TUNTEMEKE
Platinum Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 581
- Thread starter
- #21
Kweli umepokea email. Ila ungewajulisha CDM kwa ujumla wao, au angaliwajulisha CDM kwa ujumla wao na siyo ZZK. Huu ujumbe una-tourch
Mkuu chadema wote wanashinda humu.nadhani ujumbe umewafika wote.Amemuagiza Zitto kwa sababu amesema nanukuu
"Muheshimiwa rais mungu amekujalia wewe binafsi kuwa na huruma hebu tuhurumie sisi vijana wa Mtwara, hebu tumia hiyo huruma yako kuiokoa Tanzania, hebu tumia huruma yako kuondosha balaa, na katika hili usimuamini mtu njoo uongee na sisi wamachinga, uongee na sisi bodaboda na wengine wengi"