Rugaijamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2010
- 2,942
- 1,302
Umetumwa wewe,Huna hoja unatapatapa tu.Ukiulizwa unachojadili ninini?kinamaendeleo gani kwa taifa hunajibu zaidi ya kuchekacheka.
Zitto ametukuka huko mtwara kapewa ujumbe wake,Wewe na nape kaeni chonjo,2015 ikulu hiyo
HIKI NDICHO ULICHOKILENGA KWENYE BANDIKO LAKO WALA SI KINGINE!
MIMI NI WA MTWARA , na ninaishi huko since 2005 huwezi kunidanganya kitu kaka. Hata huyo ndugu Komba MWANDISHI WA WARAKA HUO namfahamu vema,yupo kwenye asasi isiyo ya kiserikali iitwayo FAWOPA (Faidika Wote Pamoja).
Hata kama unamtaka ZZK, hii njia ulioamua kuitumia sio muafaka kwa sababu inakudhalilisha wewe kwa kuonekana hauko makini, pia umemdhalilisha aliyeandika waraka huo kwani anaonekana hafahamu nini alichokikusudia.