Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,402
- 7,310
JAna(21desemba2012 ) nilikua nilikua katika kikao cha kupitia rasimu ya gesi katika ukumbi wa pentekoste ulioandaliwa na MTWANGONET,ONGEA,MRENGO,tulikua wananchi wengi kwa kweli,tulipitia rasimu bado tumeona kuna ubabahishaji kwa wananchi wamesema GESI HAITOKI MTWARA,ila wanasema umeme upelekwe kwa njia ya nguzo katika gredi ya taifa,ila gesi gafi haitoki,na wametoa taadhari kwa balozi wa china hasipeleke wafanyakazi kusini kitachachowakuta hitakua historia