maslahi ya jimbo husika au mkoa husika no situmi no,huu ni uzembe wetu sambaza ujumbe huu kadri uwezavyo.
haya ndiyo majibu yangu kwa jumbe nilizotumiwa na rafiki zangu hao hapo juu kutoka mtwara.
ahsante muheshimiwa rais wewe pekee ndio tumaini letu okoa mtwara okoa tanzania.
mkuu muumini safi,mwandishi angekuwa amemlenga zzk kama raisi wake asingesema maneno hayo hapo juu,kwani kwa mujibu wake zzk ni rais na si mbunge mwenye jimbo,hata kama umetumiwa hivyo wewe kwa akili yako hujaona kosa lolote katika ujumbe huo hadi kujidhalilisha namna hii?zzk siku hizi ana "vijana"kama kinana na mawaziri waliozomewa?
kumbuka hiyo ni nukuu kijana.sheria za nukuu huruhusiwi kudondosha neno,
huyo jamaa amenukuu kile alichowajibu waho vijana.
 
SIWEZI KUBISHANA NA WEWE KATU,KAMA UMESHINDWA KUNIELEWA KWAMBA HII BARUA NIMEKABIDHIWA KWA EMAIL IKIWA IMEANDIKWA MPATIE ZITTO MATATIZO YETU HAYA.
SASA NIKAPELEKE KWA JK ILI HALI NIMEAMBIWA NI MZIGO WA ZITTO?KUNA AKILI KWELI HUKO KICHWANI AU LA?
PILI UNAONA HOJA ZA KUJADILI HAPO CHINI?
ARDHI NA GESI NDIO HOJA..HOJA ULIOIZALISHA YA EDITING ZA HII CHAPA NI JUU YAKO.
MM ZITTO MWENYEWE WALLAH SIFAHAMIANI NAYE,HANIJUI SIMJUI.SILIPWI CHOCHOTE NA KUANDIKA JEMA AU BAYA LOLOTE JUU YAKE.
ZITTO KWANGU MM NI PICHA TU,HANA MSAADA WOOTE.LAKINI SINA UGOMVI NAYE NA SIMCHUKII ZAIDI YA KUMKUBALI SANA TENA SANA KUTOKANA NA SIASA ZAKE NA NAMNA ANAVYOJUA KUPAMBANUA JAMBO.
NASHUKURU MZIGO UMEFIKA SALAMA NDIO HUU HAPA TENA,KAZI KWAKO WEWE CCM INAKUUMA KWELI KUONA CHADEMA KUNAMTU ANAITWA RAIS,2015 SIO MBALI MMEKWISHA.
NANUKUU HAPA CHINI MAANDISHI YAKE
"No.. No..Situmi ujumbe huu kwa mtu yeyote kwa kuwa huu ni ujinga wetu wa kuuza kura kama chapati na sasa tunakumbuka shuka asubuhi, hivi kweli gesi hii ingekuwa katika jimbo la Mchungaji Msigwa, Mnyika"

hata ukijaribu kujikosha vipi ndugu yangu, hautafanikiwa !
Haiwezekani mtu mzima mwenye akili timamu na zinazofanya kazi sawasawa apokee tu ujumbe bila kuupitia na kuulewa vizuri akaubandika humu ,eti kisa nimeambiwa nimpatie ZITO, kha!

UMEJIDHALILISHA SANA..........
NINI MAANA YA KWENDA SHULE NA KUELIMIKA SASA.
 
DO U REAL THINK THAT A CORRUPTED MAN CAN BE UR PREZZO??
Mawazo yako na ujumbe wako umetulia ila Sidhani kama ZK ni mtu sahihi wa kufikiriwa kuweza kuiongoza TANZANIA iliyonajisiwa na mafisadi maana kwa kipindi kifupi alichokuwa kwenye kamati ya madini tumeona ni machafu mangapi anaweza kuyafanya na kutudhuru watanzania wenzake.

ZITO hatufai kuwa kiongozi wa Taifa hili nasikitika na kuwasikitikia wananchi wa Kigoma kwa upofu wao na kumchagua yeye kuwawakilish amjengoni!
 
DO U REAL THINK THAT A CORRUPTED MAN CAN BE UR PREZZO??
Mawazo yako na ujumbe wako umetulia ila Sidhani kama ZK ni mtu sahihi wa kufikiriwa kuweza kuiongoza TANZANIA iliyonajisiwa na mafisadi maana kwa kipindi kifupi alichokuwa kwenye kamati ya madini tumeona ni machafu mangapi anaweza kuyafanya na kutudhuru watanzania wenzake.

ZITO hatufai kuwa kiongozi wa Taifa hili nasikitika na kuwasikitikia wananchi wa Kigoma kwa upofu wao na kumchagua yeye kuwawakilish amjengoni
!
wewe hunauwezo wa kumzuia Zitto kuingia Ikulu,Kigoma nadhani wana kucheka kuona unapita mtupu karikaoo mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
ZItto ni next level
 
hata ukijaribu kujikosha vipi ndugu yangu, hautafanikiwa !
Haiwezekani mtu mzima mwenye akili timamu na zinazofanya kazi sawasawa apokee tu ujumbe bila kuupitia na kuulewa vizuri akaubandika humu ,eti kisa nimeambiwa nimpatie ZITO, kha!

UMEJIDHALILISHA SANA..........
NINI MAANA YA KWENDA SHULE NA KUELIMIKA SASA.

Umetumwa wewe,Huna hoja unatapatapa tu.Ukiulizwa unachojadili ninini?kinamaendeleo gani kwa taifa hunajibu zaidi ya kuchekacheka.
Zitto ametukuka huko mtwara kapewa ujumbe wake,Wewe na nape kaeni chonjo,2015 ikulu hiyo
 
Ndugu yangu Zitto, rais wa mioyoni mwa Watanzania wana Mtwara wamekuandikia barua kwamba uokoe jahazi sasa hayo maneno kwamba ushauriane na chama tena yanatoka wapi?

Kwanini usifanye kama vile ulivyofanya Tanga? uliiandaa mwenyewe ukisema usubili chama utakwamishwa na kuundiwa mizengwe hata usifanikishe adhima ya wana Mtwara!

Chonde chonde andaa ziara uende ataetaka kukujoin atakujoin mambo yakushauriana na chama ndo yale yale ya kutoa majibu ya "tupo kwenye mchakato"
Go go go Zitto!
Your votes count!
 
Ndugu yangu Muumin Safi , mbona katika huo waraka hakuna sehemu waliomtaja Zitto kama rais ?
Kinana siku hizi ni kijana wa Zitto ?
Mkurugenzi wa TPDC siku hizi anajibu kwa Zitto ?
Zitto ndo alitamka haya maneno " wao wakisema tusipo jibu hata kama ni uongo utakuwa ni ukweli "
Endelea kufanya hizi siasa uchwara ukidhani unamsaidia Zitto kumbe unamweka katika watu wasioweza kujenga hoja na kukimbilia sifa za kijinga kama hizi

Hivi shule zote umepitia hukujifunza "reading between the lines" ?
 
Huyu Tuntemenke anakera sana sana, Anyway
Ungekuwa na akili nzuri ungetulia na zile kura ulizopata mwaka 2010 ungeongeza kidogo tuu ukawa mbunge mtalajiwa wa jimbo lako. sasa wewe umekeza kwenye kunywa pombe na kutukana Viongozi wetu? Inasikitisha kuwa na mtu aliyemaliza chuo kikuu, tena Mwalimu harafuu anapiga kampeni kijinga. Unacho kifanya una muharibia Zitto badala ya kumjenga. Naomba sana usimharibie Zitto tafadhali sana; otherwise Elimika upige kampeni kisomi;
Tutemenke unakera sana, kama huna cha kuandika kaa kimywa.
 
Back
Top Bottom